My God, ningelikuwa Rais oohooo

My God, ningelikuwa Rais oohooo

Mh mshana jr na we unamachale,umejuaje sa kama mamaafacebook anafaa kuwa waziri wa kilimo ?
Sasa kwa hasira nakuvua uwaziri wa ulinzi na kuanzia leo namtangaza rasmi kuwa bwana mshana jr anakuwa waziri mkuu ,atakaepinga tutamvua ubunge.
FULL STOP.
 
Last edited by a moderator:
Ndio mamaafacebook mimi mwenyewe nataka kujivua uraisi halafu nijipe uwaziri,maana nishagundua kuwa raisi shida.
Ila ningelikuwa raisi ohooooo.
 
Last edited by a moderator:
Eti mikatabafeki anataka uwaziri wa sheria,ataweza kweli ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom