My girl is better than yours

My girl is better than yours

Kabla ya kuwa nae alinishauri sana kuwa tufunge novena tusali ili kila mtu kama anaingia kwenye haya mahusiano ajue ni ya milele, tulisali na kuomba siku aliyonikubalia alinisihi sana tusije kumsahau mungu, ili penzi letu lidumu, tukilala tunasali pamoja akiwa mbali tutapigia simu tutasali pamoja. Trust me penzi lenye mungu ndani yake linadumu.
 
Aseeh,.. Mkuu ni kabila gani uyo MTU!?damnnn!!
 
man trust me hizo sifa zote ulizozitaja hapo hazifiki hata robo ya zile za samantine wangu, binti wa kitutsi ni mzuri sana i wish niweke picha yake hapa umuone, familia zetu zinafahamiana so tumekua tukionana toka anakua, nilimkuta ni bikra akiwa na umri wa 21yrs, tupo kwenye mahusiano kwa miaka minne sasa na ananipenda sana licha ya maisha yangu ya ghetto anasema yuko tayari tuishi kwa hali yeyote, watu wamejaribu sana kutumia nguvu ya pesa ili kumrubuni hajawahi kunificha, kuna boya amekua akituma hadi dollar 5000 akiamini atampata ila yeye anasema ananipenda mimi tu, alitapa ujauzito bahati mbaya tarehe 4/4 ikaharibika ikiwa namiezi 6, sasa amesharecover na anasema yuko tayari tutafute mtoto mwingine, huwa akiniangalia i see love in her eyes, ndamkunda cyane samantine wanje!
Ha ha ha ha ha ha ha
 
Kabila lake naliweka kwenye mabano mkuu....ila yupo hivi kutokana na malezi aliyoyapata toka yupo mdogo mpaka sasa.

Tatizo sio nakua mkabila no inawezekana kuna uwezekan wako flexible tofauti na awa,..at least tukapata mmoja wawili bwahahaha
 
Jamaaa kachanganyikiwa kwel kwel" hili ndo tatizo la kuanza mapenzi ukubwani...! Lete mada usaidiwe mawazo, labda kuna kitu unashindwa kukitatua" sasa demu anakupnda mpaka mitandaon kidume" hayo mambo ya wanawake bwana!
 
Nilete mada gani nisaidiwe, kwenye suala la mapenzi huwa sihitaji ushauri wowote cz nshajiwekea misingi yangu toka mwanzo, nilikuwa kwenye mahusiano mengi sana huko nyuma na hata mke wangu mtarajiwa anajua hili, jambo lililonifanya nilete mada hii hapa ni jinsi watu kila siku wanavolalamika kuumizwa na kuamini kuwa kwa sasa hakuna mapenzi ya dhati...mapenzi ya dhati yapo sana tu.
 
Jaman kila mwanaume akitoa sifa za girl wake hapa patachimbika na Mapenzi ya sasa hivi hayana hata Heshima haukuna usiri Mapenzi ni Siri kutoa sifa za Girl wako kuwa mzuri sijui nini ? Huyo huyo unaemsifia kuna mwingine kwake ana ona takataka tuu ndyo maana hatuishi kusaliti katika Mapenzi leo wewe unaona huyo kwako ni Mzuri Haswa na Yeye anaona wewe ni Mzuri haswa yani kujua kwanu uzuri wa mtu kumeishia hapo hamjatembea na kuona kunawanawake wazuri na wanaume wazuri kishenzi Mpk unajiuliza huyu anajamba hata kujamba kweli yaan ukimwona mwili unapata ganzi yaan dem weunamuona Mkali mwenzio anaona kikaragosi tuu tuache kuanika anika Mapenzi wazi wazi Mapenzi ni Siri yako
 
Nimeleta mada hii kuwakumbusha kuwa mapenzi ya dhati yapo, maana kila kukicha utaona mada za watu kuumizwa. Wengine wanakata kabisa tamaa ya hata kuwa na wenza.
 
Nilete mada gani nisaidiwe, kwenye suala la mapenzi huwa sihitaji ushauri wowote cz nshajiwekea misingi yangu toka mwanzo, nilikuwa kwenye mahusiano mengi sana huko nyuma na hata mke wangu mtarajiwa anajua hili, jambo lililonifanya nilete mada hii hapa ni jinsi watu kila siku wanavolalamika kuumizwa na kuamini kuwa kwa sasa hakuna mapenzi ya dhati...mapenzi ya dhati yapo sana tu.
Nikupongeze kaka kwa kujitambua ,mi nmekuelewa na umekuwa muwax kwa jamii,ila watu wengi wasio na ufahamu hawawez kukuelewa ,wanaumia ulipomsifia msichana wako ila wangefurahi sana km ungekuja mdhalilisha ,wanadam hatuna jema,wallitaka mada za kumhalilisha mwanamke ila we umeonyesha wapo wanaojielewa wanaanza chonga,mungu akusaidie
 
Asante kwa kunielewa kiongozi, wanaolalamika washaumizwa sana na wanaamini wanawake wote wapo hivo.
 
Ukimzingua huyo msichana baada ya kupata mwingine au kupata mpunga mrefu laana yake itakutafuna vizazi vyako vitatu au zaidi. Yaani wewe, mwanao, mjukuu wako na mtoto wa mjukuu wako. Najua pesa kitu haramu sana, siku ukizipata za kutosha kufanya kufuru utatamani watoto wabichi laini wale tepetepe(kama freshers wa chuo) na wale wanaishi maisha ya TV kama akina Kidoti, Wema, Masogange, Lulu, Giggy, Amisa Mabeto na wengine wa dizaini yao wapenda artificial things.
Nilipitia huku aisee, msichana wangu wa mwisho niliugua sana na aliniacha nikiwa sijapona, then nilipopona ndio nkampata huyu. Najua nastahili kuwaje kwake hata kama nikifanikiwa.
 
Back
Top Bottom