My girl is better than yours

My girl is better than yours

Lazima niwatetee bhn...!! Kabla hatujafika kwenye usawa wa 50% kwa 50% lazima tuhakikishe wanakua salama hawanyanyasiki kwa namna yeyote...!! Alafu walishawahi kuninyanyasia mtu wangu wa karibu sana ndo mana huwa nawakingia kifua kdr niwezavyo...!! Fanya vyote ila usimdhalilishe mwanamke mbele yangu bora ht unikate mkono kuliko kumfanya chochote yeye, yeyote yule
sure mkuuu lazima tuwatetee wanaonewa sana
 
Refer their post, kidogo tu wanataka hela za kusuka. Wakati wangu mpaka huwa namuonea huruma anaamka asubuhi atachana tu nywele then ataniambia "siku ukipata kazi make sure mke wako uwe unampa hela ya kusuka, by nw najua tuna safari ndefu napenda kusuka nipendeze lakini kwa kuwa nipo nawe tayari haina umaana wa mimi kupendeza afu tukose hela ya sabuni"
Hayo maneno nimetaman yaje kwangu ila basi tu...
 
Mkuu na wewe ni mnufaika wa hizi sampuli ? Otherwise wenzako wameshakuzidi maarifa humu watch out
Mkuu...mimi ni mimi.nitabaki kuwa mimi.hakuna kama mimi kwenye hii dunia.kwa mawazo yako ukiona wameshanizid,jua hao sio mimi ni wao.sijui umenipata??
 
Siku ukiachwa angalia usijitundike mkuu, afu hawa viumbe sio wa kuwaamini sana mda wowote anaweza akaolewa na mtu yeyote
 
nimeyapenda mapenzi yenu that is true love ambayo imekosekana kwa muda mrefu kwa watu wengi but dont trust her to the extent watu hubadlka mkuu ila always mwombe mungu mfikie malengo yenu big up
Ninaamin hii ni true love.
 
Nilifanya hayo yote tena zaidi ya huyo wa kwako almost 10 years unamvulia mtu kwa kila hali ila siku tu alipopata kazi hakuna rangi niliacha kuisoma...... Muombe tu Mungu huyo awe kweli ni mke wako na wewe ni mume wake.... Pia usidharau wanawake wengine ni vile tu kila mtu hawezi elezea kilchomo moyoni mwake hata huyo wako siku mkiachana kuna wanaume watamuona hafai ingawa sio kweli maisha ni safari ndefu sana zaidi ya unavyodhani
Hata mimi wangu ni kama huyo tu
 
Miaka 7 mlipoanza uhusiano alikuwa na elimu gani? Umesema mlikuwa chuo mkahamia ghetto moja mkaishi ukasimamishwa masomo yeye akaendelea, ukafanya biashara badae ukarud kusoma na na sasa umemaliza ila yeye hajamaliza.

Elezea kidogo hapo.
 
Back
Top Bottom