My girl is better than yours

My girl is better than yours

Hongera sana. Sie zetu zilitokaga mapema ila ndoa zipo vzr tuu sasa huyo akianza kujua kuna dushe za size tofauti tofauti utalijua jiji. Muombe Mungu asikutane na mashost wa mjini wamfundishe mafiga matatu. Hahahhahahahhah Natania
 
Miaka 7 mlipoanza uhusiano alikuwa na elimu gani? Umesema mlikuwa chuo mkahamia ghetto moja mkaishi ukasimamishwa masomo yeye akaendelea, ukafanya biashara badae ukarud kusoma na na sasa umemaliza ila yeye hajamaliza.

Elezea kidogo hapo.
Nishaelezea mkuu, mahusiano yameanza akiwa o level
 
Hongera sana. Sie zetu zilitokaga mapema ila ndoa zipo vzr tuu sasa huyo akianza kujua kuna dushe za size tofauti tofauti utalijua jiji. Muombe Mungu asikutane na mashost wa mjini wamfundishe mafiga matatu. Hahahhahahahhah Natania
Hao mashost ntawakata vichwa aisee
 
Sasa usije ukapata pesa na kuanza kumdharau, vijana mkipata vijisenti mnawehuka sana.
 
man trust me hizo sifa zote ulizozitaja hapo hazifiki hata robo ya zile za samantine wangu, binti wa kitutsi ni mzuri sana i wish niweke picha yake hapa umuone, familia zetu zinafahamiana so tumekua tukionana toka anakua, nilimkuta ni bikra akiwa na umri wa 21yrs, tupo kwenye mahusiano kwa miaka minne sasa na ananipenda sana licha ya maisha yangu ya ghetto anasema yuko tayari tuishi kwa hali yeyote, watu wamejaribu sana kutumia nguvu ya pesa ili kumrubuni hajawahi kunificha, kuna boya amekua akituma hadi dollar 5000 akiamini atampata ila yeye anasema ananipenda mimi tu, alitapa ujauzito bahati mbaya tarehe 4/4 ikaharibika ikiwa namiezi 6, sasa amesharecover na anasema yuko tayari tutafute mtoto mwingine, huwa akiniangalia i see love in her eyes, ndamkunda cyane samantine wanje!
Wa hivi huwa wanapatikana wapi kwani
 
Yaani mkuu nikisikia umemwacha huyo shemeji yangu nitakutafuta, yaani nitakufanyia kitu mbaya mpaka SHETANI ATAAGA DUNIA
 
Ukipata mwanamke bikra aisee mtreat vizuri sana na akuone ur da perfect man to her, hakika hawezi kukuacha, mie wangu mwanaume yoyote akimtongoza kwenye simu lazima anipe namba ananiambia nimwambie kuwa mie ni mke wake so amwache. Simu yake tunaweza badirishana for a day atachukua yangu ataenda nayo chuo then ntabaki na yake...simu zetu hazina lock kabisaa.
That might solve the current problem ila jitahidi usiwe na vishawishi
 
That might solve the current problem ila jitahidi usiwe na vishawishi
Nshajitahid sana, nikiwa na simu yake txt ikiingia huwa ananiambia nimsomee tupo free sana kuhusu swala zima la simu ndio maana nahisi hata ugomvi kwetu huwa ni mdogo sana kwa mambo mengine.
 
Nshajitahid sana, nikiwa na simu yake txt ikiingia huwa ananiambia nimsomee tupo free sana kuhusu swala zima la simu ndio maana nahisi hata ugomvi kwetu huwa ni mdogo sana kwa mambo mengine.
Ukiona mwanaume au mwanamke (ndoa au urafiki) anaweka password katika simu jua ana yake huyu na muogope kama ukoma
 
Mshamba huyu jamaa" inaonekana kaanza mapenz ukubwani! Yaan dume zima usimame mbele za watu unamsifia dem wako mwaminifu, siku ukijagundua wanammega masela utaficha wap sura yako? Wasukuma bwana sijui ushamba wataacha lini! Karne hii ya kumuwekea nadhili demu?
Haa haa haaa haa utajiua
 
Back
Top Bottom