My friend Zitto Kabwe

My friend Zitto Kabwe

Tatizo la baadhi yetu Watanzania ni wavivu wa kufanya uchunguzi katika mistali ya mabandiko ya watu hapa na kudhani tunafahamu kumbe hatufahamu.

Mara nyingi kipya huwa ni kinyemi na usione vinaelewa hapa Jf lazima vitakuwa vimeundwa.

Jf ni maktaba ambayo ukitaka kufanya uchunguzi na uchambuzi utapata kila kile unachokitaka.

Kwa kuwasaidia pateni hii habari kutoka maktaba ya Jf ili mumfahamu huyu binadamu anayeenda kwa jina la ZeMarcopolo.

MOD's Sijavunja taratibu wala sheria za Jf kwa sababu hizi data nimezipata hapa hapa Jf.

https://www.jamiiforums.com/tanzani...ugombea-ubunge-morogoro-kusini-mashariki.html

Michuziblog waliandika hivi,

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~* ~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
.............................. Dr. Imani Hamza Kondo ( kwenye dunia ya ku-blog wananifahamu kama zemarcopolo), ninatangaza nia ya kugombea ubunge wa Morogoro Kusini Mashariki kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu ujao.

......................Yeyote atakayehitaji taarifa zaidi basi asisite
kuwasiliana nami moja kwa moja kwa
zemarcpolo@yahoo.co.uk
Nashukuru Sana.
Habari kutoka Michuzi blog

MICHUZI BLOG: ze marco polo atangaza nia....

Hongera sana Zermacopolo na kila la heri. Wengine wenye nia hii pia msisite kutujulisha.

Huyu binadamu munayempa shinikizo la kiingereza wasifu wake ni huu,
DR. IMANI HAMZA KONDO MPONDA
Amezaliwa tarehe 15. 10. 1979 katika mkoa wa Morogoro. Mama yake anaitwa Anna Anthony Mwaga,wa Matombo Morogoro na baba yake anaitwa Hamza Kondo ambaye ni mtoto wa mzee gwijege wa Lukonde darajani, Mikese.

1988 - 1993: Alijiunga na shule ya msingi Mkoani, Kibaha - Pwani. Alianza darasa la pili moja kwa mojabila kupitia darasa la kwanza baada ya kuonekana kuyamudu masomo ya kusoma, kuandika na hesabu ipasavyo. Akiwa darasa la tano katika shule hiyo alichaguliwa kuwa kiranja mwaka 1991.

Alichaguliwa kuiwakilisha shule hiyo katika mashindano ya taaluma ya kata, ambapo alifanya vizuri na kuchaguliwa kwenda kuiwakilisha kata katika mashindano ya kitaaluma ya wanafunzi wa shule za tarafa. Katika kipindi hiki, pia alijiunga na kikundi cha chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi. Hapo alishiriki katika kuupokea na kuukimbiza mwenge wa Uhuru katika wilaya ya Kibaha. Pia alishiriki katika kukaribisha viongozi mbalimbali wa kichama katika wilaya ya Kibaha, ikiwa ni pamoja na kutumikia wakati washughuli mbalimbali za chama kama vile chaguzi mfano Katika Uchaguzi wa mwaka 1992 wa viongozi wachama uliofanyika katika ukumbi wa B Melin wa shirika la elimu Kibaha. Miongoni mwa waliouhuria mkutano huo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati huo akiwa mbunge wa wilaya ya Bagamoyo.

1994 - 1997: Alichaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya watoto wenye vipaji maalum ya Mzumbe iliyoko Mzumbe Morogoro. Akiwa kidato cha kwanza katika shule hii alichaguliwa kuwa kiongozi wabweni la Mkwawa namba mbili. Kama kiongozi wa bweni alikuwa na wajibu wa kusimamia ulinzi, usalama, nidhamu, usafi na afya za wanafunzi wote wanaoishi bwenini humo. Bweni hilo lilikuwana wanafunzi wa kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita, hivyo kuchaguliwa kwake kuwaongoza wanafunzi wa kiato cha zita wenye vipaji maalum kunaashiria kuwa alidhihirisha umahiri katika uongozi. Wakati huohuo alichaguliwa kuwa kiranja wa darasa la kidato cha kwanza C. Alipoingia kidato cha pili tu, alichaguliwa na shule nzima kwa kishindo kuwa kiranja wa nidhamu. Kama kiranja wa nidhamu alikuwa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ambayo ilikuwa na wajumbe kumi akiwemo mwalimu wa nidhamu wa shule. Taarifa za vikao vya nidhamu vilitolewa ripoti kwa mkuu wa shule (Thomas Msuka). Pia alishiriki ipasavyo katika michezo ya UMISETA ya mkoa wa Morogoro.

1998 - 2000: Baada ya kufaulu vizuri sana kwa kupata daraja la kwanza
division one alichaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya watoto wenye vipaji maalum ya Ilboru iliyoko Arusha kwa ajili ya masomo ya fizikia, kemia na baiolojia. Akiwa kidato cha tano, serikali ya wanafunzi iliyokuwa madarakani wakati huo ilimuomba awanie nafasi ya uwenyekiti wa serikali ya wanafunzi kwa awamu inayofuata, jambo ambalo aliafikiana nalo . Alishinda kwa kishindo cha asilimia 89 dhidi ya John Seka ambaye alipata asilimia 10 ya kura. Asilimia moja ya kura katika uchaguzi huo ziliharibika. Hapo basi akaapishwa kuwa mwenyekiti wa serikali ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya watoto wenye vipaji maalum ya Ilboru mpaka mwaka 1999. Wakati wa mahafali ya kidato cha sita alitunikiwa tunzo ya uongozi bora na tunzoya taaluma kama mwanafunzi bora wa mwaka 2000 shuleni hapo. Mgeni Rasmi katika sherehe hizoalikuwa mbunge wa Arumeru Mashariki (CCM) Mh. Elisa Mollel. Dr. Imani Hamza Kondo, alisoma risala.

2001 – 2008: Kufuatia kufanya vizuri kitaifa katika mtihani wa kidato cha sita wa mwaka 2000 alipata nafasi ya kwenda kusomea udaktari wa binaadam nchini Jamhuri ya Czech. Nchii hii imepakana na Ujerumani upande wa magharibi, Poland upande wa kaskazini, Slovakia upande wa mashariki na Austria upande wa kusini. Lugha ya taifa la Czech inaitwa Ki- Czech, hivyo basi alilazimika kujiunga na shule maalum ya kufundisha lugha hiyo kwa mwaka mmoja. Baada ya kufuzu mafunzo ya lugha alijiunga na kitivo cha kwanza cha udaktari cha chuo kikuu cha Charles kilichopo Prague, Jamhuri ya Czech. Chuo hiki kilianza mwaka 1347, na ni chuo cha zamani zaidi kuliko vyote katika Ulaya ya kati! Akiwa chuoni hapo waalimu wake walishangazwa sana na uwezo wake mkubwa wa kusoma udaktari kwa lugha ya ki-Czech ambayo amejifunza kwa mwaka mmoja tu. Alimaliza masomo ya udaktari na kupewa shahada ya uzamili ya udaktari mwaka 2008. Profesa Vladimir Bencko, alimuomba aendelee na masomo ya uzamivu yaani PhD chini ya kitengo cha utafiti wa magonjwa. Alikubali na kujiunga na masomo hayo, ambayo mpaka sasa ameshamaliza kozi zote za kuingia darasani na hivi sasa yuko katika hatua ya kuandika ripoti ya utafiti. Katika kipindi hicho ameshiriki katika makongamano mbalimbali ya sayansi ikiwa ni pamoja na kongamano la Dunia la afya ya jamii lililofanyika Istanbul, Uturuki mwaka 2009. Kongamano hili lilihudhuriwa na viongozi mbalimbali duniani. Tanzania iliwakiliswa na Dk. Bertha T.A. Maegga (ambaye ni katibu mkuu wa Chama Cha Afya ya Jamii Tanzania) na Dk. Imani Hamza Kondo.

Akiwa nchini Jamhuri ya Czech, Dk. Imani Hamza Kondo alikuwa mstari wa mbele katika shughuli za kijamii . Alikuwa kiongozi wa chama cha waafrika wanaoishi nchini jamhuri ya Czech. Pia aliasisi usajiri wa tawi la Chama Cha Mapinduzi Jamhuri ya Czech.

Dr. Imani Hamza Kondo ametembelea nchi mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na Jamhuri ya Czech, Kenya, Misri, Qatar, Uswisi, Austria, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Slovakia, Marekani, Uturuki, Ubelgiji, Uholanzi na Italia. Katika kila nchi alizotembelea ameongeza upeo na kuweza kujifunza mambo mbalimbali ambayo anaweza kuyatumia kuleta maendeleo nchini.

Dr. Imani Hamza Kondo anaamini kuwa binaadamu wote ni sawa na kwamba utawala bora ndio msingi wa amani katika taifa letu. Kwa kuheshimu haya kwa vitendo tutafanikiwa kujenga uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea .

https://www.jamiiforums.com/tanzani...ugombea-ubunge-morogoro-kusini-mashariki.html
Hayo ni matatizo yako.We si unajua kuponda,ungenge huo,ponda sasa.
Hahaha andika mipasho yako kwa kiingereza sasa "Chadema ni chama kinachoongozwa kwa misingi ya Kilaghai".
Utaishia kung'aa macho tu
Product za shule za kata!! Poor U!
Ohoo mara Mbowe alifeli mara Lema hana akili mara Sugu kichwa maji sasa shusha nondo kwa kiingereza kuwa "CHADEMA ni chama cha Kilaghai" au "TANZANIA DAIMA ni gazeti la udaku" nilishakuambia wewe ni Ngariba sasa leo ndio umekamatika CC Simiyu Yetu Chabruma CHAMVIGA Ritz na wadaku wengine
Like....

Bila kumsahau chama wa gongo la mboto!
ka! ka! ka! ka! ka! ka!
umepatikana leo... huna cha kuchangia.. na hu uzi utapata wachangiaji wa upande B, wachache sana kutokana na ngeli..

ka! ka! ka! ka! ka! ka!
u've been caught today.. u gatta nothng to comment.. and this thread gonna secure few commentors from side B, amid the used of ngeli..

UMETUCHEKI WENYEWE?!???

ka! ka! ka! ka! ka! ka!
ZeMarcopolo kumbe kilaza wa kiingerezaee?! Sasa huu muda unaopoteza hapo lumumba si bora ungesoma English course? Ni ushauri tu
Teacher: In inglish pliiiz...!!!
ZeMarcopolo : Itii...itiii...ittiii....
Teacher: Haya kwa kiswahili..
ZeMarcopolo : chadema ni chama kinachoongozwa kwa misingi ya kilaghai, na pia ni chama cha kikristu kama ni kile kingine kilivyo cha kiislamu na hiki chetu kilivyo cha kifisadi. Halafuu...
Ticha: Enough...enough.
Hukoo Lumumba primary school...
Hahaha kama akili ni nywele funga ili uwe nazo nyingi
Uweze kuwa na akili nyingi!
Wachina vp na lugha wanapotia miguu mataifa mengine?
Jifunze kufikiri kidogo sana !!
حزب تشاديما ني شاما kinachoongozwa كوا misingi يا Kilaghai "
Division 5 utawajua tu
Hapo kwenye red..... Hongera sana uko vizuri kingereza unakijua.... Teh teh teh....... Orijino komedi.....mbavu zangu mie...
Still wobbling in the same manner.... Very sorry get healed on this....
Huyo ZeMarcopolo ndo wale wa zile % za kwenye ule utafiti, yaani wenyewe ni kuburuzwa tu shule hakuna hapo
Ahaaaa!!! Today they got you. Please we need your contribution in this subject matter and your contribution should be in the same language. As I can recall you always comment on the education and qualifications of of Chadema members especially the Chairman, now the issue is at your hands please ZeMarcopolo we want to hear from you

Sorry ZeMarcopolo kama nitakuwa nimekukwaza ni vizuri watu wakaufahamu upande wa pili ili wajikite kwenye hoja iliyo mezani.
 
The victims have accepted the decision made by CC in the public. It's a decision not made out of thin but on facts. What they had planned to do however sweet it was, the fact that it was being done under the carpet that alone makes it malicious and their intention malicious. The least we can say to ZZK and his bandwagon is that next time whether in or out of CDM is to do things openly. Short of that they will be branded traitors

May be you are better placed now,and thus everything favours the allies of you!!!!

The victims acceptance is not an automatic signal for everybody to quit discussions!!!
 
Safi sana wale waongeaji hovyo huwezi ona comments zao kwenye huu uzi!ndo wale walotajwa kwenye waraka kwamba wana shule za magumashi.
 
KATUNI KUHUSU POSHO.jpg
 
mkuu, niwie radhi ila una tatizo kubwa la unafki - kwako wewe 'BAADHI' ya viongozi wa cdm ni malaika na kwamba daima hawawezi kufanya makosa! yaani hata ungesikia moja kati ya viongozi hao (criteria unazijua mwenyewe) amejisaidia haja kubwa mbele ya kadamnasi usingekuwa tayari kumkosoa, sana sana ungepika kimya tu hapa jf..........rejea ishu ya kamanda lema alivyoropoka hapa jamvini bila kutumia vikao halali ndani ya chama (bila kujali tuhuma ni za kweli au la) ulisifia tu lakini kwa mwigamba ambaye naye hakutumia viako vya ndani ukaona 'kwake' ni kosa!! ukweli ni kwamba watu wa aina yako mnarudisha nyuma harakati za kumtoa mkoloni mweusi madarakani 2015, kwa nn mnakuwa biased?! au sheria zimetungwa kwa 'baadhi' tu ya wanachama? kwa nn tusikosoe viongozi wetu bila kubagua pindi wanapoteleza ili wakati mwngne wajifunze kutokana na makosa hayo? unadhani lema amejifunza chochote kuhusu kuropoka mitandaoni ikiwa mambo yamefichwa chini ya kapeti kupitia sakata la zzk?!! au kosa la lema limefunikwa na makosa ya zzk?!

Hapana mkuu ebu rudia kusoma tena kwa umakini utamuelewa jamaa. Acha ushabiki. Halafu ni ushauri tuu katoa waweza chukua au kupotezea.
 
i have talked about this already, and i will yet again if need be - well this time hoping that someone will understand me.
Nimesema sitaki kuliangalia hili la maamuzi ya CC nikiwa tayari na mawazo kuhusu mahusiano mabaya au mazuri ya Mh. Mbowe na Mh. Zitto kichwani, kufanya hivyo kutasababisha kupoteza judgement sahihi kuhusu swala hasa hapa (issues in the case)
nikama kusema keeping all other factors constant (Factors i have chosen not to go into) (factors of their relationship behind the scene), the decision was CORRECT!

Ndugu yangu, silazima mawazo yangu yawe yakwako, nakubali kusikiliza mawazo tafauti na ya kwangu, na nina ya heshimu mawazo ya kila mtu irrespective of whether nadhani ni sahihi ama la.
Lakini nimejaribu kueleza mtazamo wangu na kuutetea, ikiwa nipamoja nakueleza mazingira yanayopelekea kufikia mtazamo huo, Ila kama sijafanikiwa kukushawishi basi tunaweza kukubaliana kuto kukubaliana katika hili, lakini tukaendelea kushirikiana katika mengine, na ikiwezekana tukakubaliana katika mengine.
Nikushukuru sana.

Gentlemen's way!!!!! Agreing not to agree

We could go with neutral mind without necessarilly considering the prior existing tension among them if the CC was not part and parcel of the work from both the brain and hands of the chairman,the mechanism and process of obtaining those incumbently sitting as CC are with no doubt associated with chairmanship,hiw do we assure ourselves that they were neutral and unbiased??!!!!@Bigaraone used the term mallice to arise suspicion on work of someone's brain that you are not part of the preparation or rather not involved however sweet the outcome may be!!!!!!I do not opt to turn a blind eye on this!!!

I dont claim that they were malicious but again moving beyond the shadows of suspicion renders someone more wise!!!!!

I appreciate for the provocation mr Character X
 
Tatizo la baadhi yetu Watanzania ni wavivu wa kufanya uchunguzi katika mistali ya mabandiko ya watu hapa na kudhani tunafahamu kumbe hatufahamu.

Mara nyingi kipya huwa ni kinyemi na usione vinaelewa hapa Jf lazima vitakuwa vimeundwa.

Jf ni maktaba ambayo ukitaka kufanya uchunguzi na uchambuzi utapata kila kile unachokitaka.

Kwa kuwasaidia pateni hii habari kutoka maktaba ya Jf ili mumfahamu huyu binadamu anayeenda kwa jina la ZeMarcopolo.

MOD's Sijavunja taratibu wala sheria za Jf kwa sababu hizi data nimezipata hapa hapa Jf.

https://www.jamiiforums.com/tanzani...ugombea-ubunge-morogoro-kusini-mashariki.html

Michuziblog waliandika hivi,

Huyu binadamu munayempa shinikizo la kiingereza wasifu wake ni huu,

Sorry ZeMarcopolo kama nitakuwa nimekukwaza ni vizuri watu wakaufahamu upande wa pili ili wajikite kwenye hoja iliyo mezani.

Aiseee, kumbe ndo jamaaa, sasa naanza kuelewa baadhi ya misemo ya kisiasa.
 
you have a point- on the other hand, thank you comrade.
 
Dingswayo
12th April 2013 18:20
#9 JF Senior Expert MemberArray

[h=2]
icon1.png
Re: Zermacopolo atangaza nia ya kugombea ubunge Morogoro Kusini Mashariki[/h]
Siamini kwamba huyu mtu ni Dr. ukilinganisha na post zake anazoziweka hapa katika juhudi zake za kugandamiza demokrasia. Huyu mtu amekuwa akipinga hoja nyingi hata kama zinaelekea kueleza mantiki (logic). Hata hivyo naweza kuelewa nia yake ya kufanya hivyo kutokana na dhamira yake hiyo ya kugombea ubunge kupitia ngazi ya ccm. Nimeelewa kuwa kumbe msimamo wake huo hauletwi na uzalendo wake , kitu ambacho ni dhahiri, bali kwa kujinufaisha yeye binafsi.

Nilishawahi kuelezea habari moja kuhusu rafiki yangu marehemu Prof. Seth Chachage. Alipopata PhD yake nilimpongeza na kumwambia, "Hongera bwana, sasa tutakuita Dr."!

Alinijibu kwa uchangamfu, kama kawaida yake ilivyokuwa, "Wewe vipi bwana, usijali maana tumewaona wengi kama Dr. Nyamwicho, Prof. Vulata na wengine wengi"! Mimi nilimwambia aache utani na apokee hongera.

Hata hivyo, maneno ya Prof. Chachage, pamoja na kwamba aliyasema kwa mzaha, yalibeba maana kubwa kuliko mzaha. Maana yake ni kuwa unaweza ukajiita msomi, lakini usomi wako uwe na manufaa katika jamii. Wengine mnaweza kutafsiri maneno ya Prof. Chachage jinsi mtakavyoona.​

Tatizo la baadhi yetu Watanzania ni wavivu wa kufanya uchunguzi katika mistali ya mabandiko ya watu hapa na kudhani tunafahamu kumbe hatufahamu.

Mara nyingi kipya huwa ni kinyemi na usione vinaelewa hapa Jf lazima vitakuwa vimeundwa.

Jf ni maktaba ambayo ukitaka kufanya uchunguzi na uchambuzi utapata kila kile unachokitaka.

Kwa kuwasaidia pateni hii habari kutoka maktaba ya Jf ili mumfahamu huyu binadamu anayeenda kwa jina la ZeMarcopolo.

MOD's Sijavunja taratibu wala sheria za Jf kwa sababu hizi data nimezipata hapa hapa Jf.

https://www.jamiiforums.com/tanzani...ugombea-ubunge-morogoro-kusini-mashariki.html

Michuziblog waliandika hivi,

Huyu binadamu munayempa shinikizo la kiingereza wasifu wake ni huu,

Sorry ZeMarcopolo kama nitakuwa nimekukwaza ni vizuri watu wakaufahamu upande wa pili ili wajikite kwenye hoja iliyo mezani.
 
Tatizo la baadhi yetu Watanzania ni wavivu wa kufanya uchunguzi katika mistali ya mabandiko ya watu hapa na kudhani tunafahamu kumbe hatufahamu.

Mara nyingi kipya huwa ni kinyemi na usione vinaelewa hapa Jf lazima vitakuwa vimeundwa.

Jf ni maktaba ambayo ukitaka kufanya uchunguzi na uchambuzi utapata kila kile unachokitaka.

Kwa kuwasaidia pateni hii habari kutoka maktaba ya Jf ili mumfahamu huyu binadamu anayeenda kwa jina la ZeMarcopolo.

MOD's Sijavunja taratibu wala sheria za Jf kwa sababu hizi data nimezipata hapa hapa Jf.

https://www.jamiiforums.com/tanzani...ugombea-ubunge-morogoro-kusini-mashariki.html

Michuziblog waliandika hivi,

Huyu binadamu munayempa shinikizo la kiingereza wasifu wake ni huu,

Sorry ZeMarcopolo kama nitakuwa nimekukwaza ni vizuri watu wakaufahamu upande wa pili ili wajikite kwenye hoja iliyo mezani.

Kumbuka hata Maji marefu nae anajiita Professor.....
 
Una haki ya kutoa mtazamo kulingana na akili zako zinavyokutuma!!!!

Hii statement "I don't know much pertaining to what the actual situation in the political plat forms in our beloved country are like, because I, despite aspiring to become one some day, am not a politician at the moment. This therefore should provide room for leniency in case of a few misconceptions of reality as opposed to how things may appear to be, to many of us observers"

Kisha
"........................ i said i don't know much about what really happens behind the scenes in the political world and in CHADEMA right now.............."

then ukajump

"................I position myself in Mr. Mbowe's shoes.............."

How come you find yourself on the side of Chairman if you are unsure of what is really happening on the groud??????????............You are not making an informed decision..................i guess!!!!!
 
Tatizo la baadhi yetu Watanzania ni wavivu wa kufanya uchunguzi katika mistali ya mabandiko ya watu hapa na kudhani tunafahamu kumbe hatufahamu.

Mara nyingi kipya huwa ni kinyemi na usione vinaelewa hapa Jf lazima vitakuwa vimeundwa.

Jf ni maktaba ambayo ukitaka kufanya uchunguzi na uchambuzi utapata kila kile unachokitaka.

Kwa kuwasaidia pateni hii habari kutoka maktaba ya Jf ili mumfahamu huyu binadamu anayeenda kwa jina la ZeMarcopolo.

MOD's Sijavunja taratibu wala sheria za Jf kwa sababu hizi data nimezipata hapa hapa Jf.

https://www.jamiiforums.com/tanzani...ugombea-ubunge-morogoro-kusini-mashariki.html

Michuziblog waliandika hivi,

Huyu binadamu munayempa shinikizo la kiingereza wasifu wake ni huu,

Sorry ZeMarcopolo kama nitakuwa nimekukwaza ni vizuri watu wakaufahamu upande wa pili ili wajikite kwenye hoja iliyo mezani.

Safi sana, naona kwa nondo hii, watu wataacha dharau zao sas!
 
Kuongea kiingereza kwa baadhi ya watu wanaona ufahari na wanadhani ndio kipimo cha elimu ndio maana kuna mzee alisema Uingereza watu wana akili sana kwa sababu hata watoto wa miaka mitano wanaongea kiingireza!!!

Ninaongea kiingereza ninapohitajika kufanya hivyo, lakini siamini kuwa kuongea kiingereza ndio kuwa na akili nyingi.[/QUOTE]

Ze makopo kwa nini usijisomee uhuru na mzalendo na ukizidiwa kasome michuzi huku kuna watoto wa kiume tu
 
Ze makopo huna hata mstari wa kucopy ukatuwekea pole sana kwa degree yako yw udaku hapa sio lumumba
 
Back
Top Bottom