My friend Zitto Kabwe

My friend Zitto Kabwe

We mjinga Asha mohamed aka Matola 2 kiujinga ni wajinga kweli unadhani kujua kingereza ndio kuwa msomi sana? Juma nature anajua kingereza lakini kaishia la saba.

Come down dude!!
Dnt spit elsewhere meen.. i gatta no cover in here.. Just be calm, if tha barrier is language, then skip tha thread..
U cn jump into udaku and the like, whr english is unwelcome foreigner..
ka! ka! ka! ka! ka! ka!
 
Last edited by a moderator:
Teh! Teh! Teh! ZeMarcopolo, you see your juniors cant comment anything!! they real need buku 7!! help them with another Swahili Topic Please.
 
Teh! Teh! Teh! ZeMarcopolo, you see your juniors cant comment anything!! they real need buku 7!! help them with another Swahili Topic Please.
Thanks nimeona umekuja na (UNAFIKI Unatawala Bavicha) hahahahaaa hapo buku saba wote watajaa!!
 
Kumbuka hata Maji marefu nae anajiita Professor.....
Unaweza kumalizia kwa kusoma hapa ili kuondoa wasiwasi wako.
2001 – 2008: Kufuatia kufanya vizuri kitaifa katika mtihani wa kidato cha sita wa mwaka 2000 alipata nafasi ya kwenda kusomea udaktari wa binaadam nchini Jamhuri ya Czech. Nchii hii imepakana na Ujerumani upande wa magharibi, Poland upande wa kaskazini, Slovakia upande wa mashariki na Austria upande wa kusini. Lugha ya taifa la Czech inaitwa Ki- Czech, hivyo basi alilazimika kujiunga na shule maalum ya kufundisha lugha hiyo kwa mwaka mmoja. Baada ya kufuzu mafunzo ya lugha alijiunga na kitivo cha kwanza cha udaktari cha chuo kikuu cha Charles kilichopo Prague, Jamhuri ya Czech. Chuo hiki kilianza mwaka 1347, na ni chuo cha zamani zaidi kuliko vyote katika Ulaya ya kati! Akiwa chuoni hapo waalimu wake walishangazwa sana na uwezo wake mkubwa wa kusoma udaktari kwa lugha ya ki-Czech ambayo amejifunza kwa mwaka mmoja tu. Alimaliza masomo ya udaktari na kupewa shahada ya uzamili ya udaktari mwaka 2008. Profesa Vladimir Bencko, alimuomba aendelee na masomo ya uzamivu yaani PhD chini ya kitengo cha utafiti wa magonjwa. Alikubali na kujiunga na masomo hayo, ambayo mpaka sasa ameshamaliza kozi zote za kuingia darasani na hivi sasa yuko katika hatua ya kuandika ripoti ya utafiti. Katika kipindi hicho ameshiriki katika makongamano mbalimbali ya sayansi ikiwa ni pamoja na kongamano la Dunia la afya ya jamii lililofanyika Istanbul, Uturuki mwaka 2009. Kongamano hili lilihudhuriwa na viongozi mbalimbali duniani. Tanzania iliwakiliswa na Dk. Bertha T.A. Maegga (ambaye ni katibu mkuu wa Chama Cha Afya ya Jamii Tanzania) na Dk. Imani Hamza Kondo.


Akiwa nchini Jamhuri ya Czech, Dk. Imani Hamza Kondo alikuwa mstari wa mbele katika shughuli za kijamii . Alikuwa kiongozi wa chama cha waafrika wanaoishi nchini jamhuri ya Czech. Pia aliasisi usajiri wa tawi la Chama Cha Mapinduzi Jamhuri ya Czech.


Dr. Imani Hamza Kondo ametembelea nchi mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na Jamhuri ya Czech, Kenya, Misri, Qatar, Uswisi, Austria, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Slovakia, Marekani, Uturuki, Ubelgiji, Uholanzi na Italia. Katika kila nchi alizotembelea ameongeza upeo na kuweza kujifunza mambo mbalimbali ambayo anaweza kuyatumia kuleta maendeleo nchini.


Dr. Imani Hamza Kondo anaamini kuwa binaadamu wote ni sawa na kwamba utawala bora ndio msingi wa amani katika taifa letu. Kwa kuheshimu haya kwa vitendo tutafanikiwa kujenga uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea .
 
istanbul_photo.jpg
 
I write this out of respect for what you are - your abilities, and for what you have always wanted to become- your values, beliefs and dogmas of political inclination. Out of respect for acknowledging that you are NOT perfect but nevertheless struggling to be.

For very well knowing that the world economy and Tanzania's- for that matter can NOT be perfect but yet still struggling to them end, for knowing we can not have a whole nation of rich people with no one poor at all but still working hard to instill the same ideology to the powerful and hoping it would materialized some day. Out of respect for being a daring fellow young man in this Generation.

I don't know much pertaining to what the actual situation in the political plat forms in our beloved country are like, because I, despite aspiring to become one some day, am not a politician at the moment. This therefore should provide room for leniency in case of a few misconceptions of reality as opposed to how things may appear to be, to many of us observers.,

I MUST acknowledge your massive input to CHADEMA's recent raise to public recognition as an alternative party to the frailly aging CCM who have grown so large that us economists would diagnose their economies of scale as beginning to act to their detriment. You have been instrumental to the imaging of CHADEMA as a people more organized, more informed and more willing to provide for an atmosphere for a true economic revolution in our Tanzania. And that does not change not even now!

I For one have learnt quite some much from your dialogs and publications, on the different topics relating to energy, tax avoidance,good governance. Your views pertaining to patriotism and national sovereignty and your approach of these has been impeccable. At last it downs in Africa that God still has for Africa a few people with the right preparation to tackle the economical, social and political challenges impairing Africa's glide to economic liberty.

In my view, there have been times of glory for you and for CHADEMA as a party too, but certainly we will all agree that the recent few weeks have not been a walk in the park for either sides, its been sweat and blood, its been times of tears in the party because it was time for DECISIONS!

I don't want to go into the- who was right and who was wrong. I thought I might get myself lost for like i said i don't know much about what really happens behind the scenes in the political world and in CHADEMA right now. Pointing fingers might leave my conscience troubled.

But i will try to put my opinion open so anyone might know and be free to criticize.

As a leader, I position myself in Mr. Mbowe's shoes and I see how tough it has been for him to make this decision. No hard feelings to my friend and mentor to whom I am, and have always been a distant admirer Zitto zuberi Kabwe.
- Its the right decision

I don't know what you comrades might have your beliefs in, but to me its about the very values of leadership as the foundation for true economic liberation. Values that give us the political moral authority to point a finger to the ruling counter parts and criticize them of their actions. And to me it doesn't matter whether we win or lose the elections, if we can not hold one another accountable with in the party, we dont have that moral authority to hold CCM accountable for their misconduct.

Like you have always said Mr Kabwe, "this is a matter of principles"

In winding up,I would like to commend the right judgment of the CC for upholding the morals that I thought we have been fighting for all along.

and to you my friend, I commend your mature response to the CC's decision, I thought you were awesome on your press conference that day. A decision to accept wrong doing and work to correct your wrong reaffirms my trust in your abilities and approach to things. Please follow through the directives by the CC and get this chapter behind us.

Hope to see you and shake your hand some day.

Yours,
Character X

Chukua tano mkuu .Zitto ni ndugu yetu ila nadhani akisha soma hapa ataona vilio vyetu kumbe siko peke yangu .
 
Unaweza kumalizia kwa kusoma hapa ili kuondoa wasiwasi wako.

Everybody can create a story and people believe its existance while it is fictitious story.... Mwenzio anatumia synonymous name bado unamuumbua tena.
 
Safi sana, naona kwa nondo hii, watu wataacha dharau zao sas!

Unapongeza nini??
Hata profesa kapuya kapuya anayo cv nondo zaidi ya hiyo.. By the way ukisoma bandiko la ng'wapalala japo ni quotation lakini unashndwa kusema yeye sio zemarcopolo.. Nevertheless kujua lugha ya ki'czech sio kujua kingereza.. English ni bznes language, kila mtu yampasa kujua.. Czech ni local language.. Cv ya huyo dr. Iman tv inaonesha kabisa kuna uhalali wa yeye kutojua kingereza.. Hyo kusafiri safiri kwenye englsh spkng countries pia haim'guarantee kujua kiingereza.. Hata sisi tunaenda Oman lakini hatujui kiarabu!
 
I prefer all the posts and threads pertaining pro-chadema are possed in english language, to avoid these simple-minded, who cnt argue in said langoo.. At most we cn reduce rubbish here..
 
Everybody can create a story and people believe its existance while it is fictitious story.... Mwenzio anatumia synonymous name bado unamuumbua tena.
Not every human behaviour revolve around crime with criminal mentality.

Hizi habari nimezitoa humu Jf kama nilivyoonyesha kwenye bandiko langu la kwanza.
 
Article yako nzuri isipokuwa content haina mashiko, inaonekana ni kama umetumwa na kina Mbowe uyaseme hayo na mengine si matamshi ya ya kina ZZK na Kitilaa umeyatunga
 
Article yako nzuri isipokuwa content haina mashiko, inaonekana ni kama umetumwa na kina Mbowe uyaseme hayo na mengine si matamshi ya ya kina ZZK na Kitilaa umeyatunga

kama lipi la zitto ambalo unadhani nimetunga?
 
Product za shule za kata!! Poor U!

Ishu NI lugha Ya Taifa, co kata. Nyie mnaokomment Kwa vipi mnakoment kiswahili badala Ya kiBlair. Mwenzio aliyejaribu kaandika 'THIS ARE' we Umeona Yupo sahihi?
 
Hahaha andika mipasho yako kwa kiingereza sasa "Chadema ni chama kinachoongozwa kwa misingi ya Kilaghai".

Utaishia kung'aa macho tu

We unajulikana Kwa kuchangia mistari Mingi sana kwenye Ishu uzipendazo, Nashangaa hapa umeishia nusu mstari tu, af unamsema mwenzio
 
ka! ka! ka! ka! ka! ka!
umepatikana leo... huna cha kuchangia.. na hu uzi utapata wachangiaji wa upande B, wachache sana kutokana na ngeli..

ka! ka! ka! ka! ka! ka!
u've been caught today.. u gatta nothng to comment.. and this thread gonna secure few commentors from side B, amid the used of ngeli..

UMETUCHEKI WENYEWE?!???

ka! ka! ka! ka! ka! ka!

The used of ngeli Au the use of ngeli, ht secure NI sahihi lakini co appropriate sn ulipoitumia
 
Back
Top Bottom