Bwana Mudogo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 458
- 78
Swala la Zitto lijadiliwe kwa Kiswahili...
Maswala muhimu ya kitaifa yajadiliwe kwa Kiswahili...
Umeliona hili tu! Mbona hauendi kuwaambia mabwana zako mikataba iandikwe kwa kiswahili,Kule bungeni munawapa shida wabunge wenu wengi tu kwa kuwaandikia kanuni na miswaada ya kiingereza,Miongozo inayoenda kwenye halmashauri kutoka TAMISEMI mbona mingi na muhimu yote ni ya kiingereza! Mengine jazia mwenyewe.................