My friend Zitto Kabwe

My friend Zitto Kabwe

What prove beyond reasonable doubt do you need? wezi wa EPA kurudisha hela? without no further action? Wauza madawa ya kulevya tunawajua mjirekebishe? Mafisadi ndani ya chama wajivue gamba, la sivyo ndani ya miezi mitatu tutawavua gamba kwa lazima, with no action taken. History will judge us for what we are doing right now, Our great grandsons and daughters will ask what did we do today to make their life better? Hivi ushawahi jiuliza kwa nini colonialist crossed Atlantic ocean and Mediterranean sea to Africa and America? And majority of them died in the process, they thought about the future GENERATIONS, They were not GREED like you guys.
 
حزب تشاديما ني شاما kinachoongozwa كوا misingi يا Kilaghai "

Hahahahahhahahha

Watu mbona hamuishiwi vituko jamani?

Kuongea kiingereza kwa baadhi ya watu wanaona ufahari na wanadhani ndio kipimo cha elimu ndio maana kuna mzee alisema Uingereza watu wana akili sana kwa sababu hata watoto wa miaka mitano wanaongea kiingireza!!!

Ninaongea kiingereza ninapohitajika kufanya hivyo, lakini siamini kuwa kuongea kiingereza ndio kuwa na akili nyingi.
 
Hatujui who is wrong or right but to my views Zitto ni msaliti, si tu kwa chama but kwa wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla!

Mzee Dogo, If you do not know who is Right and who is Wrong, then on what base do you judge ZZK "Msaliti"??? Is it that you go by anything Mbowe says??
 
Leo vijana wa Lumumba kimyaaa! wanapita tu kama vivuli! Kweli Lugha ya malkia hii!

I'm really honored character x, those Lumumba germs much as they would like to pour their tiny brains out and comment nonsense, but with the languange barrier encountered, they will just have pass... quietly! Sorry!
 
Zitto alitaka kumuua Mbowe na Lema kwa ajili ya Madaraka Katika Bomu Soweto Arusha.

Ni kweli hii issue alikuwa anaijua vyema ndio sababu hata nafsi ilimsuta akashindwa kuongozana na wenzake kwenda Ars kuwapa pole wahanga.
 
Then it was enough to say i( the author) blindly follow and agree with the decision made despite my limited knowlwdge on the matter!!!!!!

You dont support the principles without abundant information on grounds within which the said principles are operating!!!!!!

While short of information on the same matter how do you know the principles are relative, right and are correctly applied in the due cause of holding someone accountable????!!!!

i have talked about this already, and i will yet again if need be - well this time hoping that someone will understand me.
Nimesema sitaki kuliangalia hili la maamuzi ya CC nikiwa tayari na mawazo kuhusu mahusiano mabaya au mazuri ya Mh. Mbowe na Mh. Zitto kichwani, kufanya hivyo kutasababisha kupoteza judgement sahihi kuhusu swala hasa hapa (issues in the case)
nikama kusema keeping all other factors constant (Factors i have chosen not to go into) (factors of their relationship behind the scene), the decision was CORRECT!

Ndugu yangu, silazima mawazo yangu yawe yakwako, nakubali kusikiliza mawazo tafauti na ya kwangu, na nina ya heshimu mawazo ya kila mtu irrespective of whether nadhani ni sahihi ama la.
Lakini nimejaribu kueleza mtazamo wangu na kuutetea, ikiwa nipamoja nakueleza mazingira yanayopelekea kufikia mtazamo huo, Ila kama sijafanikiwa kukushawishi basi tunaweza kukubaliana kuto kukubaliana katika hili, lakini tukaendelea kushirikiana katika mengine, na ikiwezekana tukakubaliana katika mengine.
Nikushukuru sana.
 
While accepting the partial knowledge in you concerning the turmoil how come you agree that it was a right decision!!!!!!!

How do you arrive to such a conlusion!!!!!!!
Can you come.out with the premises leading to your conlcusion please!!!!!

The victims have accepted the decision made by CC in the public. It's a decision not made out of thin but on facts. What they had planned to do however sweet it was, the fact that it was being done under the carpet that alone makes it malicious and their intention malicious. The least we can say to ZZK and his bandwagon is that next time whether in or out of CDM is to do things openly. Short of that they will be branded traitors
 
What prove beyond reasonable doubt do you need? wezi wa EPA kurudisha hela? without no further action? Wauza madawa ya kulevya tunawajua mjirekebishe? Mafisadi ndani ya chama wajivue gamba, la sivyo ndani ya miezi mitatu tutawavua gamba kwa lazima, with no action taken. History will judge us for what we are doing right now, Our great grandsons and daughters will ask what did we do today to make their life better? Hivi ushawahi jiuliza kwa nini colonialist crossed Atlantic ocean and Mediterranean sea to Africa and America? And majority of them died in the process, they thought about the future GENERATIONS, They were not GREED like you guys.


We make life better by pinning someone down just like this???!!!!
They crossed for a purpose,what is ours on this???!!!
We are doing something better this time by checking on every CDM move ,why the hell you bring in examples from the old school mistakes,are you taking them for a role model or what!!!!!

Greed is a blanket means to name call anyone who oppose your views?????
Evidence please mr officer!!!!!
 
Ohoo mara Mbowe alifeli mara Lema hana akili mara Sugu kichwa maji sasa shusha nondo kwa kiingereza kuwa "CHADEMA ni chama cha Kilaghai" au "TANZANIA DAIMA ni gazeti la udaku" nilishakuambia wewe ni Ngariba sasa leo ndio umekamatika CC Simiyu Yetu Chabruma CHAMVIGA Ritz na wadaku wengine

We mjinga Asha mohamed aka Matola 2 kiujinga ni wajinga kweli unadhani kujua kingereza ndio kuwa msomi sana? Juma nature anajua kingereza lakini kaishia la saba.
 
Last edited by a moderator:
I think zitto deserve a second chance

I second you Spanerboy, this is the best and commendable "move" for the time being!. Unless otherwise, some CDM CC members have some hidden agenda over Mr. Kabwe's saga.

Let us wait and see!!
 
Zitto alitaka kumuua Mbowe na Lema kwa ajili ya Madaraka Katika Bomu Soweto Arusha.
Huyu mtu hatari sana ana asili ya kihutu we should handle with care,

akikosa anachokitaka anaweza kuingia hata mstuni.
 
Hahahahahhahahha

Watu mbona hamuishiwi vituko jamani?

Kuongea kiingereza kwa baadhi ya watu wanaona ufahari na wanadhani ndio kipimo cha elimu ndio maana kuna mzee alisema Uingereza watu wana akili sana kwa sababu hata watoto wa miaka mitano wanaongea kiingireza!!!

Ninaongea kiingereza ninapohitajika kufanya hivyo, lakini siamini kuwa kuongea kiingereza ndio kuwa na akili nyingi.

Still wobbling in the same manner.... Very sorry get healed on this....
 
Zitto alitaka kumuua Mbowe na Lema kwa ajili ya Madaraka Katika Bomu Soweto Arusha.

Guys, sometimes we need to be objective and fair! Una uhakika na ulichokiandika?? Or this is just "here say"???. Umeona mwenzako Kilewo kakimbilia kuutoa ule waraka wa kwenye Blog yake baada ya kusikia CDM wenyewe wameukana????.

At JF, we do not need people to just speak out (write something) for the sake of speaking (writing) while they do not have any proof or just because they are 'hidden" under the FAKE Identity!!
 
Ahaaaa!!! Today they got you. Please we need your contribution in this subject matter and your contribution should be in the same language. As I can recall you always comment on the education and qualifications of of Chadema members especially the Chairman, now the issue is at your hands please ZeMarcopolo we want to hear from you

Swala la Zitto lijadiliwe kwa Kiswahili...

Maswala muhimu ya kitaifa yajadiliwe kwa Kiswahili...
 
At least for standard of Tanzania to know English is a sign of being educated and that is what Asha Mohamed is asking you guys to comment in the same language. We are waiting your contribution please CHAMVINGA, ZeMacopolo, Chabruma and all Lumumba team
We mjinga Asha mohamed aka Matola 2 kiujinga ni wajinga kweli unadhani kujua kingereza ndio kuwa msomi sana? Juma nature anajua kingereza lakini kaishia la saba.
 
Hahaha andika mipasho yako kwa kiingereza sasa "Chadema ni chama kinachoongozwa kwa misingi ya Kilaghai".

Utaishia kung'aa macho tu

Huyo ZeMarcopolo ndo wale wa zile % za kwenye ule utafiti, yaani wenyewe ni kuburuzwa tu shule hakuna hapo
 
BOKO HARAM pita tu mkuu,hapa ni bila bila.ila kwa kuwa katajwa tajwa Zitto,pepesa macho kwny posts na sio uzi
 
Tell your friend, he cannot become a power in his community nor achieve enduring success in any worthy undertaking until he become big enough to blame himself for his own mistakes and reverses. The earlier "confidential report", though it was disowned by CHADEMA, but the kind of evidence portrayed therein, totally unmasked him. Also his current decision, taking criminal actions against Kilewo, will smash him politically.
 
Back
Top Bottom