My first ebay Shipment

Posta ningeweza kuamini sababu agents wa TRA huwa wameridhika na hawakagui mizigo ikifika pale posta na huwa mizigo ya posta hawekwi katika custom warehouse kama ilivyo mizigo ya Fedex na ndugu zake.

Posta mizigo inapelekwa TRA kama kawaida tu, Mzigo wangu ulifika nikaenda kuuchukulia TRA, walinam ia laki mbili ambayo ni sawa na bei ya kitu cha chenyewe tukasumbuana nikachukua mzigo kwa buku hamsini, Sema vitu used kama hivi na kama simu utapata exemption from tax labda kama umenunua in bulk, ila kama ni kimoja kimoja siku hizi unachomoka vizuri tu..
 
Utaweza kuiunlock ila sasa tatizo linakuja bongo CDMA technology wanatumia TTCL tu hao wengine wako GSM hapo ndipo maumivu yanakuja

daah kweli kaka hivi zantel hawana cdma? by the way hivi nikifanikiwa kuiunlock, c nnaweza kukomaa na watu wa data wao tukaifanyia cdma reprogramming?
 
daah kweli kaka hivi zantel hawana cdma? by the way hivi nikifanikiwa kuiunlock, c nnaweza kukomaa na watu wa data wao tukaifanyia cdma reprogramming?
Zantel sina habari nao, am not sure.. Na kusema ukomae kuifanyia CDMA reprogramming si rahisi ki-hivo, hapo option unayobaki nayo tumia tu kama gaming machine vuta kitu kingine cha GSM unless utapata wanaotumia CDMA bongo wakakufanyie registration, labda jaribu Zantel kama unavosema nimeona wikipedia wamesema kitu kama hicho,
 
Wakuu nimefata process zote za kuji register ila nakwama kwenye kujaza credit card information kipengele cha card number na security, inasema "valid information required". Je, natumia kadi yangu ya crdb, je Card ya CRDB inakubali kujaza hii ama?
 
weka namba yako ya card kwenye kitambulisho chako cha bank,after hapo ngeuza nyuma ya kitambulisho chako mbele ya sahihi/signature yako kama ni card ya CRDB mbele ya kadi yako kuna tarakimu 3 ziweke hapo kwenye security code.utakuwa umemaliza.
 
imekubali mkuu, shukrani sana.
 
Utachomoka vizuri posta lakini dhl, fedex, ups nk hakuna kuchomoka.. thatz y nikasema kwa posta sio ishu coz tra officers hawako serious.
 
jamani exim inakubali Ku shop

Sijaona mtu akitumia lkn any VISA/MASTERCARD inao huo uwezo
Contact branch moja ya exim waulize wakileta ubishi we fanya registration paypal uone watakupa jibu gani...wakisema card denied by the issuer basi inabidi wai enable wasipo sema furaha kwakp
 
wafuate zantel watakutengenezea lini ya cdma kwa 10,000/= network yao inapatikana dar tuu
 
Ahsante joel lubyama. Advantage ya hii myus ni kuwa unaweza kununua bidhaa popote duniani. Na sio kwamba unapunguza gharama. Kwa maana hyo ukitaka kununua mzigo ebay ambao una free shipping...na ukatumia myus lazima unagharamika...si ndio?
free shipping ni kutoka mzigo ulipo(seller location) kwenda Myus addresss uliyopewa, myus watakujulisha mzigo wako ukifika then utawapa method ya wao kukufikishia mzigo,either DHL,FedEx,EMS and others
 
nina swali kwa wazoefu., FedEx ipo na mabranch mikoani maana sijaona tanzania kwenye web yao,pia mimi nipo mwanza ,.Je? FedEx wana tawi mwanza.very imporntant
 
Mimi nimetumia sana mkuu, ila ni kwa Silver na Gold card tu.
 
Tatizo ka lako limenisibu...Merchants huwa wanaship mizigo kwa kuangalia ile adress ya PayPal
sasa mm nikiingia paypal ku-add mzigo siwezi badili country nimewekewa Tanzania
msaada nifanya je?
 
Tatizo ka lako limenisibu...Merchants huwa wanaship mizigo kwa kuangalia ile adress ya PayPal
sasa mm nikiingia paypal ku-add mzigo siwezi badili country nimewekewa Tanzania
msaada nifanya je?
hapana kaka merchant anaangalia address uliyoandika kwenye purchase invoice form,kwamfano,.. Ebay wanatumia user address na sio paypal address.., ukienda kila store wanakupa option ya shipping address.,paypal ni payment method and not shipping method mkuu. hata dell,applestore na almost store zote nilizotumia mwisho wa kucheck out ili ununue item lazima uletewe shipping address,hapa sas ndio unatumia myus address yako.,hope umenielewa mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…