yes kaka japo balance bado ni due maana sijawalipa cjui niwazke
yes kaka japo balance bado ni due maana sijawalipa cjui niwazke
usifanye hivi. Ni tabia kama hizi baadhi ya watu wanakwepa kufanya business na waTZ, utamzima usd 55 and you will not be able to do business with them again, utaenda kampuni ingine utawazima, hizo hizo hadi utakuta umebaki peke yako, umejitenga
Mkuu usifanye hivyo, kwa ktwa umeyakubali mashariti yao na wamekuwa waaminifu kukutumia mzigo wako walipe pesa yao, vinginevyo unaweza kutuharibia wa TZ wote tukaonekana matapeli.
Kwanza nashukuru kwa uzi mzuri wa kufungulia mwaka.
Naomba kuuliza, hao myus wanaweza kutransfer mpaka mikoani(arusha)? , au mwisho ni dar alafu unafanya ustaharabu mwingine.
ni simple tu mkuu,
ukiingia kwenye website ya myus.com unasign up then unachagua membership inayosuite matumizi yako. kwa mfano, mimi nlijiunga kama standard user ambapo walideduct equvalent ya 9usd as setup cost. baada yahapo wanakupa adress ambayo ndio unakua unaitumia then wewe unachagua physical adres ya huku bongo ambapo ungependa wafanye delivery. hii inasaidia endapo a certain seller kwenye ebay hafanyi shipping to TZ.
e.g my us adress is:
Current Address
Don Lucchese
42838 press Lane
Suite 326-977
Sarasota, FL 34238
(941) 538-6941

kaka sijalipia ushuru kiasi chochote, hiyo company nimejiunga nayo wameship directly mpaka ofisin kwa bro. ni samsung galaxy Epic 4G used kwa $30
Kwanza nashukuru kwa uzi mzuri wa kufungulia mwaka.
Naomba kuuliza, hao myus wanaweza kutransfer mpaka mikoani(arusha)? , au mwisho ni dar alafu unafanya ustaharabu mwingine.
shukurani mkuu!ndo najaribu hapa kufwata maelekezo yako.BUT Naona hapa kwenye registration hawa jamaa wa myUS, wana taka card no. na security no. vp hii security code mbona nina wasi wasi kidogo..!!ni lazima niweke ninayo tumia o niweke mpyaa mkuu?
usiwe na wasi wasi
chakufanya hakikisha website uliyoifungua ni yenyewe e.g myus,ebay,paypal usijefanyiwa mchezo wa Phinshing uka-submit credentials zako za card ikala kwako
Na icho ndo kitu cha kungalia siku zote
Ndo wenyewe!Nimefanikiwa Kufungua A/c mkuu. after Hapa Naweza Kuingia Ebay Na Ata Amazon Kufanya Purchases Mkuu! Au Only Kwa Shop Yao??
But unamlipa nani ile shipping costs to Tz! kama ni wao inamaana mzigo ukifika kwao wanakuambia wata ship kiasi kwa bei gani