sio kumtisha kamuulize na Brakelyn au kasome comment yake kuhusu Aliexpress...
Ikumbukwe hadi eBay matapeli wapo ndo maana tunashauriwa kununua kwa wale wenye positive score nzuri tu
Mbona siku nyingine niliagiza Huawei 3131 ikafika bongo kutoka aliexpress bei zao ziko poa ila ikumbukwe ni Chinese product pia...
Unanunua simu wamekwambia 8GB ROM ukiweka movie za 1GB simu inapiga kelele battery low...hivo kua makini kitu unachonunua
hicho cha ubora wa bidhaaa MKUU ni shidaa sana aisee nimekuwa nikijiuliza kila siku bila kupata jibu sababu nilikuwa naangalia mashine car diagnosis mashine.
nikiangalia eBay Naona bei juu nikichungulia aliexpress naona bei iko chini nikiangalia sifa za mashine Naona sawa KAZI za mashine ni sawa.
Mkuu ni upande upi una bidhaa zenye ubora kidogo??
maana mtu unanunua mashine ya mamilion then inakuwa feki mbona balaa.
Africa faithfullnes is equal to zero wakati ndo core unit ya online businness...
Ss hatununui tu USA hata china ili mradi tu tunachoitaji ni BUYER PROTECTION kama hiyo link ina buyer protection basi tutaanza kuitumia pia sio votu vyote utavikuta kwenye hizo site za kibongo mfano mm nataka VIAGRA hapa lazima ebay au amazon iusike
darhood kama unataka import ps3 itabidi ujipime mwenyewe haraka uliyo nayo
kama una hamu ifike baada ya siku 3 kutoka us basi tumia DHL na Fedex
lkn kama hauna shida na hii ya kuwahi waweza subiri 14days bila shida basi tumia shipping method aliyoweka seller wa eBay ambayo huwa ni kwa njia ya posta mara nyingi
njia ya posta hautojua zigo umefika au la maaana tracking zake sio nzuri zaidi ni wewe kufatlia posta btn 2-3weeks
fedex na dhl tracking ziko poa sana na ni very fast
ushuru wa vitu personal ni mara chache wakakutoza
kaka sijalipia ushuru kiasi chochote, hiyo company nimejiunga nayo wameship directly mpaka ofisin kwa bro. ni samsung galaxy Epic 4G used kwa $30
yakuaminika kaka, halaf wakiupata tu mzgo wakp wewe mwenyewe unachagua waship kwa standards gan thrn wanakutumia mzgo wako kabisa hata kabla hujalipia shipping costs
Hivi hakuna restriction ya imported items maana naona VIAGRA hapo
Muulize seller wako kabla hujanunua mzigo utachukua siku ngapi kufika Tanzaniawataalam wa eBay kuna hii kitu inaitwa Economy international shipping sasa kuna mzigo kutoka hongkong nataka niagize ambao utatumia Free shipping kwa hongkong international shipping vipi kufika bongo kutokea hongkong itachukua mda gani? imebidi niulize maana nishazoea kule aliexpress huku eBay mie mgeni kidogo