I still do not understand why it takes days siku hizi, when I signed up for paypal 4yrs back I had everything done in a 1 hour lunch break, labda the system changed between then and now and hata nikilipia for something online it shows up on my statement in no time....
I also advice you to sign up with internet banking, it will save you trips za kwenda bank kuangalia statement among many other things
but I heard wanakata hela nzuri tu
je ni kweli Internet banking ina too much charges if y/n then how much?
wakuu vipi mitandao ya alibaba na aliexpress n mizur kwa kufanya online shopping?
wana Escrow inayo
act kama PayPal lkn utaumizwa huko we vunga PayPal ndo secure tu
nyingine wizi mtupu
Alibaba lazima uwe unanunua in BULK hawauzi pc moja moja hata kama
seller kaweka MOQ ni 1 kipindi unapost request wanazi-block mpaka useme
untaka kununua 50-100 items za hicho kitu
Aliexpress unaweza nunua kimoja kimoja lkn bei KUBWA mno na wanaship kwa
DHL na ushuru unakuhusu sana huko
Pili haiko secure mm niliwai jaribu kununua TABLET waka-close
transaction kuwa nimefanya trial zaidi ya moja afu hela ikakatwa maana
CRDB wakishapokea request ya purchase hela inakatwa...
walinilima hela nzuri na wanadai waliirudisha na mpaka sasa hamna pa
kufungua CASE na CRDB wenyewe wanazijua tu refund za PayPal
Pia kuna SCAMMERS wengi kule kuwamakini usilizwe kuna uzi jamaa mmoja
alielezea hapa JF sikumbuki vizuri
na wana njia hadi za WESTERN UNION amabzo sio secure
ni simple tu mkuu,
ukiingia kwenye website ya myus.com unasign up then unachagua membership inayosuite matumizi yako. kwa mfano, mimi nlijiunga kama standard user ambapo walideduct equvalent ya 9usd as setup cost. baada yahapo wanakupa adress ambayo ndio unakua unaitumia then wewe unachagua physical adres ya huku bongo ambapo ungependa wafanye delivery. hii inasaidia endapo a certain seller kwenye ebay hafanyi shipping to TZ.
e.g my us adress is:
Current Address
Don Lucchese
42838 press Lane
Suite 326-977
Sarasota, FL 34238
(941) 538-6941
Okoa nguvu na muda tafuta mtu unaemuamini US nunua kitu from eBay, Amazon au site yeyote ile ship kwa address yake then yeye akutumie we bongo kwa posta. Ni rahisi na nafuu, hutakuwa na haja ya kulipia hiyo physical address.
don mie niko boston sijui vipi kwani nafanya hiyo reshippiing i can do it for you aidha ununue zinje kwangu au ukitaka ninunue mimi mwenyewe kwani nitakuelewa zaidi na pia tunaweza nunulia wakuu hapo dar na kuifanya service kwako.nipe maoni yako kwa ekagundu2000@yahoo.com kama utamind.hayo mengine no ya simu na my adress ni takupa kwa email.i have access to major shops and brands in the usa.ukitaka mpya,refurbished au second hand zile watu wamerundisha lakini zipo mpya bado, wanauza kama 2nd hand.
Badala ya kutoa huduma ya reship ni bora ukatoa huduma ya kuuza tu, unasource hizo vitu kisha unanunua na kuuza kwa bei kiasi hapa jf, pia unaweza kufungua page fb. vp, drop adress unazo?
don mie niko boston sijui vipi kwani nafanya hiyo reshippiing i can do it for you aidha ununue zinje kwangu au ukitaka ninunue mimi mwenyewe kwani nitakuelewa zaidi na pia tunaweza nunulia wakuu hapo dar na kuifanya service kwako.nipe maoni yako kwa ekagundu2000@yahoo.com kama utamind.hayo mengine no ya simu na my adress ni takupa kwa email.i have access to major shops and brands in the usa.ukitaka mpya,refurbished au second hand zile watu wamerundisha lakini zipo mpya bado, wanauza kama 2nd hand.
well said brother.. ni rahisi kupitia wewe na hata kama mtu akitaka kuship kwa DHL unaweza kum-assist kwa kuandika kuwa ni gift ili yeye akwepe kodi ikifika bongo, nimeipenda na nadhani ni nzuri, ila ninapokuja kuuliza ni suala la uaminifu na uharaka na gharama, kwamfano naelewa unaweza kupokea mzigo wangu ukaniambia haujafika au ukafika ukaniambia unataka nikupe gharama za ziada za muda wako utakaotumia nikakuta ni za juu sana mpaka nikajuta nikakosa kwa kuripoti, alichosema CYBERTEQ ni sawa kuwa atleast fungua page,weka na maelezo mazuri kuwa wewe unataka kiasi gani kupokea na kumpelekea mtu mzigo DHL kwaajili ya shipment na shipment cost iwe juu yake mnunuzi wewe unachotaka ni cost ya muda wako wa kupokea na kutuma,utakuwa umerahisisha na wateja tupo, JZHOELO, njunwa wamavoko ,na wengineo.. jaribu kama unaweza na kama una muda , unaweza ukapata big profit na ukafanya personal bussiness mkuu.
mkuu mimi nimepurchase physical adress ya US ambapo shipments zangu zote zinaenda kwenye hiyo US adress then ndo wananitumia TZ mpaka ofcn kwa bro, imetake like 5days kutoka states mpaka hapa bongo
kaka sijalipia ushuru kiasi chochote, hiyo company nimejiunga nayo wameship directly mpaka ofisin kwa bro. ni samsung galaxy Epic 4G used kwa $30
MyUS.com
In detail report kuhusu myus.com:
hawa ni kama host couriers ambao wanakufadhili kwa kukupa anuani marekani,anuani ambayo sasa unaweza kununua bidhaa kwa muuzaji (seller) yeyote wa ebay,amazon na hata official sites kama apple,dell na nyinginezo. unapokuja kwenye kujaza anuani ya manunuzi na usafirishaji(shipment address/address) unajaza anuani ambayo umepatiwa na myus.com.. kitakacho fanyika ni mzigo wako unakwenda kwenye address ambayo ulipewa na myus.com na wenyewe watakujulisha kwa njia ya email au simu na kukuuliza ni kwa njia gani ungependa mzigo wako ukufikie,wenyewe wataingia gharama kukusafirishia mzigo wako na watakukata automaticaly kwenye account yako(hadi uverify lakini) na mzigo wako utakufikia saafi kabisa..hivyo hawa jamaa ni salama na wako certified na wana fanya hii huduma kwa muda mrefu sasa
vyakuzingatia ni hivi:
-utajaza fomu ya registration ambayo utaandika anuani yako na sehemu halisi uliyopo,hakikisha una kadi ambayo imewezeshwa kufanya malipo ya mtandaoni(e-banking,online purchases almost bank zote zinafanya kasoro NMB)
-utakatwa kiasi cha dola 10$,kama registration fee
-tunza password yako na suite namba ambayo ni kama username yako(muhimu sana)
-KUMBUKA kuwa anuani yako ya manunuzi sasa itakuwa ni hii ya myus.com na sio hii ya bongo hivyo nenda kwenye profile yako ya ebay au mtandao wowote unaofanyia manunuzi na uibadili address yako kuwa hii ya myus.com
-kumbuka kuangalia email yako na simu yako kama umeshanunua kitu kwa kutumia myus kwasababu watakutafuta uverify shiping method ya kuja kwako
-sasa unaweza kununua chochote kokote duniani kwakuwa tayari una address ambayo inaeleweka na ina julikana ilipo
my fellow Geeks nawashauri msiogope haya mabo wala msisite kwasababu kuna waoga wachache wanafanya mabo yaonekane ni magumu kwa wote kaajili ya woga wao,jaribu na jaribu,uliza ukishindwa na usisahau kuwa MAKINI MNO. usikurupuke maana haya mambo yanataka uchunguzi kidogo.
kwa upande wangu nimeagiza earphone original kutoka applestore( sio ebay nazungumzia mtandao official wa apple) na wamecomfirm mzigo utafika kesho jioni kwenye address yangu ya myus.nitazidi uwapa data ndugu zangu.,
leteni maswali (though sipo online muda wote)
tembeleeni hii website ya MYUS.COM kabla hamjauliza maswali wakuu.jionee kwanza ukikwama leta hoja tulijadili wote.sote ni wageni kwa haya mambo
joe out...
Baarakallu fik,hafidhak Allah min kull sharr wa jazakallahu ahsan jazah