The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
-
- #121
Ok nimekuelewa
Ardhi University wanafanya dissertation kwa bachelor degree, ila ni kwa baadhi ya kozi.Si amesema aliwasilisha desertation, hio sio master? Kama ni master basi ana cv ya kutosha, hata degree anayo cv, hata ulizaliw lini ni cv .Au we unaelewaje cv?
Niko mbioni kufungua kampuni yangunalipa kulingana na serikali yetu jinsi ilivyo panga mishahara. na anaepiga kazi ni kafurahi na muongeza siwasubiri tukta. huyo hajapata msoto kama kweli msomi aachekazi tuje tuzalishe ajira. sasa wote wanakimbilia kuajiriwa inakuwaje?
Archplaza night killer.Asante sana mkuu
Nimelelewa katika kuamini Mungu yupo na anatupenda, anatujali na kwa wakati wake atatenda.Am always positive.Bibi yangu alikuwa alinambia usiku hauwezi kukaa milele kutakucha tu, nilimwelewa akimaanisha no situation is permanent.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah acha tu ndugu yanguYani humu kutokana na comments you can tell a lot of people in here are sadists. Yani hawafurahii kuona mtu ana share success story yake.... wanataka story zifanane. Wanataka kila mtu apitie magumu kama wao walopitia. If someone has it easy in life esp. kama ni mdada utaskia eti katoa rushwa ya ngono!!!
Badala ya kuona namna gani mwenzenu anaweza kuwapa mbinu na namna alivyo succeed bila shida mnaanza kuponda "eti ungejua shida wengine walizopata ungefuta story yako"....Sasa how will you be inspired?
Seems wengi humu wana wivu kuona flani kafanikiwa; wanataka wote mpate shida.
Shaaaaaaa binadamu bwana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya mpango basi tugawane keki ya taifa. Nakua Mario for a week!Una bahati mkuu. Mimi nilikaa two years ndo nikapata ajira japo siku serious sana kwenye utafutaji wangu sababu kuna issues nilikua nafanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huhitaji kujielezea hivi... waache waamini wanachoamini mwisho wa siku ni maisha yako sio yaoHahahah acha tu ndugu yangu
Natamani hata kufuta bandiko lol
But my point was to inspire na kuonyesha still there hope and room for success if you belive
And trust me sijadhalilishwa kingono wala kuoffer ngono kupata job
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao tena wanaosema kuhs rushwa ya ngono sadly ni wanaume. Usifute hata kidogo.....Hahahah acha tu ndugu yangu
Natamani hata kufuta bandiko lol
But my point was to inspire na kuonyesha still there hope and room for success if you belive
And trust me sijadhalilishwa kingono wala kuoffer ngono kupata job
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikihamia sirikalini ntakufanya marioo. Sasa hivi mwenyewe natafuta sugar daddy anitunzeFanya mpango basi tugawane keki ya taifa. Nakua Mario for a week!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app