The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #41
Kiubwete ?niliteseka sanani kajua ulitumia elimu yako kuwa mbunifu kumbe ulienda kuomba kazi. sasa mimi la saba nime kuzidi nimeajiri watu 14 hapa. wewe mtoto wa mama umepata kazi ki ubwete. hapo posta jamaa zangu walikuwa wana maliza soli na mashati yanageuka brown badala ya white kwa jua la jiji
Sema story nimeifupisha tu
Sent using Jamii Forums mobile app