binamu hapo sasa unakosea, wali maharage kivipi tena?, inatakiwa mnabadilisha mboga nyie wenyewe, tena mnaanzisha bustani yenu wenyewe na mnaimwagilia maji mbona full mboga saba!!. mi nimeshastukia ndio maana nimeamua kulima bustani na kumwagilia mwenyewe mboga zangu, yuo noo waramm sayyiiiiiiing??
nani,fidel?naona mpwa wa kitaa alikuja akanusa akaona mambo magumu akabaki kunitext tuu!!.
mpwa hii compyuta yangu haioneshi batani ya senksi.
huyu jamaa nahisi alipambana na KINU CHA AJABU!alichopambana nacho kinafaa kutupatia taito nyingine ya dizetesheni:o
Mpwa mimi naona hapo utakuwa haubadili mboga bali ni kubadili viuongo tu, lakini hata yaungwe vipi maharage ukiyala kila siku yanaboa.Ila umechukua uamuzi wa busara mpwa nasubiri nizeeke zeeke labda nitakufuata ulipo.
Hapo umelenga na kwa kuanzia mpwa porjie na maiwaifu wake ndio watakuwa sample yangu, sasa kwakuwa mpwa ameokoka sijui hatojali kuniacha na maiwafu saa kadhaa tuna piga maintavyuu..yunowaramseyyingi!!![/QUOTE]
Ya I gara ya man!
mpwa viungo ndo vinanogesha mboga sasa!!.
kikubwa mai waifu nimegundua yuko juu sanaaaaaaa. thus why sifikirii tena kubadilisha 'main course'
[/COLOR]
hii kitu haitakuja kutokea tena, never.
yani hapa ndio naanza maisha mapya nikiwa nimeamua kubadilika.
mabadiliko sio mpaka uokoke, but kubadili tabia na msimamo tuu!.
Ya I gara ya man!
Mpwa na wewe unakimbia sana rudi hapa utuambie kama unaweza kura maharage fo ze resti ofu yua life (eternity ki blurei)
Mh!!! kweli we mkali, hata viongozi wa dini wenyewe hawaweki nadhiri kwenye hilo mazee
we ngoja ujikute kenye mazingira hatarishi
mkuu maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga!.
nimeshayavulia nguo na niko tayari kuyaoga, niko tayari kunywa kikombe cha mateso na mai wafu wangu.
hahhaaaaaaaa... kakako mwenyewe huwa siweki hizo nadhiri, kama ni kuoga we oga tu ila ukichafuka oga tena
nakupa tano kamili mkuu kwa uamuzi wako
dah, sidhani this time kama ntachafuka mazee!, m serious bana!, now nimeshaweka nadhiri kwamba mie na yeye tu sheitwani ashindwe na alegee
vp mkuu kibatani cha senksi si umekiona?, fanya mambo.
hahaaaa, hii ya leo kali mazee, kumbe ulikuwa unafanya advocacy??? haya nimekumwagia lukuki!!! si unajua hazilipiwi!!!??
no mpwa, niliona itakua nzuri kama ukinipa tano huku na senki yuu moja, coz najua imekugusa. nimekua jasiri sana kwa uamuzi huu. niko najipanga hapa leo jioni kidogo nitoke na mai waifu wangu kwa ajili ya dina spesheli maeneo, kesho lazima niseme kitakachojiri huko.