My Confession - Nimepima UKIMWI

My Confession - Nimepima UKIMWI

Unaweza kulala na bundi ukamka mwenye bahati, ila usijaribu tena kumtembeza kamanda bila gwanda kwenye pori la pamba, utakuje ulie bahati hiyo huwa haijirudii..all and all big up nazani maisha unayona mtamu kweli..

badili mwendeno anzisha familia uish kwa uaminifu sana manake mungu hajaribiwi mara 2
 
Hongera Sana ! Amini Ni Kwa Neema Na Rehema Tu Za Mungu Sio Kwa Ujanja Wako! Sasa Tuliza Hiyo Tochi Ndugu Yangu Ili Iache Kumulikamulika Tena Hovyo! Na Km Ukikuta Huyo Dada Ni Mzima, Tulia Nae Huyohuyo Binafsi Nimempenda Kwa Msimamo Wake!
 
Hongera kwa kupata ujasiri wa kwenda kupima..Iwe fundisho kwako na kwa wengine wanaoendekeza ngono zembe!!
 
wadau,

kwa kuanza tu niseme nimefanya mapenzi yasiyo salama na wanawake wengi sana na mnamo mwaka 2006 nilikutana na mmoja wa ma-ex wangu ambaye tulikuwa hatujaonana kwa kadri ya mwaka mmoja hivi...huyu ex alikuwa mwenye hali mbaya kiafya akiwa na dalili zote za ''gonjwa hili''.nilipata wakati mgumu sana kimawazo kwani nilijua kuwa nimeshaambukizwa ukizingatia kwamba tulikuwa tunakulana peku peku halafu sana tu.

Hali hiyo ilinifanya kukata tamaa na tangu hapo nilikuwa mvivu sana wa kutumia condom na nilikuwa na hofu kubwa ya kwenda kupima hivyo zaidi ya aslimia 80 ya wanawake niliokutana nao baada kipindi hicho nilikwenda peku peku huku nikisubiri siku yangu ifike.nilikuwa mtu nayechukia sana stori zozote zinazohusiana na ukimwi kwa hio nilishajihisi ni mmoja wa waathirika...nakumbuka nilikosa ajira moja kisa tu niliambiwa moja ya masharti ni kupima ukimwi.hili suala lilinifanya hata nisifikirie kuingia katika maisha ya ndoa licha ya kuwa na umri mkubwa tu sasa.

Hivi karibuni nilimpata mwanamke ambaye nastahili kumwita mwanamke wa shoka hasa...huyu tumekuwa marafiki kwa kadri miezi sita na muda wote huu amekuwa akiniambia ananipenda pia ila papuchi akawa mgumu sana kuitoa kwa masharti ya kwamba yeye si mpenzi wa condom na kama ninahitaji papuchi basi twende hospitali tukapime ndipo anipe mzigo.kwa masharti hayo nilikuwa tayari kumwacha aende zake hasa nikizingatia historia yangu isiyopendeza.nilianza kumkwepa kukutana naye na mara nyingi alikuwa akinipigia simu na kuniita mtoto wa kiume coz kaniambia tupime mi nikakimbia.nakumbuka siku moja nilivaa ujasiri tukaenda mpaka tmj hospital tukiwa naye akaomba kuwa tupime then tupewe majibu tukiwa pamoja...nilitoka nje kama naenda kupokea simu nikatimka mbaya then nikampigia kuwa kuna dharura nyumbani.

Baada ya hapo akawa mchokozi sana na kuanza kuniambia kila asubuhi kuwa vipi umeshatumia dozi tayari akimaanisha arv na hapo nilikosa raha sana ukizingatia na historia yangu.leo nimeamua kupiga moyo konde nikaenda mwenyewe agha khan nikajisalimisha na kuamua kama noma na iwe noma...na nikaomba nipimwe kwa elisa kabisa.nilienda kwa mshauri kwa ajili ya counselling na hata sikumbuki alikuwa anaongea vitu gani kwani akili yangu haikuwa hapo kabisaa.niliambiwa nisubiri kwa nusu saa baada ya kutoka maabara ambayo kwangu ilikuwa ni kama mwaka mzima hasa nikiangalia viruka njia niliopita nao peku peku...dah kufikia mida ya saa saba hivi nikaitwa na daktari na baada ya kuingia sikumwona kama ni mtu mchangamfu sana kitu kilicho nifanya nijue nimeshaharibu.

Daktari akaniambia kuwa damu yako iko negative....nimeruka humo ofisini kwake kama mwenda wazimu vile nikatoka mbio kwenda aar kupima tena kama vipimo viko vile vile nikapewa jibu hilo hilo yaani hapa naandika bado natoa machozi maana siamini kilichotokea.niko na huyu mtu hapa sanitas tunaenda kupima niko na full confidence nikikuta tu hana leo hii hii namla.

sasa mbona mshauri ajakwambia unatakiwa kupima mara ngapi?

Amekwambia kama kuna window period?(kipindi dirisha?
 
Heri yenu mliopima mkakutwa poa,leo mna furaha ajabu,lakini hata sie tuliopimwa tukakutwa vipo bado tunaishi kwa uhakika na furaha tele.hapo mungu ni mwema wengi wazima wametangulia ila c tupo,najua bado hatujamaliza kazi iliyotuleta duniani'ikifika 2,by by !
 
!
!
UKIMWI haupimwi mkuu, unHkikiahwa tu, na ndio maana majibu ni mawili tu unao au huna. Vitu vinavyopimwa ni uzito, urefu na kadhalika. Na kilichokutuma ukajitoa muhanga hivyo nini!.............ukitaka kujua kwa urahisi jikate upate kidonda then angalia speed ya kupona baaaasi
 
Kuna ile Blood group gani sijui, kitaalamu inasemekana kuwa ngumu sana kwa wao kupata Ukimwi. Ndugu labda upo group hilo, ongera.
Mkuu, hata mimi hilo ndilo linijia akilini nilipo soma post yake, nafikiri ni DAMU ya group O kama sikosei sijui kama inakwenda pamoja na mambo ya rhesus chanya au hasi?.
 
!!UKIMWI haupimwi mkuu, unHkikiahwa tu, na ndio maana majibu ni mawili tu unao au huna. Vitu vinavyopimwa ni uzito, urefu na kadhalika. Na kilichokutuma ukajitoa muhanga hivyo nini!.............ukitaka kujua kwa urahisi jikate upate kidonda then angalia speed ya kupona baaaasi
Mkuu je ukiwa na ugonjwa wa kisukari type B bila ya kujijua, kidonda kikichukua muda kupona si utakufa kwa kihoro, ukifikiri una UKIMWI!!
 
Wewe una roho mbaya na unaweza kuua mtu na mikono yako, umenitia hasira ningekuzabua mabao.

Ulizani unaukwimwi na lazima ulikuwa na furaha ya kulala peku bila wao kujua kuwa ulikuwa unazani una ukimwi. Je ungekuwa nao sasa hivi ungejisikiaje?

Uliishije ukijua unala na wanawake wa watu bila condom na ulivyozani una ukimwi.

Ukimwi hata kwa madaktari wa meno na hosp unaweza upata, kushare nyembe pia etc so ukae uombe Mungu. Labda huyo binti wa sasa ndie anae majibu ya kutaka haribia watu makusudi kuwapa magonjwa.

Pima tena baada ya miezi 3.
 
Back
Top Bottom