My Confession - Nimepima UKIMWI

My Confession - Nimepima UKIMWI

Kwenye huu uzi nimejifunza kua UKIMWI haupimwi kwa macho, jamaa anasema EX wake alikua na dalili zote za gonjwa, sometimes mtu anaweza kukonda kwasababu ya kuachwa, msosi anaupata kwa machale au home hakueleweki na may be anaumwa ugonjwa mwingine tu.
 
Ulibobea kwenye KATERERO PYUU! Rudi kwa mungu utulie.
 
huku uswazi tunawaita makeria.
Hivi jamani si tunaambiwa kupima urudi baada ya miezi 3 tena wanakuandikia kabisa nyuma ya kikadi tarehe ya kurudi.
Huyu mwenzetu vipi haelewi hilo?
Aaaaa kweli elimu ya ukimwi ni ngumu

Katumia kipimo cha Elisa...
 
Mkuu hili sio jambo la kushangilia kamwe
zaidi kwa sasa acha mapepe tafuta akufaae
halafu oa. Acha tamaa za fisi.....

Kumbuka huu ugonjwa upo na kwa mwendo
wako bila kubadilika huenda..........
 
UKIMWI%2Bdesemba.jpg
 
Katumia kipimo cha Elisa...
Kwani kipimo cha Elisa hakimaki mtumiaji kurudi baada ya miezi mitatu? Na Elisa Test inatofautiana vipi na zile Rapid Test za VVU? Tunaomba Elimu Mkuu hapa.
 
!
!
UKIMWI haupimwi mkuu, unHkikiahwa tu, na ndio maana majibu ni mawili tu unao au huna. Vitu vinavyopimwa ni uzito, urefu na kadhalika. Na kilichokutuma ukajitoa muhanga hivyo nini!.............ukitaka kujua kwa urahisi jikate upate kidonda then angalia speed ya kupona baaaasi
Hivi ukimwi una mahusiano gani na kidonda kuwahi au kuchelewa kupona??? Nilifikiri masuala ya kidonda kuchelewa kupona au kutopona kabisa yanatokana na kisukari. Hebu tufafanulie zaidi hapa mkuu.
 
Ee Mwenyezi Mungu, nipe hiyo nguvu niweze kupima... i have tried n tried n tried! Naona kama nitazirai huko hospitali...
 
sasa mbona mshauri ajakwambia unatakiwa kupima mara ngapi?

Amekwambia kama kuna window period?(kipindi dirisha?

Mkuu hii inategemeana na lini mara ya mwisho umecheza kitu kisicho salama kama una uhakika kwa miezi mitatu hujajihusisha na ngono zembe then huhitaji hii kitu
 
Ingekuwa positive ungekuja kutusimulia? Just thinking aloud.
Go n sin no more, rehema ya Mungu imekuponya!

Mkuu Kaunga kwani hujawahi kusikia watu wamepima wakajitangaza?Mbona wengi tu mtaani?Personaly siwezijua ila hali hiyo inge determine
 
Unaweza kulala na bundi ukamka mwenye bahati, ila usijaribu tena kumtembeza kamanda bila gwanda kwenye pori la pamba, utakuje ulie bahati hiyo huwa haijirudii..all and all big up nazani maisha unayona mtamu kweli..

Hahaa mkuu bahati zipo ila hii ni ya Mtende
 
Kuweni waangalifu; heri usikie fulani anao kuliko ukapima, daktari akakwambia unao.
 
Wadau, Niko na huyu mtu hapa Sanitas tunaenda kupima niko na full confidence nikikuta tu hana leo hii hii namla.
Mutasingwa Wayne!


Bazazi!
Anasema kuwa
Mkamia maji hayanywi,
Akinywa yatamkwama
Yasipomkwama atatapika.​
Nakwambia hamu uliyonayo
Kwa Hakika Dhakari haitadinda.
Ikidinda njoo hapa jamvini utujuze.

Bazazi

 
Last edited by a moderator:
Unashangilia kukoswa na kiboko wakati mbele kuna mamba?.jitathimini upya ndg,
 
Back
Top Bottom