Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,209
Mshukuru sana Mungu mkuu. Kuna wenzako walichovya mara moja tu ndiyo wakawa nao. Wanapoona kwamba kuna wengine wamecheza na kucheza bila kuupata, wanamwona Mungu ni mwenye upendeleo sana. Lakini naamini jambo moja kwamba Mungu amekunusuru kwa kazi maalumu ambayo wewe bado hujaijua ni kazi gani. Sikiliza sauti ya Mungu na ufanye kulingana na maagizo yake. Unaweza kuwa Sauli wa kizazi cha sasa.