Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,192
Comedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani.
Hawa ni comedians 5 bora wangu wa muda wote. Hawa jamaa sio sense of humor sio punchlines hakuna wakuwashika.
1. Trevor Noah -huyu Msouth Africa anakipaji kikubwa saana. Binafsi naona sanaa yake imejielekeza saana kwenye siasa na masuala ya kijamii.
2. Steven Trevino- huyu jamaa ni hatari. Utamwelewa zaidi kama wewe ni mtu wa familia. My favorite ni I Speak Wife.
3. Steven Harvey- japo siku hizi hafanyi Stand-up comedy ila kama wewe unafuatilia Family feud utakubali Steve anakipaji cha hali ya juu.
4. George Carlin [Late] alifanya saana comedy ya siasa na dini. Aliweza kuyaeleza madhaifu ya dini katika hali ambayo ilikufanya ujifunze huku unacheka.
5. Mpho Pops - Huyu jamaa ni Msouth Africa....sio mkongwe ila kwa kipaji alichojaliwa hasa punchlines ni hatari saana. South Africa ina comedians wazuri saana.