Mkuu tuombe uzima ntataka picha yangu kabisaYes pia huo mchoro wa Simba uko on sale unaweza kuununua nakuweka ndani
Size A2 (59.7×42.0cm)
Price 180,000
Unakujia na frame yake
Ahsante Mkuu wangu
You can restore it if you're determined to!Good work bro.. very impressive..
coincidence..Leo nilikuwa nawajiwazia kipaji changu cha kuchora kilivyopotea..,,
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Nilikuwa na idea ila hii naona itapendwa zaidi na watu wa nje! Napenda Sana mambo ya anga so Kama utaweza kuchora artistic mchoro wenye idea hii itapendeza but najua kwa kuwauzia wabongo itakuwa tabu Sana..😂Yote yanawezekana boss,glory to God.
Hamna mbaya boss inawezekana kabisa kuliweka wazo lako katka mchoro,unaweza kunipatronize hata kwa installments miezi mitatu unaigawa bei husika mara 3,ukifanya payment ya phase one kazi inaanza fanyika kufikia phase 2 kazi ishaisha ukimalizia phase ya 3 unapata artwork yako na ili details zote hizo ziingie vzuri tukiifanya kwa A2 size(59.7×42.0cm) itabamba sana.Nilikuwa na idea ila hii naona itapendwa zaidi na watu wa nje! Napenda Sana mambo ya anga so Kama utaweza kuchora artistic mchoro wenye idea hii itapendeza but najua kwa kuwauzia wabongo itakuwa tabu Sana..
Ipo hivi idea yenyewe ni nadharia unachora mwanaanga yupo mwezini akiwa anashangaa foot prints za miguu ya mwanadamu! Picha hii lazima awe ktk mshangao haswaa!! Coz ni kitu si cha kawaida ila najua ni ngumu kumchora akiwa kavalia lile dubwasha na aonekane akishangaa!!.. at the same point kifaa alichotumia kufika nacho mwezini kionekane kwa nyuma yake halafu na dunia lazima ionekane kwa mbali ikiwa nusu!.. manjonjo mengine unaweza ongezea ila isiwe chumvi sanaaa!
Nikija kupata fedha nitapenda hii idea iwekwe mchoro na niupambe sebuleni kabisa..![]()