Mwongozo ni vitu Gani vya kuzingatia unavyopelekwa mara ya kwanza kutambulishwa ukweni

kakodi gari kali uende nalo ukweni utanikumbuka heshima itakuwa juu baba mkwe hawezi kukuliza maswali ya kijinga jinga wala kukudharau nashauri kodi ata range au hammer oiga na suti yako kali ukiingia nayo ukweni wote watakuheshimu jifanye upo kwenye system serikalini na usikae nao sana kaa lisaa limoja tu mpange mshikaji akupigie ujifanye unahitajika dodoma kikazi aga sema unaelekea dodoma makao makuu una shughuli za kiserikali unawahi. ukifanya nilichokwambia wakwe hawatajishauri kukupa mke ata kesho ukaoe
Ukifanya hivi utaonekana huna heshima na kuanzia mchumba hadi kwa wakwe...... Na vp kama tukio linfanyikia dodoma jijini
 
Back
Top Bottom