Mwonekano mpya wa Sintah!

Mwonekano mpya wa Sintah!

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
Sintah-baada-ya-kupewa-shada-la-maua1-350x524.jpg
 
Anachukua sasa mpira Okwi, Okwi anatazama kushoto, anapiga pale Okwi...... lah.... lah. No goal kick pale.
 
Mbona hujaweka muonekano mpya wa vyeti vyake vya vvu?
 
mbona kama pepsi na mirinda? uso na mikono vinalingana rangi, mapaja mmmh!
 
hawa wanaojifanya wadada wa mjini kazi kweli kweli, wawe wanavaa kutokana na maumbo yao jamani, sasa ndio nini hiyo aliyovaa na hayo manyama ya mapaja, pweehh, halafu haka bado kashamba tu na hayo mabangili yake mkononi sijui anayo ya rangi zote.
 
Duuuuuh kazi kweli kweli!!!!!!! Lakini mbona anahusishwa Okwi hapa, ndiyo chakula yake nini?????
 
Kazeeka unadhani hizo rangi anazopata ndiyo awe kijana.
 
toto hili lilikuaga tamu kweliii..................................!
 
Anachukua sasa mpira Okwi, Okwi anatazama kushoto, anapiga pale Okwi...... lah.... lah. No goal kick pale.
Okwi wetu anapelekwa kwa rafiki yake Mafisango taratibu hivihivi jamani.... Hivi wanajamvi hatuwezi kusaidia chochote kweli..
 
shavu la kulia na la kushoto haviendani,hapa panaonesha kuwa hata yeye hajikubali ndo maana anatumia mafuta ya transfoma
mbona kama pepsi na mirinda? uso na mikono vinalingana rangi, mapaja mmmh!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Sintah hivi akiangalia picha zake za siku za nyuma na sasa anajisikiaje? Hajioni kituko??????????????
 
kile katikati na mapaja nini au kitumbua,pengine macho yangu mabovu jaribun kuangalia vizuri
 
Kachoka mbaya,Sinta alikuwa wakati wa Juma Nature
 
Money Stunna,mi nahis kama ni nyamanyama za mapaja,,,,
ila natumia simu huenda kaskrin kangu nako kanasumbua
 
Uende salama Betty..urudi salama Betty. Mzigo uliomshinda sir Nature mtoto wa Bi kiroboto.
 
hawa wanaojifanya wadada wa mjini kazi kweli kweli, wawe wanavaa kutokana na maumbo yao jamani, sasa ndio nini hiyo aliyovaa na hayo manyama ya mapaja, pweehh, halafu haka bado kashamba tu na hayo mabangili yake mkononi sijui anayo ya rangi zote.

nyamayao,,,,wewe si Nyamayao wa KAOLE MTOTO WA MUHOGO MCHUNGU
 
Okwi wetu anapelekwa kwa rafiki yake Mafisango taratibu hivihivi jamani.... Hivi wanajamvi hatuwezi kusaidia chochote kweli..

Yaani kwa kifupi ndo kusema kwamba huyu mdada atamfisango Okwi?
 
Back
Top Bottom