Mwonekano mpya wa Sintah!

Mwonekano mpya wa Sintah!

kuna huyu sijui sinta, sauda mwilima, maimartha, hawa wadada siwaelewagi kabisa, nawaonaga kiajabu ajabu tu.
 
Sintah-baada-ya-kupewa-shada-la-maua1-350x524.jpg

Sura mpya......Kiwiliwili cha zamani......

Zamani kabla Carolite hazijaanza kutumika tulikuwa tunaitwa Pepsi Mirinda......
 
hawa wanaojifanya wadada wa mjini kazi kweli kweli, wawe wanavaa kutokana na maumbo yao jamani, sasa ndio nini hiyo aliyovaa na hayo manyama ya mapaja, pweehh, halafu haka bado kashamba tu na hayo mabangili yake mkononi sijui anayo ya rangi zote.

Hiyo miniskirt ni balaa.Angeweka miguu vizuri basi kwa kukunja nne.Halafu nilidhani huyu dada kaolewa ...hizi habari za akina okwi sijui zinatoka wapi tena..
 
mmmmh Kweli hujafa hujaumbika Sinta utadhani binti wa mwaka 1960 kumbe mtoto wa 1980 jamani kupokea MIPINI kila siku kunazeesha na kuchakazaaaa....sasa alitaka kumpakazia OKWI ili aliingie bwawa la luba sio ahaaa ahaaa OKWI karuka kimanga huyoo ilikua janja yao kwa kujua atakuwepo mechi na Yanga ili waweze kumharibu kisaikolojia
 
Malaria sugu huanza polepole...
 
Sitaki demu, sitaki demu....... kisha kuwa BB........ RIP pal....
 
Back
Top Bottom