Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,742
Lady doctor Mungu angekuwa hvo tungeish kweli? Ukiombwa toa jamani.
Last edited by a moderator:
Lady doctor Mungu angekuwa hvo tungeish kweli? Ukiombwa toa jamani.
hahahaaa......... Kuringa ndio kanuni yangu na uchoyo ndio tabia yangu!
Si ndo hapo sasa kama kila anae kutaka unamkubalia utakubalia wangapi, tunapenda mmoja wengine tunawaringia. halafu sijui mnataka nini enyi wanaume, Mkikubaliwa bila kulingiwa mnasema dem mwenyewe maharage ya mbeya, mkikataliwa demu mwenyewe anaringa. Kipi bora kwenu?
Acha tu mwenzangu...... Mentor jana alisema unaijua milima ya upare nikasema naionaga nikipita na Gari..Akasema nyuma ya ile milima ndiko alikotoa kale kajani
Aisee........Wii hiyo prinsipo hiyo
Ni haki kupenda au kupendwa...
Ila ni karaha pale unapompenda mtu kwa moyo wako wote ila eti anaringa kisa anajiona ni mzuri na wakuwavutia wengi....
Koma..utavua au kuvuliwa pichu lakin mwishowe utadharaulika na kudharauliwa mbali na lile gonjwa...
Bora kutokelezea na wale wakawaida au wengine wanaowaona ni wabaya wa sura ila wazuri wa tabia na kuliwaza....
Hatutaki presha sie vidume.....na wale vijike pia
hicho kichambo kimmfikie nani?
kunani mtaa huu
nimeachwa chalinzeeee mwenzenu
hebu mnijuze nielewe!!
Mbona mi sielewi kitu......naomba kueleweshwa
vibaya ivo Lady doctor Mungu hapendi. Kumnyma mwenzio ulchopewa bure dhambiii
Gheto pia ni shule na somo alikua Papa
Bei ya mkaa,mafuta ya taa na ukapa
Kama uongezi hela zangu chapa lapa
Gheto pia ni shule na somo alikua Papa
Bei ya mkaa,mafuta ya taa na ukapa
Kama uongezi hela zangu chapa lapa
yaani hapa badala ya kumpeleka ICU umempeleka mochwari!
Lahaula mbona wazidi kunipeleka kwenye Giza mie.........