Mwogope Mwanamke na Mwanaume HUYU!!!

Mwogope Mwanamke na Mwanaume HUYU!!!

Hehehenawe umezidi tafuta size yako watafuata malaika na wewe mwenyewe hueleki jipangeee
 
mkuu mkuru unasemaaa??
 
Last edited by a moderator:
Ni haki kupenda au kupendwa...


Ila ni karaha pale unapompenda mtu kwa moyo wako wote ila eti anaringa kisa anajiona ni mzuri na wakuwavutia wengi....

Koma..utavua au kuvuliwa pichu lakin mwishowe utadharaulika na kudharauliwa mbali na lile gonjwa...

Bora kutokelezea na wale wakawaida au wengine wanaowaona ni wabaya wa sura ila wazuri wa tabia na kuliwaza....



Hatutaki presha sie vidume.....na wale vijike pia

Si kila unaye mpenda ni haki yako kumpata wala kumwambia wala si kila anayekupenda ni haki yake kumkubalia!Siku zote mwenye mapenzi ya kweli humpa mpenzi wake kile kilicho ndani ya uwezo wake na furaha ya mapenzi ni kumfurahisha mpenzi wako si anayekupenda!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom