Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Bingwa wa uzuri?Jamani katiba ya sasa iko very open...kama mtu anadhani yeye ndiye bingwa wa uzuri ajioe mwenyewe...tumechoka!
Bingwa wa uzuri?Jamani katiba ya sasa iko very open...kama mtu anadhani yeye ndiye bingwa wa uzuri ajioe mwenyewe...tumechoka!
Kalagha baho.Jamani tueleweshen nasi tuelewe. Mapi na Himidini
Nafikiri nimeelewekaBingwa wa uzuri?
Jamani katiba ya sasa iko very open...kama mtu anadhani yeye ndiye bingwa wa uzuri ajioe mwenyewe...tumechoka!
Mimi sijui kwa nn huwa nafanya mambo ya ajabu na maamuzi magumu sana nikikutana na Heaven on earth kwenye thread...Kweli nime-snitch bro nisamehe..Au itakua ni lile jani tulilopuliza jana toka Upareni??Rural Swagga, tangu lini ukaanza kunchuria lakini!????
Si ndo hapo sasa kama kila anae kutaka unamkubalia utakubalia wangapi, tunapenda mmoja wengine tunawaringia. halafu sijui mnataka nini enyi wanaume, Mkikubaliwa bila kulingiwa mnasema dem mwenyewe maharage ya mbeya, mkikataliwa demu mwenyewe anaringa. Kipi bora kwenu?Kuringa ni muhimu hasa kwa mtu usie mpenda! Sio kila akuombae unampa!
Mbona mi sielewi kitu......naomba kueleweshwa
Mimi sijui kwa nn huwa nafanya mambo ya ajabu na maamuzi magumu sana nikikutana na Heaven on earth kwenye thread...Kweli nime-snitch bro nisamehe..Au itakua ni lile jani tulilopuliza jana toka Upareni??
Ni haki kupenda au kupendwa...
Ila ni karaha pale unapompenda mtu kwa moyo wako wote ila eti anaringa kisa anajiona ni mzuri na wakuwavutia wengi....
Koma..utavua au kuvuliwa pichu lakin mwishowe utadharaulika na kudharauliwa mbali na lile gonjwa...
Bora kutokelezea na wale wakawaida au wengine wanaowaona ni wabaya wa sura ila wazuri wa tabia na kuliwaza....
Hatutaki presha sie vidume.....na wale vijike pia
Mentor unataka unipate mara ngapi tena.........au umesahau kule kwa Mtambuzi nilikwambiaje.......Basi nakusamehe bure...na bangi ikubangue unisaidie kumpata Heaven on earth!
Utaelewa tu, we suburi tufike chumbani
Mimi sijui kwa nn huwa nafanya mambo ya ajabu na maamuzi magumu sana nikikutana na Heaven on earth kwenye thread...Kweli nime-snitch bro nisamehe..Au itakua ni lile jani tulilopuliza jana toka Upareni??
Noted......Tutakaa kama kamati...Basi nakusamehe bure...na bangi ikubangue unisaidie kumpata Heaven on earth!
Acha tu mwenzangu...... Mentor jana alisema unaijua milima ya upare nikasema naionaga nikipita na Gari..Akasema nyuma ya ile milima ndiko alikotoa kale kajaniHahaaaaa Rural Swagga jani la jana hadi leo bado lipo tu.........
Itabidi nibasilishe Njia/Kijiwe tusiwe tunakutana Kabisa..........