MWL wa Math na Physics

kweli babu...."point"...ualimu na upolisi ndo kimbilio lao hao failures!!!
hebu specify huo ualimu mnaouzungumzia maana nina ndugu yangu mwalimu anakula 2.5 per month sasa msitaje tu mwalimu !!!!!!!!!!!!semeni ualimu gani
 
ikumbukwe wahadhiri wa vyuo sio waalimu by proffession bali ni watu waliofanya viyuri kwenye field zao though wanafundisha.
 
ikumbukwe wahadhiri wa vyuo sio waalimu by proffession bali ni watu waliofanya vizuri kwenye field zao though wanafundisha.
 
Mbona wapo wengi tu ambao kitaaluma ni walimu na walianzia kufundisha shule za sekondari na hata msingi na sasa wanafundisha chuo kikuu na wengine wameshastaafu.....
 
Huna taaluma yeyote kuna reference mbili za direction katika karatasi hiyo,ungekuwa na taaluma ungetumia mojawapo. Eti g, nikimpa swali hili form two atafanya assumption ya g. Kama una elimu jibu swali la kwanza tu, unithibitishie, acha siasa

Usilete kujifanya kujua wakati unapoambiwa ukweli; ungekuwa mwalimu mwenye busara unatakiwa kupokea critiques kwa moyo mkunjufu na kuzifanyia kazi, lakini wewe unaleta ubishi. Nitakurudisha shule ya particle mechanics kama ifuatavyo

(a) Katika elementary mechanics kuna reference tatu (x,y,z), lakini orientation angles zake yaani theta_x, theta_y na theta_z inaweza kuwa na value yoyote. Kwa hiyo x-y-z axes hazina fixed directions. Katika advanced mechanics, kuna an infinite number of axes, na huwa zinakuwa defined kama R^n where n can be any integer. Kwa hiyo madai yako kuwa kuna reference mbili ni kuonyesha ufinyu wako katika somo hilo. Ingawa najua kuwa swali lako lilikuwa constrained katika plane ya karatasi ambayo ni 2-D, bado hujaspecify orientation ya axes zako, na wala maswali yenyewe hayakusema hivyo, ndiyo maana nikakuonya kuwa unakaribisha majibu mengi ambayo utashindwa kuyakana. Kama mwalimu mzuri unapotoa mtihani jitahid kuwa specific kusudi uwe na uhakika wa kupata jibu moja uniformly.

(b) Kudai kuwa mwanafunzi wa form two atafanya assumption ya g ndiko kunawakosesha elimu pana watoto wetu kwani nyie mnawafundisha kukariri kuwa g ni 10m/s^2 wakati siyo kweli. Value halisi ya g ni (GMe/R_e^2) wakati G ni universal gravitational constant, M_e ni mass of earth and R_e ni distance from the center of earth. Kwa vile R_e inabadilika kulingana na kina kutoka usawa wa bahari na vile vile kulingana na latitude (kwa vile dunia ni oval), huwezi kumkaririsha mtoto kuwa g=10 m/s^2 ukadai kuwa unajua. Experiment ikifanyikia Njombe kwenye nyanda za juu, haiwezi kuleta matokeo sawa na yale ya Dar es Salaam kwenye usawa wa bahari. Ni kawaida kwenye mitihani kuweka statement kuwa assume the value of g to be 9.81m/s^ au 10m/s^2; ulitakiwa ufanye hivyo ili kuzuia ambiguity kwenye mtihani wako.

(c) Baada ya somo hilo fupi, nitakuonyesha kuwa maswali yako mengi yana makosa hata kama mtu ungeamini kuwa value ya g=10m/s^2. Kwa mfano swali la 3 unatakiwa upate 8tan(theta)-tan^2(theta)-4=0, siyo kama wewe ulivyoweka. Na vile vile swali la 7, the modulus of elasticity siyo force; kwa hiyo huwezi kuipima katika Newtons, badala yake inapimwa kwa N/m. Katika swali hilo hilo la 7, unatakiwa upate v^2=64+20x-48x^2 siyo kama wewe ulivyoweka. Lugha iliyotumika katika maswali yako mengi ina ambiguities nyingi ambazo hutakiwi kuzionyesha kwa watahiniwa wako, ukizingatia kuwa wana time constraints, kwa hiyo hawawezi kupoteza muda wao wakifikiria swali lina maana gani wakati wanatakwaiwa wajibu swali lao kabla muda wa mtihani haujaisha.

Samahani kwa kuandika kwa kirefu hivyo; umenichokonoa mwenyewe. Unfortunately inaonekana kama vile huu ni mtihani uliowahi kutolewa kwa wanafunzi wetu katika shule mojawapo nchini, na inawezekana kuna wanafunzi walioambiwa kuwa wamafeli wakati maswali yenyewe yana mapungufu namna hiyo.
 
Ahsante kaka.Mimi ni mwl wa Physics na Math mwenye DIPLOMA.Wanaotoka Vyuo vikuu wakija kuanza kazi za kufundisha Maths wanashindwa.Mpaka wanaomba msaada.Akaombe kuwa DAKTARI,MHASIBU,POLISI.n.k.Wote wanaomsuport wanasahau wamefundishwa na qualified teacher?
Sikukuelewa kwenye sentensi yako ya mwisho; ila mimi kwa uzoefu wangu ninaweza kuelewa iwapo mtu akitoka chuo kikuu akaja kufundisha sekondari kwa mara ya kwanza anaweza akaomba msaada wa watu wenye uzoefu kwa sababu wengi wao wanakuwa hawajui level kamili ya kuanzisha mawasiliano na wanafunzi wao, na labda namna ya kuelezea concepts wanazotaka kufundihsa kwa lugha inayoeleweka kwa wanafunzi. Kwa hiyo watu hao kuomba msaada kutoka kwa waalimu wenye uzoefu ni jambo la kawaida sana; hata katika taaluma nyingine, uzoefu unahitajika. Zamani sana wakati sisi tungali tunasoma, waalimu walikuwa wanapelekwa field kwa jumla ya miezi kama sita hivi ili wapate uzoefu kabla hawajapata vyeti vyao vya ualimu, na wale wa kutoka chuo kikuu walikuwa wanaongeza term moja vyuoni kujifunza uzoefu wa kuhandle wanafunzi na madarasa watakyofundisha.
 
kudos kichuguu! Head teacher you are too pompous, be humble! Kichuguu seem to be much knowledgeable and humble
 
Usilete kujifanya kujua wakati unapoambiwa ukweli; ungekuwa mwalimu mwenye busara unatakiwa kupokea critiques kwa moyo mkunjufu na kuzifanyia kazi, lakini wewe unaleta ubishi. Nitakurudisha shule ya particle mechanics kama ifuatavyo

(a) Katika elementary mechanics kuna reference tatu (x,y,z), lakini orientation angles zake yaani theta_x, theta_y na theta_z inaweza kuwa na value yoyote. Kwa hiyo x-y-z axes hazina fixed directions. Katika advanced mechanics, kuna an infinite number of axes, na huwa zinakuwa defined kama R^n where n can be any integer. Kwa hiyo madai yako kuwa kuna reference mbili ni kuonyesha ufinyu wako katika somo hilo. Ingawa najua kuwa swali lako lilikuwa constrained katika plane ya karatasi ambayo ni 2-D, bado hujaspecify orientation ya axes zako, na wala maswali yenyewe hayakusema hivyo, ndiyo maana nikakuonya kuwa unakaribisha majibu mengi ambayo utashindwa kuyakana. Kama mwalimu mzuri unapotoa mtihani jitahid kuwa specific kusudi uwe na uhakika wa kupata jibu moja uniformly.

(b) Kudai kuwa mwanafunzi wa form two atafanya assumption ya g ndiko kunawakosesha elimu pana watoto wetu kwani nyie mnawafundisha kukariri kuwa g ni 10m/s^2 wakati siyo kweli. Value halisi ya g ni (GMe/R_e^2) wakati G ni universal gravitational constant, M_e ni mass of earth and R_e ni distance from the center of earth. Kwa vile R_e inabadilika kulingana na kina kutoka usawa wa bahari na vile vile kulingana na latitude (kwa vile dunia ni oval), huwezi kumkaririsha mtoto kuwa g=10 m/s^2 ukadai kuwa unajua. Experiment ikifanyikia Njombe kwenye nyanda za juu, haiwezi kuleta matokeo sawa na yale ya Dar es Salaam kwenye usawa wa bahari. Ni kawaida kwenye mitihani kuweka statement kuwa assume the value of g to be 9.81m/s^ au 10m/s^2; ulitakiwa ufanye hivyo ili kuzuia ambiguity kwenye mtihani wako.

(c) Baada ya somo hilo fupi, nitakuonyesha kuwa maswali yako mengi yana makosa hata kama mtu ungeamini kuwa value ya g=10m/s^2. Kwa mfano swali la 3 unatakiwa upate 8tan(theta)-tan^2(theta)-4=0, siyo kama wewe ulivyoweka. Na vile vile swali la 7, the modulus of elasticity siyo force; kwa hiyo huwezi kuipima katika Newtons, badala yake inapimwa kwa N/m. Katika swali hilo hilo la 7, unatakiwa upate v^2=64+20x-48x^2 siyo kama wewe ulivyoweka. Lugha iliyotumika katika maswali yako mengi ina ambiguities nyingi ambazo hutakiwi kuzionyesha kwa watahiniwa wako, ukizingatia kuwa wana time constraints, kwa hiyo hawawezi kupoteza muda wao wakifikiria swali lina maana gani wakati wanatakwaiwa wajibu swali lao kabla muda wa mtihani haujaisha.

Samahani kwa kuandika kwa kirefu hivyo; umenichokonoa mwenyewe. Unfortunately inaonekana kama vile huu ni mtihani uliowahi kutolewa kwa wanafunzi wetu katika shule mojawapo nchini, na inawezekana kuna wanafunzi walioambiwa kuwa wamafeli wakati maswali yenyewe yana mapungufu namna hiyo.

Kwa kifupi, nakupuuza
 
Kwa kifupi, nakupuuza
...........afadhali hiyo itakusaidia kwa vile huna ubavu wa kujadiliana na mimi katika field yoyote ya Phyiscs. Hata hivyo, nakushauri ukasahihise hayo maswali machache niliyokuambia kuwa yana makosa kwa faida ya wanafunzi wako, hata kama itakuwa inaumiza ego yako; hii ni kwa faida ya wanafunzi.
 
umeshindwa kutofautisha kati ya acceleration due to gravity na gravitational field strength!! ndio utaijua physics. Ok katika formula yako ya g=GM/r[SUP]2 [/SUP]nipe experiment moja ya kuverify G
 
Nilidhani umenipuuza, kumbe bado upo; basi angalia kuwa iwapo hujui kuwa gravitational field strength na acceleration due to gravity ni kitu kimoja, ni dhahiri kuwa wewe hufai kabisa kuwa mwalimu wa physics katika shule zetu. Nyie ndio mnaosababisha watoto wetu wanamaliza shule bila kujua lolote.
 
Kichuguu, hujui hata tofauti kati ya modulus of elasticity na elastic constant. Unafahamu hookes' law na limitation yake. Kwa taarifa F= k. e, k=elastic constant, e=extension. For extensible strings, whch dont obey hookes law F = (K/L) e, K=modulus of elesticity. Pitia pitia notes mtaalamu wa Physics, usidanganye vijana
 
...........afadhali hiyo itakusaidia kwa vile huna ubavu wa kujadiliana na mimi katika field yoyote ya Phyiscs. Hata hivyo, nakushauri ukasahihise hayo maswali machache niliyokuambia kuwa yana makosa kwa faida ya wanafunzi wako, hata kama itakuwa inaumiza ego yako; hii ni kwa faida ya wanafunzi.

We sema tu ni mweupe nitakuelewa, si kudanganya.
 
Kichuguu, hujui hata tofauti kati ya modulus of elasticity na elastic constant. Unafahamu hookes' law na limitation yake. Kwa taarifa F= k. e, k=elastic constant, e=extension. For extensible strings, whch dont obey hookes law F = (K/L) e, K=modulus of elesticity. Pitia pitia notes mtaalamu wa Physics, usidanganye vijana

Teh! teh ! teh!

Wewe kumbe ni bure kabisa kwa vile inelekea hujui theories nyingi unazotaka kuzitumia. In this case, theory ya elasticity; nitakusaidia.

katika elastic region, Hookes Law inasema kuwa stress is linearly proportional to strain, na constant of proportionality inajulikana kama youngs modulus au Modulus of elasticity (E). Kwa vile stress= F/A na strain= e/l, ndipo tunapata

F/A=Ee/l ambazo ukizichanganya unaishia kupata

F=(EA/l) e

Kwa hiyo elastic constant au stiffness constant k ni (EA/l). Value ya k ndiyo inayotakiwa katika maswali ya kinetics of particles. Kama ulikuwa umetoa E,ni lazima ulitakiwa utoe cross section ya hiyo wire yako (A) kusudi wanafunzi wako waweze kutafuta value ya k.

Kwa materials ambazo hazi-obey Hooke's law, zinajulikana kuwa na nonlinear stifness, ni lazim u-specify namna ambavyo k inavyohusiana na extension (e), kwa mfano k=2e^2.

NB:

Elimu haina mwisho, na JF ni moja ya uwanaja ambako tunapatia elimu zaidi. Achana na ego yako ujifunze kwa wanaojua zaidi yako. Sasa hivi baada ya mjadala huu nina uhakika kuwa una elimu ndogo sana ya Physics na iwapo kweli wewe ni mwalimu mkuu wa shule, basi shule hiyo ina hasara sana labda kama hufundishi. Niko tayari kujigfunza kwako lakini siyo kujifunza upuuzi huu unaomwaga hapo; na vile vile biko tayari kukusaida yale usiyojua. Kwa umri wangu sasa kichwa kimejaa karibu kila kitu ambacho ni basic katika Phyiscs na Math; njoo tu nitakusaidia kuyajua usiyojua katika uwanja huo.
 
WEE acha hizo na elimu ya kupandikizwa, "unakaa ndani ya mduara balaa", ulizaliwa bogasi, sasa walimu ndio wamekufikisha hapo ulipo leo unabofya, unafikiria kufunga vidonda ndio professional tu, ni sehemu ndogo tu kati ya mambo mengi ya kufanya hapa duniani, HAY BASI aliye gundua mobile phone atumie mwenyewe kama ana akiri sana.
 
Back
Top Bottom