ulisoma lini ualimu?kitivo gani?ngazi ipi?
acha ufala wewe kusoma ualimu alafu maths ulipata 's' utashindana na watu wenye 'a' zao? Walimu obvious ni failures so msilalamike maslahi kidogo ndo haki yenu take it.
sio vizuri kukashimu fani za watu sio kweli wetu waliosoma ualimu niferiaz pia haiwezekani watu wote tukasoma zingine tukaacha ualimu,pia kumbuka hata wewe umefundishwa na mwalimu hadi umefika hapo ulipoacha ufala wewe kusoma ualimu alafu maths ulipata 'S' utashindana na watu wenye 'A' zao? walimu obvious ni failures so msilalamike maslahi kidogo ndo haki yenu take it.
kweli babu...."point"...ualimu na upolisi ndo kimbilio lao hao failures!!!
acha ufala wewe kusoma ualimu alafu maths ulipata 'S' utashindana na watu wenye 'A' zao? walimu obvious ni failures so msilalamike maslahi kidogo ndo haki yenu take it.
Fanya huu mtihani nikupe kazi
View attachment 58947
Uo mtihani unajifanya huuoni sio
Mswali ya mtihani huo yana mamtatizo mawili:
(a) Maswali mengine hayako specific; kwa mfano swali la kwanza linauliza direction, lakini haliko specific katika kuspecify direction relative to what: direction relative to horizantal axis or vertical axis or what.
(b)Maswali mengi yanahuhisha gravity, lakini hayakueleza conditions za gravity. Kwa Tanzania acceleration due to gravity ni 9.85m/s^, wakati sehemu nyingi za Ulaya value hiyo ni 9.81m/s^2. Swali lingekamilila kwa kuspecify value ya g.
(c) Baadhi ya maswali yameandikwa kwa kiingereza kibovu chenye makosa kinachoweza kusababisha mtahiniwa aelewe swali kinyume na anavyotakiwa kulielewa.
Acha siasa, tupo kwenye taaluma fanya maswali hayo nikupe kazi
Dah! siyo kweli aisee; waalimu siyo watu failures kama unavyodai. Mimi ni mwalimu na kote nilikosoma niliondoka za vyeti vya ushindi wa juu kabisa. Ukweli ni kuwa failures ndio wanaokimbia ualimu kwa vile hawawezi kuumudu. Hata Nyerere na mwinyi walikuwa waalimu wale, na kama unaweza kuprove kuwa walikuwa failures ndiyo maana wakjaenda kwenye ualimu utakuwa unasema uwongo. Watu maarufu katika utaalamu wowote unaoweza kufikiria leo walikuwa ni waalimu; na hata Einstein alikuwa mwalimu na ndiye aliyetuletea energy hii ya Nuclear. Angekuwa failure asingwfanya hayo.
Waalimu wangekuwa failures wasingekufundisha wewe uwe successful.
Usikufuru!
Sahmahani mwalimu, mimi sihitaji kazi, siongei siasa, na huenda niko katika kiwango kikubwa cha taaluma inayohusiana na maswali uliyoweka kuliko unavyodhani. Nilicho-comment ni kuhusiana na uzembe wa waalimu wetu wengi kutunga maswali ambayo hayako specific, na yanaweza kuwa na majibu mengi kitaalamu. Mwanafunzi yeyote anayejua elementary mechanics of particles anaelewa kuwa:
(1) In any physical motion, direction is a relative quantity. In analyzing the direction of any motion, you must have a well-defined reference, otherwise any direction will be a valid answer.
(2) Gravitational acceleration (g) is not a constant parameter, its value ranges from near infinity to near zero. In analyzing any gravitational motion, the effective value of g must be specified, otherwise any numerical result will be a valid answer.