Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu.
===
Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl. Steven Jacob aliripotiwa kutekwa asubuhi ya jana Mei 16, 2025 nyumbani wake na watu wasiyojulikana ambao walifika nyumbani kwake na cruiser nyeupe na kutokomea naye pasipojulikana.
Usiku huu imeripotiwa na wananchi kuwa amepatikana sehemu inatwa Forest mkoa wa Kilimanjaro baada ya kutupwa huko akiwa amepigwa sana, ambapo wasamaria hao wamempeleka kituo cha afya kupatiwa huduma ya kwanza na matibabu zaidi mpaka ndugu zake watakapofika.
Pia soma Pre GE2025 - Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana
Mtumishi huyu amekuwa akipost video kuikosoa serikali ambazo ndio zinasema kama chanzo cha utekaji huu kufanyika.
Kuna video alipost akisema Samia hafai kuwa Rais na akilazimisha atasababisha damu kumwagika sana nchini, na nyingine alipost akiwaambia polisi na serikali wajitafakari baada ya kuuliwa na radi kwani huo ni ujumbe wa Mungu kama kuwaonya.