PreGE2025 Mwl. Steven Jacob aliyedaiwa kutekwa na watu wasiyojulikana apatikana Kilimanjaro akiwa amepigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inabidi tuanze kuwateka na wanaosifia ili kuondoa dhana ya wanaotekwa ni wale wanaoikosoa serikali. Mfano Lucas Mwashambwa Tlaatlaah . Hawa tukiwateka wakarudi wanavuja damu.

Kamwe serikali haitasingiziwa chochote.
epuka ramli gentleman,

kuna mambo muhimu mengi ya kufanya na kukupatia kipato kuliko kung'ang'ana na ushirikina ambao hauna faida na hauawezekani 🐒
 
Ukute askari walikuwa wakimpiga na kumuuliza kwanini ametuma radi iwarambe askari wennzao 😄
 
Wakuu,

Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu.

===

Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl. Steven Jacob aliripotiwa kutekwa asubuhi ya jana Mei 16, 2025 nyumbani wake na watu wasiyojulikana ambao walifika nyumbani kwake na cruiser nyeupe na kutokomea naye pasipojulikana.

Usiku huu imeripotiwa na wananchi kuwa amepatikana sehemu inatwa Forest mkoa wa Kilimanjaro baada ya kutupwa huko akiwa amepigwa sana, ambapo wasamaria hao wamempeleka kituo cha afya kupatiwa huduma ya kwanza na matibabu zaidi mpaka ndugu zake watakapofika.

Pia soma Pre GE2025 - Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana

Mtumishi huyu amekuwa akipost video kuikosoa serikali ambazo ndio zinasema kama chanzo cha utekaji huu kufanyika.

Kuna video alipost akisema Samia hafai kuwa Rais na akilazimisha atasababisha damu kumwagika sana nchini, na nyingine alipost akiwaambia polisi na serikali wajitafakari baada ya kuuliwa na radi kwani huo ni ujumbe wa Mungu kama kuwaonya.
Utembeapo usikose unga wa pilipili mfukoni , hali ni mbaya sana, kubali kufa ulipo .

Na cha ajabu watekaji huwai mtia pingu mtekwa , sasa huwa najiuliza kwa nini mtekwa asiwe na pingu ili zichapwe popote mnapo mpeleka ? Si wao majasiri sana ,na wapo na mafunzo sana ,why mfunga mtu pingu.

Napendkeza watekaji popote mfikishapo mateka mwachie huru na chagua yule kati yenu mwenye mabavu na wapeni mda wa kuzichapa ,acha mtu afe kwenye uringo ulio sawa ,pumbavu zenu watekaji
 
huenda ni waamini wake tu wameamua kumrekebisha tabia kwa style hiyo ili ijulikane moja ikiwa mtumishi huyo anafanya siasa au anahubiri neno la Mungu kwenye jengo ambalo waamini walijenga kwaajili ya kuhubiri neno la Mungu 🐒

Hapa ndio uwezo wako wakufikiria umeishia.
Tambua una familia, na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema anakuona ulivyo mpumbavu kwa kutetea dhulma.

Mtu ametekwa Arusha na kuonekana Moshi, waliomteka umeambiwa walikwenda na Land cruiser na hata wananchi walivyojaribu kuwafuata waliwatisha Kwa bunduki mchana kweupe.. NI NANI KWENYE NCHI HII MCHANA KWEUPE ANAWEZA KUTOA BUNDUKI HADHARANI NA KUTISHIA WATU NA KUTOKOMEA KUSIKOJULIKANA?
Polisi wawakamate basi hao walikuwa na cruiser na hilo cruiser lao pia walikamate!
 
Tuliza mihemko na makasiriko gentleman, usijifanye Mungu ni wako pekeyako.

ikiwa una taarifa za uhakika za huo upotoshaji, si kujitokeza kusaidia huyo muungwana kuliko kumbwelambwela na utakatifu wa kilofa humu jukwaani 🐒
 
Mambo mamboni,ni mwendo wa kutekana tu,wote wanamasharubu mwe.....
 
Tuliza mihemko na makasiriko gentleman, usijifanye Mungu ni wako pekeyako.

ikiwa una taarifa za uhakika za huo upotoshaji, si kujitokeza kusaidia huyo muungwana kuliko kumbwelambwela na utakatifu wa kilofa humu jukwaani 🐒

Upotoshaji kwa mtu aliyetekwa Arusha na kuonekana Moshi ameumizwa?..

Mimi na wewe hatupaswi kuwa mashabiki maandazi, hapa tunazungumzia uhai wa watu ambao mwenye mamlaka ya kulinda usalama wa watu na mali zao ni Serikali tunayoilipa Kodi.
Tunapaswa kuiuliza serikali na kupata majibu yaliyonyooka, na kama haina majibu maana yake imeshindwa kulinda usalama wa raia na mali zake na haipaswi kuaminiwa kuongoza watu.
 
Wakuu,

Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu.

===

Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl. Steven Jacob aliripotiwa kutekwa asubuhi ya jana Mei 16, 2025 nyumbani wake na watu wasiyojulikana ambao walifika nyumbani kwake na cruiser nyeupe na kutokomea naye pasipojulikana.

Usiku huu imeripotiwa na wananchi kuwa amepatikana sehemu inatwa Forest mkoa wa Kilimanjaro baada ya kutupwa huko akiwa amepigwa sana, ambapo wasamaria hao wamempeleka kituo cha afya kupatiwa huduma ya kwanza na matibabu zaidi mpaka ndugu zake watakapofika.

Pia soma Pre GE2025 - Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana

Mtumishi huyu amekuwa akipost video kuikosoa serikali ambazo ndio zinasema kama chanzo cha utekaji huu kufanyika.

Kuna video alipost akisema Samia hafai kuwa Rais na akilazimisha atasababisha damu kumwagika sana nchini, na nyingine alipost akiwaambia polisi na serikali wajitafakari baada ya kuuliwa na radi kwani huo ni ujumbe wa Mungu kama kuwaonya.
Mungu wa mbinguni atamhifadhi.....Milele amina
 
huenda ni waamini wake tu wameamua kumrekebisha tabia kwa style hiyo ili ijulikane moja ikiwa mtumishi huyo anafanya siasa au anahubiri neno la Mungu kwenye jengo ambalo waamini walijenga kwaajili ya kuhubiri neno la Mungu 🐒
Unakubali kuwatukanisha wazazi matusi ya nguoni Kwaajili ya CCM? Wewe jamaa Una laana sio bure , unashindwa kujiuliza kwanin unatukanwa matusi mazito Hadi wazazi wako?
 
Ashukuriwe Mungu Muumbaji kwa kuwa kaonekana akiwa hai,
Mungu amjaalie uponyaji wa haraka anapokuwa anapata matibabu.
Naona video zote kwenye account yake za kuishauri serikali zimefutwa.
 
huenda ni waamini wake tu wameamua kumrekebisha tabia kwa style hiyo ili ijulikane moja ikiwa mtumishi huyo anafanya siasa au anahubiri neno la Mungu kwenye jengo ambalo waamini walijenga kwaajili ya kuhubiri neno la Mungu 🐒
unasukumwa kinyesi
 
🌈
 
Back
Top Bottom