Wewe mama una akili?.huenda ni waamini wake tu wameamua kumrekebisha tabia kwa style hiyo ili ijulikane moja ikiwa mtumishi huyo anafanya siasa au anahubiri neno la Mungu kwenye jengo ambalo waamini walijenga kwaajili ya kuhubiri neno la Mungu 🐒
Imeandikwa wapi?.Nenda mbele rudi nyuma SERIKALI AU DOLA haisemwi ovyo ovyo utaangamizwa ndugu
Alipohusisha Samia na Askari ndipo alipoyakanyaga.Wakuu,
Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu.
===
Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl. Steven Jacob aliripotiwa kutekwa asubuhi ya jana Mei 16, 2025 nyumbani wake na watu wasiyojulikana ambao walifika nyumbani kwake na cruiser nyeupe na kutokomea naye pasipojulikana.
Usiku huu imeripotiwa na wananchi kuwa amepatikana sehemu inatwa Forest mkoa wa Kilimanjaro baada ya kutupwa huko akiwa amepigwa sana, ambapo wasamaria hao wamempeleka kituo cha afya kupatiwa huduma ya kwanza na matibabu zaidi mpaka ndugu zake watakapofika.
Pia soma Pre GE2025 - Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana
Mtumishi huyu amekuwa akipost video kuikosoa serikali ambazo ndio zinasema kama chanzo cha utekaji huu kufanyika.
Kuna video alipost akisema Samia hafai kuwa Rais na akilazimisha atasababisha damu kumwagika sana nchini, na nyingine alipost akiwaambia polisi na serikali wajitafakari baada ya kuuliwa na radi kwani huo ni ujumbe wa Mungu kama kuwaonya.
Ok go onImeandikwa wapi?.
Dola sio Mungu.
dada rukia tuliza mihemko 🐒Wewe mama una akili?.
ushirikina na ramli kama hizo ni utumwa wa kilofa mno gentleman una ung'ang'ania 🐒Nyinyi dawa yenu siku hizi ni radi tu.
Huyo nae kwa nini anaikosoa serekali, hajui kuwa serikali inatakiwa kusifiwa tu bila kukosolewa?!Hongera kwa jamii wapenda haki na Jeshi la polisi
Kwa hiyo hamuwezi tena kushindana nao kwa hoja bali sasa ni kuwamaliza moja moja eti?We zombie CCM ndio baba lao, hao vibaraka wako hawatapata uongozi asilani. Mke wa Lissu ni raia wa Ubelgiji ameshapewa makazi, hujamwona juzi? Mtamalizwa moja moja.
Sijawahi kumuona mwanamke mtekaji kama huyu anaependa kuona damu za watu zinamwagikahuenda ni waamini wake tu wameamua kumrekebisha tabia kwa style hiyo ili ijulikane moja ikiwa mtumishi huyo anafanya siasa au anahubiri neno la Mungu kwenye jengo ambalo waamini walijenga kwaajili ya kuhubiri neno la Mungu 🐒
Umesema polisi?CHADEMA,
mkusanye ushahidi kwa haya maovu yanayofanyika
polisi wajiande kisaikolojib chadema ikiwa chama tawala
Ni uonevu na dhambi kumteka mtu kwaajiri ya madaraka na kumpiga au kumuua
Mungu ni mwema kama wamemuachia akiwa hai
sijawahi kuona mtu lofa kama yule anaefumaniwa na mke wa mtu na kutembezewa kichapo halafu anasingizia kutekwa.Sijawahi kumuona mwanamke mtekaji kama huyu anaependa kuona damu za watu zinamwagika
Mwanamke anayeogopa hata mende chooni,kila anachoambiwa ni kuogopa tu,kana kwamba kitamdhurusijawahi kuona mtu lofa kama yule anaefumaniwa na mke wa mtu na kutembezewa kichapo halafu anasingizia kutekwa.
hiyo ni nonsense 🐒
mtu anaropoka ropoka kwa mihemko ya kindezi ndezi ni lofa tu gentleman 🐒Mwanamke anayeogopa hata mende chooni,kila anachoambiwa ni kuogopa tu,kana kwamba kitamdhuru
Mendee huyo mabodiga mje chooni nakufa mimi mwaya,uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiimtu anaropoka ropoka kwa mihemko ya kindezi ndezi ni lofa tu gentleman 🐒
unafia chooni au unatoa mimba wewe binti?Mendee huyo mabodiga mje chooni nakufa mimi mwaya,uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii