Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Mwakasege ameanza hata mwamposa hayupo
Afu leo umshindanishe nae?

Broh mwakasege ni habari nyingine kabisa
Anamafundisho ya maana
Sasa kama kaanza kitambo mbona matokeo hayaonekani?

Problem + Solution = Results

Watu watasikikiza Neno mpaka lini? Ni Neno gani la Mungu lisiloweza kupenya kwenye mifupa? Nyama? Ngozi? Tendons?

Anyways...mi namchukulia kama motivation speaker

Ni Sawa tu na wale ma pastor wanaohubiri business kingdom
 
What is the word of God?
 
Hapa sasa ndo umeongea.
 
Mwakasege alienda Italy na mkuu wa majeshi na mkurugenzi wa tisss wakati wa jakaya wakalala hoteli inayotazamana na piaza navona
Ujue Mimi nilitaka kushangaa, Neno gani la Mungu lisilokua na matokeo?

So ni kama yule jamaa anayehubiri issue za karama, vipawa, vipaji ....anaredio ya injili hapo dar

Anaitwa Askofu Gamanywa.

Nasikia nae ni TISS. Alipewaga Uongozi TACAIDS ( MKURUGENZI WA MAMBO YA UKIMWI TANZANIA) .
 
Mwakasege anafundisha bibilia na Ndiyo maana unaona anaongea hivyo ila wale wabaya Ndiyo hujihisi kusemwa . KUHUSU mwaposa mafundisho yake ni ya tofauti na bibilia

Nioneshe wapi mungu alitumia keki kutibu
Ni kweli anafundisha biblia. Tena kwà kutumia Akili zake. Ni lecturer wa somo la biblia.

Na ndio maana , Neno haliwezi kumanifest kwenye miili ya watu na kutoa matokeo chanya.

Kwani wewe unashindwa kujisomea biblia chumbani kwako?
 
Kati ya Mwakasege na huyo Mwamposa Nani ana experience?. Mwakasege ana miaka zaidi 34 kwenye huduma halafu unaongelea experience ?.

Huyo Mwamposa wa kutapisha watu viwembe na kuwamwagia maji ana Nini Cha ziada?
Experience sio unayoijua wewe...I mean , ya kuwa kwenye huduma kwà muda mrefu.

Mungu anaweza kumchagua mtu leo na akaanza kupiga vizuri sana kushinda hata mwenye miaka 40 kwenye huduma.

#Manifestions
 
Sawa sawa na ulivyoanza kuandika, namsikiliza sana huyo numberiii one.!!
 
Sijui unaongea Nini. Unalazimisha mtume na Mwalimu wafanane?.
Neno la Mungu ni lile lile. Ninachoangalia hapa ni matumizi ya Neno hilo. Naangalia Kati yao , nani anayelitendea Kazi vizuri, ..period!
 
Experience sio unayoijua wewe...I mean , ya kuwa kwenye huduma kwà muda mrefu.

Mungu anaweza kumchagua mtu leo na akaanza kupiga vizuri sana kushinda hata mwenye miaka 40 kwenye huduma.

#Manifestions
Bado hata huelewi mambo ya huduma,acha kuongea usiyoyajua,Hawa watu Wana huduma tofauti na utendaji wake tofauti ss unafananisha kitu gani?
 
Mwakasege sio Mwalimu wa sheria bali Mwalimu wa neno la Mungu.
Sijakataa, hata wewe unaweza kuwa hivyo , ...jifungie na uwe serious kusoma bible. Issue ni manifestion ya hilo Neno.
 
Neno la Mungu ni lile lile. Ninachoangalia hapa ni matumizi ya Neno hilo. Naangalia Kati yao , nani anayelitendea Kazi vizuri, ..period!
Hakuna ulinganushi wa huduma, kasome biblia yako, mwalimu na mtume ni huduma 2 tofauti!
Tena Kila mtu ana maelekezo yake ya namna alivyoitwa ,acha kufananisha vitu tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…