Mwl. Kambarage Nyerere alitayarishwa!

Mwl. Kambarage Nyerere alitayarishwa!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,317
Reaction score
14,992
Katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa Nyumbani, nimekuja kugundua kwamba Raisi wa kwanza wa Tanzania au sijui Tanganyika Mlm Kambarage Nyerere alitayarishwa na Wazungu (Waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa Nchi!

Sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za Mlm Nyerere nikaona kwamba alisoma Tabora Boys, Shule ambayo ilijengwa na Waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha Waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani Watawala wetu, Tabora Boys ilianzishwa kwa kufwata Mfano wa Eton college ya huko Uingereza ambayo mpaka leo Viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!

Baada ya kutoka hapo Bw.Nyerere alipelekwa moja kwa moja Scotland kusoma kwa udhamini wa Waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya Ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye Nchi yetu!

Baada ya kutoka huko na baada ya Waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi Nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba Bw.Nyerere alileta Uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya Wazungu (Waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...
 
Sio kidaha makwaia ndo alikua chagua la malkia?
 
craap.....
je azimiyo la arusha aliandaliwa tena?
 
Rais yeyeto duniani, hutayarishwa, huandaliwa, hupikwa kwenye nyanja zote, uchumi, siasa za kimataifa, mambo ya kijamii kwabahati mbaya sana hapa kwetu ni mtu mwenye kuandaa pesa tu anakuwa rais.
 
Katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa Nyumbani, nimekuja kugundua kwamba Raisi wa kwanza wa Tanzania au sijui Tanganyika Mlm Kambarage Nyerere alitayarishwa na Wazungu (Waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa Nchi!

Sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za Mlm Nyerere nikaona kwamba alisoma Tabora Boys, Shule ambayo ilijengwa na Waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha Waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani Watawala wetu, Tabora Boys ilianzishwa kwa kufwata Mfano wa Eton college ya huko Uingereza ambayo mpaka leo Viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!

Baada ya kutoka hapo Bw.Nyerere alipelekwa moja kwa moja Scotland kusoma kwa udhamini wa Waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya Ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye Nchi yetu!

Baada ya kutoka huko na baada ya Waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi Nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba Bw.Nyerere alileta Uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya Wazungu (Waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...

So what?
 
Nadhani hata kumpiga Idd Amini aliandaliwa

Kumbe ulikua hujui ile Vita ya Uganda ilikuwa ni proxy war au vita ambayo Nchi fulani au kikundi fulani kinapigana kwa maslahi Binafsi ya Nchi au kikundi kikingine, bila ya hiyo nchi inayopiganiwa kujihusisha moja kwa moja, kama vile Kenya walivyo Somalia, au Majeshi yetu yalivyo Kongo hizo zote ni proxy wars kwa maslahi ya Marekani na Marafiki zake!
 
Sio kidaha makwaia ndo alikua chagua la malkia?

Hata mimi niliwahi kusikia hivyo pale maskani kwetu. Chaguo jengine alikuwa Mshume Kiyate yule mkaanga samaki maarufu maeneo ya Kariakoo bahati mbaya fitna za madhehebu zikavuruga. FaizaFoxy anafahamu sana habari hizi.
 
Last edited by a moderator:
Katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa Nyumbani, nimekuja kugundua kwamba Raisi wa kwanza wa Tanzania au sijui Tanganyika Mlm Kambarage Nyerere alitayarishwa na Wazungu (Waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa Nchi!

Sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za Mlm Nyerere nikaona kwamba alisoma Tabora Boys, Shule ambayo ilijengwa na Waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha Waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani Watawala wetu, Tabora Boys ilianzishwa kwa kufwata Mfano wa Eton college ya huko Uingereza ambayo mpaka leo Viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!

Baada ya kutoka hapo Bw.Nyerere alipelekwa moja kwa moja Scotland kusoma kwa udhamini wa Waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya Ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye Nchi yetu!

Baada ya kutoka huko na baada ya Waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi Nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba Bw.Nyerere alileta Uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya Wazungu (Waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...

Mlm = Maalim
Mwl = Mwalimu

Julius Kambarage Nyerere alikuwa Mwl (Mwalimu)
Pia kama uko makini ungetufahamisha kuwa undergraduate degree yake alifanyia Makerere.
 
Tabora boys > Scotland????? Hahaaahaa kasome historia ya Mwalimu Nyerere mkuu,
 
katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa nyumbani, nimekuja kugundua kwamba raisi wa kwanza wa tanzania au sijui tanganyika mlm kambarage nyerere alitayarishwa na wazungu (waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa nchi!

sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za mlm nyerere nikaona kwamba alisoma tabora boys, shule ambayo ilijengwa na waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani watawala wetu, tabora boys ilianzishwa kwa kufwata mfano wa eton college ya huko uingereza ambayo mpaka leo viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!

Baada ya kutoka hapo bw.nyerere alipelekwa moja kwa moja scotland kusoma kwa udhamini wa waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye nchi yetu!

baada ya kutoka huko na baada ya waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba bw.nyerere alileta uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya wazungu (waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...
ama kweli ''ukitaka mficha mswahili jambo litie kitabuni''
 
Napia tuajiandaa kumtayarisha Hayati Mwalimu Nyerere kua Mtakatifu!
 
Aise mkuu kwa uwongo hujambo!nyerere hakusomea degree scotland wala ujamaa hakusomea.ujamaa aluichukua uchna kwa mao.
 
hujui kitu, umekurupuka tu. siwezi kukueleza mapungufu yako maana utaanza ubishi usio na maana, nenda kasome na ukajipange vizuri ili upate maoni mazuri ya wafuasi wa msocrates.
 
Back
Top Bottom