Mwl. Kambarage Nyerere alitayarishwa!

Mwl. Kambarage Nyerere alitayarishwa!

google Julius Kambarage Nyerere na soma na soma part ya early life and education - wacha uvivu:smile-big:

usipendelee sana kusoma vitu vichache au vitabu kisha unaconclude inakuwa hamna uwiano infact wazungu wanatulisha biases za kutosha kupotosha uma kuwa makin usiamin kila unachokiona:dunia inakuwa sio mahara salama kwaajili ya watu wavivu kufikilia
 
Katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa Nyumbani, nimekuja kugundua kwamba Raisi wa kwanza wa Tanzania au sijui Tanganyika Mlm Kambarage Nyerere alitayarishwa na Wazungu (Waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa Nchi!

Sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za Mlm Nyerere nikaona kwamba alisoma Tabora Boys, Shule ambayo ilijengwa na Waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha Waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani Watawala wetu, Tabora Boys ilianzishwa kwa kufwata Mfano wa Eton college ya huko Uingereza ambayo mpaka leo Viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!

Baada ya kutoka hapo Bw.Nyerere alipelekwa moja kwa moja Scotland kusoma kwa udhamini wa Waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya Ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye Nchi yetu!

Baada ya kutoka huko na baada ya Waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi Nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba Bw.Nyerere alileta Uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya Wazungu (Waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...

Mbona makerere hapa sijaiona?,au mwl makerere hakusoma?.au kumbu kumbu zangu haziko sahihi?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Bado unachemka tuu! Tabora school ilijengwa na Waingereza kwa ajili ya kuelimisha Watawala au Viongozi wajao, na wala SIO Machifu tu, ilikuwa ni kwa yoyote yule ambaye alitimiza masharti ambayo wao (Waingereza) waliyaweka ya kupata nafasi ya kusoma pale, hivyo kama Ulikuwa mtoto wa Chifu na ukatimiza masharti walikuchukua Na Mlm.Nyerere ilitokea tu akawa Mtoto wa Chifu!

Wakoloni waliona kitu kwake na ndio maana walimpenda (labda) na kuamua kumuendeleza zaidi, kwa mategemeo kwamba wangemuhitaji baadae, na SI zaidi ya Hapo!
Kumbuka kwamba Waingereza tangu mwaka 1920 walikuwa wanajua kwamba mwisho wa siku ni lazima Waichie Nchi yetu, swala tu lilikuwa ni lini, waiache vipi na wamuacchie nani?

Hivyo kazi ya kutafuta mrithi ilianza muda tu na yeye Mlm.Nyerere, kutokana na juhudi zake yeye mwenyewe wakamuona, wakampenda, wakaanza kazi ya kumkuza na kumuandaa ili aje aendeleze ukoloni ila kwa namna nyingine, kitu ambacho leo hii tunakiona na hata tumekibatiza jina ukoloni mweusi!

Kwa miaka ya zamani shule karibu zote zilikuwa ni kwa ajili ya watoto wa machifu tu. Tabora Boys secondary School ndiyo kabisa kabisa. Enzi zile ilikuwa ni vigumu kwelikweli kwa mtu wa kawaida kuingia shule hizo. Watoto wengi ambao walikuwa siyo machifu waliingia hizo shule kwa kuchukua nafasi za watoto wa machifu. Machifu wengi wakati ule walikuwa wanakataa watoto wao kwenda shule kwa kuogopa kuwa huenda wangeenda huko kubadilishwa dini au kuchukuliwa na serikali halafu wangekosa wa kuwarithisha uchifu. Kwa hiyo machifu walikuwa wanawachagua watoto wa watu wengine, hasa wale waliokuwa wanawachukia waende shule. Nawajua wazee wengi ambao walisoma kwa kuchukua nafasi za watoto wa machifu.

Kuhusu swala la kutafuta mrithi hayo ni maneno yako. Mimi nasikia kwa mara ya kwanza kutoka kwako.Kwa nini unadhani Waingereza walikuwa wanapenda kuondoka Tanganyika?

Cha muhimu ni kuwa Nyerere hakutafutwa na wakoloni bali yeye ndiye aliyetafuta kazi ya kuwafukuza wao.
 
katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa nyumbani, nimekuja kugundua kwamba raisi wa kwanza wa tanzania au sijui tanganyika mlm kambarage nyerere alitayarishwa na wazungu (waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa nchi!

Sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za mlm nyerere nikaona kwamba alisoma tabora boys, shule ambayo ilijengwa na waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani watawala wetu, tabora boys ilianzishwa kwa kufwata mfano wa eton college ya huko uingereza ambayo mpaka leo viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!

Baada ya kutoka hapo bw.nyerere alipelekwa moja kwa moja scotland kusoma kwa udhamini wa waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye nchi yetu!

baada ya kutoka huko na baada ya waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba bw.nyerere alileta uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya wazungu (waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...

jiulize, kama ndiyo hivyo kwanini hawakumuandaa babu yako au mdingi wako????!!!!! Je walikuwa wako porini wakijifanya wajanja wa kijiji wakisokota sigara za majani ya mgomba?!

Think! Think! Bore head.
 
Kumbuka Azimio la Arusha halikugusa Maslahi ya Waingereza!

ILIGUSA TU MASLAHI YA WATANZANIA. Hivyo ika-exclude maslahi ya Waingereza juu ya Watanzania, Na kwakufanya hivyo aligusa maslahi ya Waingereza in a Negative way. Think! u Lazy mind
 
Katika muendelezo wangu wa kutafuta kiini cha matatizo yetu hapa Nyumbani, nimekuja kugundua kwamba Raisi wa kwanza wa Tanzania au sijui Tanganyika Mlm Kambarage Nyerere alitayarishwa na Wazungu (Waingereza) tangu enzi akiwa kijana ili aje kupewa na kukabidhiwa Nchi!

Sasa ni kwa nini nimefikia hapo, ni kwamba nimefwatilia nyendo za Mlm Nyerere nikaona kwamba alisoma Tabora Boys, Shule ambayo ilijengwa na Waingereza kwa lengo la kukuza kizazi cha Waafrika watakaoachiwa nchi pindi muda wao wa kuondoka utakapofika, yaani Watawala wetu, Tabora Boys ilianzishwa kwa kufwata Mfano wa Eton college ya huko Uingereza ambayo mpaka leo Viongozi wa nchi hiyo wengi wao wanatokea hapo!

Baada ya kutoka hapo Bw.Nyerere alipelekwa moja kwa moja Scotland kusoma kwa udhamini wa Waingereza na alipokuwa huko ndipo alipokumbana ya mambo ya Ujamaa, ambayo baadae alikuja kuyapandikiza kwenye Nchi yetu!

Baada ya kutoka huko na baada ya Waingereza kuona sasa alishaiva ndipo wakamrudisha na kumkabidhi Nchi, kinyume na propaganda tunazolishwa kwamba Bw.Nyerere alileta Uhuru, ukweli ni kwamba alitayarishwa ali aje apewe kwa malengo ya kulinda na kutetea maslahi ya Wazungu (Waingereza) kazi ambayo aliifanya vizuri sana na mpaka leo watawaala wetu wanaiendeleza...

Kijakazi wa II

Hoja matata sana hii ya kihistoria umeanzisha, hata hivyo nikushauri uisome vizuri historia ya Mwl Nyerere na mchango wake kwenye siasa za Tanzania maana nahofia namna unavyozamia historia hii utajipata umepotea sana maana unaenda nje na mbali sana toka kwenye historia halisia
 
hii inamaana waliosoma tabora boys wote walipewa nchi...ila kumbuka sio wote wanaotaka kutumika huwa wanakubali utumwa hasa wakishagundua kuwa wanatumika na wanajua what is a right way to. Inawezekana ila kama ndo hivyo yeye alikiuka upapeti huo

Sikusema waliosoma Tabora wote walipewa nchi, bali nimesema Tabora (Shule) ilijengwa na Wazungu kwa lengo la kuandaa viongozi ambao kwa namna moja ama nyingine wangetetea na kulinda maslahi yao (Wazungu)!
Sasa neno Viongozi linajumuisha watu wengi kuanzia Raisi mpaka Mkuu wa Wilaya wote ni Viongozi!

Kijakazi wa II

Hoja matata sana hii ya kihistoria umeanzisha, hata hivyo nikushauri uisome vizuri historia ya Mwl Nyerere na mchango wake kwenye siasa za Tanzania maana nahofia namna unavyozamia historia hii utajipata umepotea sana maana unaenda nje na mbali sana toka kwenye historia halisia

Twende kazini kama ukipenda, bado najifunza...

Kumbuka hakuna mahali nimesema kwamba Mlm.Nyerere hajatoa mchango wake (mzuri tu) kwenye Siasa za Nchi yetu!

Back
Top Bottom