tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,328
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo mwenye shamba anamsulubu babu yake wa kambo!!?Unyanyasaj wa viumbe mwitu si sahihi
Ukizingatia huyu ancestor wa human race
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo mwenye shamba anamsulubu babu yake wa kambo!!?Unyanyasaj wa viumbe mwitu si sahihi
Ukizingatia huyu ancestor wa human race
Babu mzaa babu[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo mwenye shamba anamsulubu babu yake wa kambo!!?
Bei gan mkuuNajuta kuufungua huu uzi,roho imeniuma sana,aliye fanya hivyo alaaniwe
Nikikualika scan uje tule wote hutaki kuja, [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Alafu wewe hiyo bangi mbn unavuta peke yakoo
ndiyo Dawa,ila amebugi...msalaba ulipaswa uwe mrefu zaidi...ili tumbili wengine waogope
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja akusikiemaskini nyani ngabu
ukikuta wanavyo haribu mazao tena kwa dharau,hautamuonea huruma bora ale ata lote anakula nusu anahamia lingine,dawa yao gobole tuAcha tu naumia sana kuona wanyama wakiteseka
Wewe niambie chimbo LA wapi nikukuteNikikualika scan uje tule wote hutaki kuja, [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hujawahi lima sehem yenye hao wanyama wewe, waweza kufuru kwanini waliumbwa believe me.Najuta kuufungua huu uzi,roho imeniuma sana,aliye fanya hivyo alaaniwe
sawa lakini huu ni ukatili jaman,imepitilizaHujawahi lima sehem yenye hao wanyama wewe, waweza kufuru kwanini waliumbwa believe me.
GomzWewe niambie chimbo LA wapi nikukute
Lima then uwe mwema uone wema watakaokufanyia " haimaanishi wewe kutomla simba yeye atakuacha salama pindi uingiapo kwenye himaya yake" mnyama mharibifu dawa yake kuharibiwa tu!sawa lakini huu ni ukatili jaman,imepitiliza
Huyo ni ngedere.Maskini. .. sijui ni tumbili huyoo au Nyaniiiiiiii. ...... analia huruma jamani.... sio fair.... wish could be there to rescue him.....
Pole Nyani /Tumbili.
Hiyo azabu amestahili kabsa n hak yake