stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,975
- 4,207
Alafu wewe hiyo bangi mbn unavuta peke yakoo
Jaman una hurumaeeeNajuta kuufungua huu uzi,roho imeniuma sana,aliye fanya hivyo alaaniwe
Sasa ndo aje kula kwenye shamba la mahindi?Utesaji wa wanyama huu.
Mlitaka ale wapi?
Dadaangu unaijua vizuri taabu ya kilimo cha jembe la mkono?Maskini. .. sijui ni tumbili huyoo au Nyaniiiiiiii. ...... analia huruma jamani.... sio fair.... wish could be there to rescue him.....
Pole Nyani /Tumbili.
pooleee.. Mtoto mzuri mwayaNajuta kuufungua huu uzi,roho imeniuma sana,aliye fanya hivyo alaaniwe
akikusikia...!!!Du pole yake kafulila!!
Acha tu naumia sana kuona wanyama wakitesekaJaman una hurumaeee