Mwizi wa mahindi baada ya kupatikana

Mwizi wa mahindi baada ya kupatikana

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
ukisikia paa ujue imekukosa. .... doh huyu hakusikia aisee...
 
Hawa jamaa wa ajabu wanawadharau wanawake akimkuta shamba hata akifukuzwa anaweza asiondoke, bi Mkubwa wangu hasikii vizuri hivyo walikuwa wakimkuta shamba wanakula mahindi wakishiba wanaenda mgusa akigeuka hao wanaondoka taratibu, akirudi nyumbani analalamika wamekula wameshiba wakaja kuniaga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wametisha sanaa hao ngedere
 
Back
Top Bottom