Mwizi mjinga zaidi Duniani akamatwa huko Marekani

Hapa inanikumbusha ile kesi ya mwizi wa Keko mwaka jana. Jamaa alikwenda kuiba nyumbani kwa kibosile fulani, bahati nzuri akabahatika kuingia ndani bila ya kuvunja anything kwani wenyewe walipotoka nyumbani asubuhi walikuwa wamejisahau kwa kutofunga nyumba yao. Jamaa akaingia, kabla ya yote akavua nguo zake alizokwenda nazo na kuanza kuoga. Alipo maliza akatafuta nguo za mwenye nyumba na kuzivaa ili ajaribu. Bahati mbaya kwake alipovaa tu zile nguo wakaja watu wakagonga kengele/alarm basi jamaa akajificha. Walipo ondoka naye jamaa akaona soo akatimua zake na zile nguo za mwenye nyumba zikiwa bado mwilini mwake, kumbe ndani ya zile nguo zake alizovua kulikuwa na vitambulisho vyake pamoja na anuani ya anapoishi. Jamaa alikamatwa kiulainiiiii. Nafikiri mpaka sasa atakuwa ananyea ndoo Keko.
 
huhuhuuuu! man made loughter!

huhuhuuu! nipeni mji niwaambie jamaa anaishi mtaa upi dar hii! huhuhuuu!
 
Hahahahaha yaani hiyo facebook addiction hatari yaani hadi kazini anaingia fb lol
 
Must be crazy...ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa...LOL
 
angeingia jamiiforums asingekamatwa. huyo mwizi pambavvv kweli.
 
Daaaah ni balaaaa ingekua bongo hiyo kesi ingeundiwa tume
 
Hapa inanikumbusha ile kesi ya mwizi wa Keko mwaka jana. Jamaa alikwenda kuiba nyumbani kwa kibosile fulani, bahati nzuri akabahatika kuingia ndani bila ya kuvunja anything kwani wenyewe walipotoka nyumbani asubuhi walikuwa wamejisahau kwa kutofunga nyumba yao. Jamaa akaingia, kabla ya yote akavua nguo zake alizokwenda nazo na kuanza kuoga. Alipo maliza akatafuta nguo za mwenye nyumba na kuzivaa ili ajaribu. Bahati mbaya kwake alipovaa tu zile nguo wakaja watu wakagonga kengele/alarm basi jamaa akajificha. Walipo ondoka naye jamaa akaona soo akatimua zake na zile nguo za mwenye nyumba zikiwa bado mwilini mwake, kumbe ndani ya zile nguo zake alizovua kulikuwa na vitambulisho vyake pamoja na anuani ya anapoishi. Jamaa alikamatwa kiulainiiiii. Nafikiri mpaka sasa atakuwa ananyea ndoo Keko.

Una faa kuwa mtunzi wa comedy.
 
mbona niliisikia muda mrefu katika habari nyepesi nyepesi ila nilidhani ni uongo
 
Back
Top Bottom