Mwizi anusurika kufa mabibo hostel

Mwizi anusurika kufa mabibo hostel

Nimeishi hapo Mabibo hostel, Block F kwa miaka 4, kumetokea incidents nyingi za wizi na watu kuuliwa!, kiukweli nothing justifies taking someones life kwa wizi wa simu, laptop au pc, ila wanafunzi wa hapo kutokana na mob psychology, wanageuka kama vichaa!. Nikiwa hapo kuna mwanafunzi aliuliwa kwa kusingiziwa tuu mwizi na demu wake!, watu walimshushia kipigo bila hata kuuliza kaiba nini, by the time wale auxilary polisi wamefika, wanafunzi hawakumwacha mpaka walipohakikisha wameua!, kesho yake room mate wa girlfied wake ndio akaleak data kumbe masikini kijana wa watu, alipigwa tuu kibuti, akaja kuomba msamaha, akaitiwa mwizi!. Imcident nyingine kama hiyo ilitokea tena, nikajaribu kuwazui watu wasuia kwanza, angalau tuulize nani kaibiwa!, watu wenye uchu wa kuua wakataka kunigeukia mimi kuwa ndio nalinda wezi!, nikawakumbushia kifo cha yule kijana japo hawakutulia walipiga ila at least nilifanikiwa to save his life japo alishapigika sana!. Kiukweli wasomi hawa wa chuo kikuu hawana tofauti yoyote na wale wahuni wa Manzese!.
Poleni kuibiwa, but its shame mwizi wa kuku kupigwa hadi kifo huku mujizi ile ya EPA, ikisamehewa na kuomba kurejesha ilichokwapua as if waliazima tuu ile mihela!.
Pasco.

pasco mwivi ni mwivi tu kama huyo wa jana anaulizwz unsoma nii anasema civics unategemea nibi?
Anyway mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Nimeishi hapo Mabibo hostel, Block F kwa miaka 4, kumetokea incidents nyingi za wizi na watu kuuliwa!, kiukweli nothing justifies taking someones life kwa wizi wa simu, laptop au pc, ila wanafunzi wa hapo kutokana na mob psychology, wanageuka kama vichaa!. Nikiwa hapo kuna mwanafunzi aliuliwa kwa kusingiziwa tuu mwizi na demu wake!, watu walimshushia kipigo bila hata kuuliza kaiba nini, by the time wale auxilary polisi wamefika, wanafunzi hawakumwacha mpaka walipohakikisha wameua!, kesho yake room mate wa girlfied wake ndio akaleak data kumbe masikini kijana wa watu, alipigwa tuu kibuti, akaja kuomba msamaha, akaitiwa mwizi!. Imcident nyingine kama hiyo ilitokea tena, nikajaribu kuwazui watu wasuia kwanza, angalau tuulize nani kaibiwa!, watu wenye uchu wa kuua wakataka kunigeukia mimi kuwa ndio nalinda wezi!, nikawakumbushia kifo cha yule kijana japo hawakutulia walipiga ila at least nilifanikiwa to save his life japo alishapigika sana!. Kiukweli wasomi hawa wa chuo kikuu hawana tofauti yoyote na wale wahuni wa Manzese!.
Poleni kuibiwa, but its shame mwizi wa kuku kupigwa hadi kifo huku mujizi ile ya EPA, ikisamehewa na kuomba kurejesha ilichokwapua as if waliazima tuu ile mihela!.
Pasco.

Hamna mwanafunzi aliyewahi kuuliwa kwa ishu ya wizi huyo dogo hakuuliwa. Acha uongo
 
we nae sijui kama unajielewa.mwizi ni mwizi 2,haijalishi ni wa laptop,kuku au wa epa..na kwa kuwa serikali yako ya ccm imeshndwa kuwashughulikia hawa wezi,wacha sisi raia tujichukulie sheria mikononi ili kukomesha tabia hii.over

Dogo acha mambo ya kijinga, usijudge vitu hivi juu juu, itakuja kukutokea siku umekanyaga block B mida mibovu na huna ID, nakuombea kwa Mungu hii siku isije kukutokea, na ole wako kama utailazimisha hyo siku ikufike.
 
pasco mwivi ni mwivi tu kama huyo wa jana anaulizwz unsoma nii anasema civics unategemea nibi?. Anyway mshahara wa dhambi ni mauti.
Mkuu Kasindi, pole sana kuibiwa, ila tunatofauti sana kuthamini life values, kiasi cha kuhalalisha hukumu ya kifo kwa mwizi wa kuku!.

Wakati nikiwa hapo Mabibo hostel nikikaa 3 floor zile single rooms, mtu wa opposite room yangu, aliona nilipokuwa naweka ufungio wangu, akafungua akakomba Mac Book Pro laptop, video kamera ya Sony PD 175, Nikon D.70, na vigadgets kibao (wakati nasoma UDSM, nilihamishia semi production zangu kwenye room yangu), worth more than 15M. Akaenda kuviuza kwa jamaa fulani anayenunua vitu vya wizi hapo nje ya hostel kwa laki 500,000 tuu!. Mzigo ukaingizwa sokoni hivyo hivyo ulivyo jamaa akianzia 1.5 mwisho 1!. Kuna jamaa mmoja alipoiona tuu PD 175 akanicall kuniambia kuna kamera kama yangu iko sokoni, inaiuzwa hapo Mabibo hostel pamoja na vitu vingine kibao!. Nikaja kuangalia la haula!, kamera ni yangu!. Nilichofanya kwanza ni ku bargain na jamaa, akashuka mpaka 1.M, nikatuma fungu likaletwa, nikafanikiwa kuikomboa Laptop, Video Camera na Still camera, vingine vidogo vidogo vyote alikuwa kashasukuma!. Baada ya hapo nikaenda polisi kuchukua RB, jamaa muuzaji akadakwa!, hoja ya kwanza ni kuonyesha alikovipata!. Jamaa alikuja mpaka room kwa neighbor wangu!. Naye akadakwa!. Cha kwanza nilidemand fedha zangu nilizokombolea vitu vyangu kurudishwa, vitu vyote vilivyouzwa vikombolewe, kiukweli ilinibidi kuvilipa baadhi!. Jamaa alikuwa aanze kufanya final exams zake za MA, in the next two weeks!.
Warden wa block F alikuwa jamaa mmoja mlokole ila poa sana, akamuombea msamaha, maadam vitu vyangu vyote vimekuwa recovered, jamaa angefukuzwa chuo mwaka wa 6!, aliunganisha na MA!. Huruma ikaniingia, nikakubali kufuta kesi!. Polisi nao wakanigomea huwezi kufuta criminal case, mimi ni shahidi tuu!. Polisi walishikishwa kidogo dogo, kesi ikafutwa bila kufikishwa mahakamani!. Nilisamehe kila kitu!, unconditional!.

Huku araiani nilikuja kukutana na huyo jamaa, ni jitu la Musoma, limeajiriwa Polisi Makao Makuu!, tena wakati huo waziri Masha alikuwa jamaa yangu, almanusura nimharibie kazi!, nikapiga moyo konde yaliyopita sii ndwele!.

Kama niliibiwa items worth more than 15 M nikasamehe!, laptop ndio kiwe kitu gani cha kumhukumu mtu kifo?!.

Uuuaji wowote kwangu ni unyama tuu, licha ya aliyoyafanya Osama, kitendo cha kuuawa kinyama, Saadam, Ghadafi etc, nimewaita Bush, Blair na Obama, wote ni wauaji tuu!. There is no any justification to take ones life no matter what!.
Ndio maana hata serikali yetu nimeiita ni serikali dhalimu ya mauaji kutokana na kuruhusu matumizi ya adhabu ya kifo!.
Mimi ni pro life, ambaye ninaamini life ni zawadi ya Mungu kwa binadamu, only the giver of life ndie pekee mwenye kibali to take out the life!. Uondoaji mwingine wowote wa maisha ni ushetani!. Kuushangilia ushetani ni kumtumikia shetani bila kujijua!.
Pasco.
 
Wanafunz wanakuwa Kama watu Wa stend banaa,kuweni reasonable Na maamuzi yenu,Kama ya kuwauwa hao vibaka jiulizeni kazi ya Auxilary police pale Mabibo iko wapi? Au ndio kufungua geti tu?
 
Mkuu Kasindi, pole sana kuibiwa, ila tunatofauti sana kuthamini life values, kiasi cha kuhalalisha hukumu ya kifo kwa mwizi wa kuku!.

Wakati nikiwa hapo Mabibo hostel nikikaa 3 floor zile single rooms, mtu wa opposite room yangu, aliona nilipokuwa naweka ufungio wangu, akafungua akakomba Mac Book Pro laptop, video kamera ya Sony PD 175, Nikon D.70, na vigatgets kibao (wakati nasoma UDSM, nilihamishia semi production zangu kwenye ruum yangu), worth more than 15M. Akaenda kuviuza kwa jamaa fulani anayenunua vitu vya wizi hapo nje ya hostel kwa laki 500,000!. Mzigo ukaingizwa sokoni hivyo hivyo ulivyo jamaa akianzia 1.5 mwisho 1!. Kuna jamaa mmoja alipoiona tuu PD 175 akanicall kuniambia kamara kama yangu inaiuzwa hapo Mabibo hostel pamoja na vitu kibao!. Nikaja kuangalia la haula!, kamera yangu!. Nilichofanya kwanza ni ku bargain na jamaa, akashuka mpaka 1.M, nikatuma fungu likaletwa, nikafanikiwa kukomboa Laptop, Video Camera na Still camera, vingine vidogo vidogo vyote kashasukuma!. Baada ya hapo nikaenda polisi kuchukua RB, jamaa akadakwa!, hoja ya kwanza ni kuo yesha aliyemuuzia!. Jamaa alikuja mpaka room kwa neighbor wangu!. Naye akadakwa!. Cha kwanza nilidemand fedha zangu kurudishwa, vitu vyote vilivyouzwa vikombolewe, kiukweli ilinibidi kuvilipa baadhi!. Jamaa alikuwa aanze kufanya final exams zake in the next two weeks!.
Warden wa block F alikuwa jamaa mmoja mlokole ila poa sana, akamuombea msamaha, maadam vitu vyangu vyote vimekuwa recovered, jamaa angefukuzwa chuo mwaka wa 6!, aliunganisha na MA!. Huruma ikaniingia, nikakubali kufuta kesi!. Polisi nao wakanigomea huwezi kufuta criminal case, mimi ni shahidi tuu!. Polisi walishikishwa, kesi ikafutwa!. Nilisamehe kila kitu!, unconditional!.

Huku araiani nilikuja kukutana na huyo jamaa, ni jitu la Musoma, limeajiriwa Polisi Makao Makuu!, tena Masha alikuwa jamaa yangu, almanusura nimharibie kazi!, nikapiga moyo konde yaliyopita sii ndwele!.

Kama niliibiwa items worth more than 15 M nikasamehe!, laptop ndio kiwe kitu cha kumhukumu mtu kifo?!.

Uuuaji wowote kwangu ni unyama tuu, licha ya aliyoyafanya Osama, kitendo cha kuuawa kinyama, Saadam, Ghadafi etc, nimewaita Bush, Blair na Obama, wote ni wauaji tuu!. No any justification to take ones life no matter what!.

Mimi ni pro life, ambaye ninaamini life ni zawadi ya Mungu kwa binadamu, only the giver of life ndie pekee mwenye kibali to take iut life!. Uondoaji mwingine wowote wa maisha ni ushatani!. Kuushangilia ushetani ni kumtumikia shetani bila kujijua!.
Pasco.

Mekukubali wewe :thumbup:
 
Wanafunz wanakuwa Kama watu Wa stend banaa,kuweni reasonable Na maamuzi yenu,Kama ya kuwauwa hao vibaka jiulizeni kazi ya Auxilary police pale Mabibo iko wapi? Au ndio kufungua geti tu?

Tatizo watu wanataka wajionee matokeo papo hapo
Kitu ambacho ukiwakabidhi hao auxiliary police hakuna anayejua nini kitawatokea hao waovu
 
Ooh, mlitembelewa na Mr Magnetic Hand, poleni sana wandugu.
 
Nimekaa mabibo hostel... Usikurupuke kupiga mwizi ulizeni kwanza kuna ishu ilishawahi tokea blokB jamaa aliitwa mwizi na ex gal wake watu wakamlonda ukweli unakuja kujulikana baadae wakati msela kesha umia
 
ukimuuliza mtu anasoma nni akakwambia civics ni mwanafunzi kweli?
 
Nadhani ingekuwa ni busara ukajua ni lini mimi niliishi hapo Mabibo Hostel na kulinganisha hiyo incident kama ndio hiyo unayoizungumzia wewe! na sio kuanza kuitana warongo!.
Pasco
Ujataja mwaka
 
Mkuu Kasindi, pole sana kuibiwa, ila tunatofauti sana kuthamini life values, kiasi cha kuhalalisha hukumu ya kifo kwa mwizi wa kuku!.

Wakati nikiwa hapo Mabibo hostel nikikaa 3 floor zile single rooms, mtu wa opposite room yangu, aliona nilipokuwa naweka ufungio wangu, akafungua akakomba Mac Book Pro laptop, video kamera ya Sony PD 175, Nikon D.70, na vigatgets kibao (wakati nasoma UDSM, nilihamishia semi production zangu kwenye ruum yangu), worth more than 15M. Akaenda kuviuza kwa jamaa fulani anayenunua vitu vya wizi hapo nje ya hostel kwa laki 500,000!. Mzigo ukaingizwa sokoni hivyo hivyo ulivyo jamaa akianzia 1.5 mwisho 1!. Kuna jamaa mmoja alipoiona tuu PD 175 akanicall kuniambia kamara kama yangu inaiuzwa hapo Mabibo hostel pamoja na vitu kibao!. Nikaja kuangalia la haula!, kamera yangu!. Nilichofanya kwanza ni ku bargain na jamaa, akashuka mpaka 1.M, nikatuma fungu likaletwa, nikafanikiwa kukomboa Laptop, Video Camera na Still camera, vingine vidogo vidogo vyote kashasukuma!. Baada ya hapo nikaenda polisi kuchukua RB, jamaa akadakwa!, hoja ya kwanza ni kuo yesha aliyemuuzia!. Jamaa alikuja mpaka room kwa neighbor wangu!. Naye akadakwa!. Cha kwanza nilidemand fedha zangu kurudishwa, vitu vyote vilivyouzwa vikombolewe, kiukweli ilinibidi kuvilipa baadhi!. Jamaa alikuwa aanze kufanya final exams zake in the next two weeks!.
Warden wa block F alikuwa jamaa mmoja mlokole ila poa sana, akamuombea msamaha, maadam vitu vyangu vyote vimekuwa recovered, jamaa angefukuzwa chuo mwaka wa 6!, aliunganisha na MA!. Huruma ikaniingia, nikakubali kufuta kesi!. Polisi nao wakanigomea huwezi kufuta criminal case, mimi ni shahidi tuu!. Polisi walishikishwa, kesi ikafutwa!. Nilisamehe kila kitu!, unconditional!.

Huku araiani nilikuja kukutana na huyo jamaa, ni jitu la Musoma, limeajiriwa Polisi Makao Makuu!, tena Masha alikuwa jamaa yangu, almanusura nimharibie kazi!, nikapiga moyo konde yaliyopita sii ndwele!.

Kama niliibiwa items worth more than 15 M nikasamehe!, laptop ndio kiwe kitu cha kumhukumu mtu kifo?!.

Uuuaji wowote kwangu ni unyama tuu, licha ya aliyoyafanya Osama, kitendo cha kuuawa kinyama, Saadam, Ghadafi etc, nimewaita Bush, Blair na Obama, wote ni wauaji tuu!. No any justification to take ones life no matter what!.
Ndio maana hata serikali yetu nimeiita ni serikali dhalimu ya mauaji kutokana na kuruhusu matumizi ya adhabu ya kifo!.
Mimi ni pro life, ambaye ninaamini life ni zawadi ya Mungu kwa binadamu, only the giver of life ndie pekee mwenye kibali to take iut life!. Uondoaji mwingine wowote wa maisha ni ushatani!. Kuushangilia ushetani ni kumtumikia shetani bila kujijua!.
Pasco.

Umesomeka mkuu
 
Nimeishi hapo Mabibo hostel, Block F kwa miaka 4, kumetokea incidents nyingi za wizi na baadhi kusababisha vifo!, kiukweli nothing justifies taking someones life kwa wizi wa simu, laptop au pc, ila wanafunzi wa hapo kutokana na mob psychology, utu umewatoka umebaki unyama!, wamegeuka kama vichaa!. Nikiwa hapo kuna mwanafunzi aliuliwa kwa kusingiziwa tuu mwizi na demu wake!, watu walimshushia kipigo bila hata kuuliza kaiba nini, by the time wale auxilary polisi wamefika, wanafunzi hawakumwacha mpaka walipohakikisha wameua!, kesho yake room mate wa aliyeita mwizi, dhamira ikamsuta ndio akaleak info kuwa kumbe kijana aliyeitwa mwizi, sii mwizi wa kweli!, bali alikuwa boyfriend wa room mate wake!. Masikini kijana wa watu!, alipigwa tuu kibuti, akaja kuomba msamaha akakatataliwa sasa akawa anasumbua ili kurejesha penzi, akaitiwa mwizi!. Incident nyingine kama hiyo ilitokea tena, nikajaribu kuwazuia watu wasikimbilie kupiga hadi kuua kwanza, angalau tuulize ameiba nini na nani kaibiwa! watu wenye uchu wa kuua wakataka kunigeukia mimi kibao kuwa ndio nalinda wezi!, nikawakumbushia kifo cha yule kijana aliyeuliwa kwa kusingiziwa tuu kuwa ni mwizi!, japo hawakutulia walipiga ila at least nilifanikiwa to save his life japo alishapigika sana!. Kiukweli wasomi hawa wa chuo kikuu hawana tofauti yoyote na wale wahuni wa Manzese!.

Poleni kuibiwa, but its shame mwizi wa kuku kupigwa hadi kifo huku mijizi mikubwa kama ile ya EPA, ikisamehewa na kuomba kurejesha ilichokwapua as if waliazima tuu ile mihela!.
Pasco.
Mkuu Kasindi, pole sana kuibiwa, ila tunatofauti sana kuthamini life values, kiasi cha kuhalalisha hukumu ya kifo kwa mwizi wa kuku!.

Uuuaji wowote kwangu ni unyama tuu, licha ya aliyoyafanya Osama, kitendo cha kuuawa kinyama, Saadam, Ghadafi etc, nimewaita Bush, Blair na Obama, wote ni wauaji tuu!. There is no any justification to take ones life no matter what!.
Ndio maana hata serikali yetu nimeiita ni serikali dhalimu ya mauaji kutokana na kuruhusu matumizi ya adhabu ya kifo!.
Mimi ni pro life, ambaye ninaamini life ni zawadi ya Mungu kwa binadamu, only the giver of life ndie pekee mwenye kibali to take out the life!. Uondoaji mwingine wowote wa maisha ni ushetani!. Kuushangilia ushetani ni kumtumikia shetani bila kujijua!.
Pasco.
Haya nimeyakumbuka kufuatia kisa hiki,
[h=1]Nimemshika mwizi kisha nikamuachia aende kwa amani maana raia wangemuua[/h]Pasco
 
Bro Pasco, umebakiza jambo moja tu. OKOKA UMPOKEE YESU AWE MWOKOZI WA MAISHA YAKO
Mkuu Mzito K., mbona mimi ni mlokole siku nyingi sana!, ila tuu sisali kwenye makanisa ya wokovu kutokana na kuutekeleza muujiza wa harusi ya Cana kwa vitendo!, na labda kuitenda ile dhambi ya asili.

Lakini kwa vile tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo, siku ukisikia nimetangulia!, just rejoice, maana yake utakuwa unajua kuwa nitakwenda straight to heaven!.

Pasco
 
Back
Top Bottom