Mwito wa simu una uhusiano na tabia ya mmiliki wa simu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwito wa simu una uhusiano na tabia ya mmiliki wa simu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndibalema, Mar 23, 2011.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Naomba kuelimishwa,
  Nimeuliza hilo swali hapo juu kutokana na tukio lililojitokeza nikiwa kwenye dala dala hapo jana.
  Tukiwa kwenye dala dala ghafla simu ya mzee mmoja wa makamo ikaita.
  Mlio wake ulikuwa ni ile sauti ya mchekeshaji Joti wa ze comedy
  "...Nasikia rahaaaa....utamuuuu...rahaaaaaa....utamu..."
  Huu mlio ni maarufu sana ila watu wote wakastuka baada ya kugundua ule mlio unaita katika simu ya yule mzee.
  Na hata baada ya yule mzee kushuka, mjadala ukaanza,
  Eti "oh! yule mzee anaonekana na heshima zake lakini kaweka mlio ule loh!"
  Naomba niwaulize, mlio wa simu una uhusiano na tabia ya mmiliki wa simu?
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kabisa mkuu....siku moja nipo kwenye foleni bank....kimyaaaa totozi nzuri zatuhudimia mara ikaita simu kwa sauti ya juu ring tone....nasema kula muhogo....
  basi mzee kaichukua simu kasepa nje
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  hahahahaha! kweli unayoyafanya hukureflect kwa jamii.
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Binafsi huwa inanisumbua sana hii miito na nikiangalia mwenye hiyo cm.
  Cjui ndio kuiga au ni ushamba.
  But inashusha sana hadhi miito mingine na kuacha mwaswali kwa jamii..
  Ni vyema watu wakajitaidi kuangalia miito wanayo weka kwenye cm zao
   
 5. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 6. D

  Derimto JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuna ukweli mkubwa hapa simu yako inapoita inaonyesha kuwa wewe ni mtu wa tabia ya aina gani au unapenda nini na hata kama ni wimbo ambao unaimba wakati unapopigiwa utajionyesha tu na hili nimelishaliona kwangu na kwa watu kadhaa pia
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mimi kwa njia moja au nyingine naunga mkono kua milio ya simu inauhusiano na tabia za watu na wala si utani ni kweli kabisa.
   
 8. S

  Strategizt Senior Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hata mimi naunga mkono ya kwamba miito ya cm ina mahusiano ya moja kwa moja na wamiliki ila inategemea mfano mama mmoja mlio wake ulikuwa wa utata ikabidi ajitetee kwamba mtoto wake ndo amemuwekea.
   
 9. c

  chetuntu R I P

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja 100%, ringtone zinareflect tabia ya mtu kukuta baba mtu mzima tone inaita "soda ya kopo kipapatio kidogo" atakuwa ni basha tu huyo. Japo sio kila mwenye ringtone ya dini ni mwema!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  :lol::lol::lol::lol:
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  huwa najiuliza ukiweka simu yako vibration only hupati alart? au mpaka iimbe ule wimbo wa sam wa ukweli?
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisaaa...
   
 13. S

  Smarty JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  mbaya zaidi nyimbo za kwenye simu huwa hatuzisikili mpaka mwisho simu ikiita sekunde mtu kapokea. Mi huwa nahsangaa kwa nini mtu asiweke vibrat au tone za alert. Sasa ukute kitu cha kichain, mamaaaaaa wantonesha kidonda.
   
 14. s

  sugi JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  kuna jamaa ye kaweka wimbo wa 'Kifo' ule wa hayati Remmy ongala,sijui tusemeje tabia yake?au ana tabia ya kufakufa?
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja kwa 100 asilimia. Yaani kweli zinaudhi sana, naomba niongezee na ile milio ukipiga simu inavyoita inaumiza mpaka masikio hata kama ni ya dini jamani inaudhi. Kweli unaweza kuta umekaa kwenye daladala mara mlio unaita alamba alamba aahhmm wajameni?? aaaahh
   
 16. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Tangia nianze kumiliki simu sijawahi kuwa na mlio ni mwendo wa vibration tu make huchelewi kuwa kanisani au unapresent kwny mkutano mara simu hiyo.....sijui bao la kisigino sijui nipe mgongo n.k hata kama ulikuwa unajenga hoja kwny presentation yako watu wanakuwa wameshapata jibu so hawana haja ya kukusikiliza tena. vibration inatosha jamani hiyo milio waachie teenagers make ndo alama ya kuonyesha wenzao kuwa wana simu.
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii inategemeana na mtu husika, shughuli zake, watu anaokutana nao, nafasi yake kwenye jamii nk.

  Nitashangaa sana kama nitaona Padri au Mchungaji au Shehe amesevu wimbo Mario, au wa Banana Zorro!
  Lakini pia itaniachia maswali kama nitasikia Rais au Mbunge, au Waziri amesevu wimbo wa Marlaw, au Keisha.

  Hata kama ni Wimbo wa DINI, kama utasikika kutoka kwa mtu ambaye kikazi anawahudumia wateja wengi, basi tayari inazua hisia fulani kwa baadhi ya watu, na wengine huenda wakakosa imani na jinsi utakavyowahudumia kuliko ungeweka mlio wa kawaida.

  Lakini kwa wakati mwingine, kutegemeana na mazingira, suppose bwana Ndibalema ni mtu wa kiroho zaidi, na anatafuta mchumba, then anakutana na mrembo ambaye amesevu nyimbo za kidini kwenye simu, then hii itamfurahisha sana Ndibalema, na kumpa hisia kuwa huenda huyo mrembo anamheshimu Mungu na hivyo anaweza kuwa mke bora(japo si lazima iwe hivyo).

  Nawasilisha.
   
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,284
  Trophy Points: 280
  Duh..uhusiano ni mkubwa sana! Ila sijui kwa siye tunaoweka vibration ni nini maana yake..!!!
  labda kimoja nnachojua; ni watu wasiri sana...hakuna cha kusingizia sijui ati itaita kanisani au ofisini wala nn!
   
Loading...