Mwita Waitara unajidhalilisha

Na naamini mwita anahabari nyingi nyeti.Mwita sio fara kwamba anaongea tu asiyoyajua.Aongee ya chacha aongee ya lisu nk wanataka kusema kada mtiifu kama mwita asijue yaliyokuwa nyuma yake?
Wewe unaongea ya Chacha, kaongea Lissu mwenyewe. Tumuamini Chacha au Lissu mhusika?
 
Nadhani ni vizuri aachane na mambo ya siasa ni vizuri akalime nyanya Ikungi kuna ardhi yenye rutuba au next time anaweza kubite the dust.
Including yourself; you have absolutely no escape route, you WILL BITE THE DUST.
 
Sssa unataka akirudi awe ananijificha nyuma ya Fatuma Karume?!..ushauri niliotoa ni mzuri.
Wewe umeishia darasa la nne halafu unamshauri TAL, top class lawyer aende akalime Ikingu, ukiiba kuku nani atakutetea mahakamani? Oh sorry, wezi wa kuku kama wewe huwa hamuwezi kuafford mawakili.
 
Unaanza siasa za kichadema za kudhani bila ushahidi.
Sijasema kuwa serikali imehusika mana sina ushahidi .
Nimesema Mamlaka zinazohusika kuchunguza tukio la Lisu wametuambia kuwa watu waliofanya tukio hilo hawajukikani .
Wamesema ni watu wasiojulikana.

Na Mimi nimekubaliana na uchunguzi wa serikali mana ndiyo yenye jukumu hilo.
Sasa hayo ya kina Mwita Waitara ni uchochezi na unalenga kuichafua nchi bado mana unaitangaza nchi kuwa imeshindwa kudhibi watu wanaofahamika kumiliki na kutumia silaha za kivita kuuana hadharani mchana kweupe.

Kipi rahisi kwa Mbowe kushindwa kumuua Lisu wakati amemuuguza takribani mwezi mzima huko Nairobi au wale wahalifu wasiojulikana ambao wametumia risasi 38 na huenda waliamini kabisa kua hakuna aliyetoka hai sio Dereva wala Lisu.

Nadhani Kumuua MTU asiye na hatia yoyote direct USO kwa USO ni ngumu sana hasa pale ambapo anayeua sio mhalifu na hana dai lolote binafsi kwa mlengwa. Mara nyingine Ndio maana utakuta risasi zinarushwa bila mpangilio.

Kuhusu Dereva wa Lisu iko wazi kuwa waliomtorosha wametumia busara mana kwa vyovyote kama angebaki humu nchini hao wahalifu au Majambazi wangemmaliza kwa wasiwasi kuwa amewaona na angeweza kuwataja.

Ni kawaida kwa wahalifu hata wanapovamia benki hawataki MTU awaangalie usoni na wakigundua kua umewafaham au unawafaham watakuua.

Kwa hiyo hao wahalifu kwa vyovyote hawakujua kua wahanga ndani ya gari wamepona hivyo lazima wangekua na kazi ya kuwatafuta au kumtafuta Dereva aliyetoka mzima kwa hofu ya kuwa huenda aliwafahamu. Pamoja na kwamba uwezekano wa kuwafaham ni mdogo kulingana na hofu ya risasi na paniki.
 
Jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu huwezi kuamini jinsi wananchi wake watakavyo pata maendeleo kama kuna barabara zitajengwa
Na mwenye macho atazame
 
Mambo ya CCTV cameras and hizo blah blah kwangu hata sizipi nafasi Sana sababu hata sijui kama kwel zilikuwepo maanake anayetuhumu Ni mwanasiasa na tukio Zima liko kisiasa zaidi.
Lol! Then you know nothing about investigating a criminal act. Of course huzipi cameras nafasi because they don't fit in your narrative.
 
Nakushauri ipeleke ushahidi wako polisi na usipoupeleka basi tujue ni kiki za kisiasa kwani ume ahidiwa singe nono kupotosha ukweli ili uweze kumlinda Bashite na mkulu. Kwa nini serikali pamoja na wewe hamtaki uchunguzi huru? Kazi kuleta propaganda kwenye mitandao?
Uchunguzi huru sasa hivi unahitajika kuliko wakati wowote tujue wewe msemaji wa Bashite au labda ni Bashite mwenyewe umeleta utetezi ambao wakati wa tukio ulikuwa huna, na baada ys kukaa chini na kutafakari kwa miezi kadhaa mkaona hii hoja inaweza kuwachomoa no nasema no kubwa hamuepuki kikombe hiki muda ni hakimu.
Nina uhakika 99% wewe unaweza kuwa mmoja wa wahusika na njama za kutoa uhai wa Lisu
 
Serikali yetu haina huo muda, ina mengi ya kufanya!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] serikali ina mengi hii serikali inayouliza kibali vya watu wafanyao kazi nje na kuwatafuta watu kwenye mitandao kama wanasema mfalme? Hujaona serikali zenye kazi nyingi nini? Tembea unone!
 
Sijui kwann ukivaa nguo ya kijani lzm uwezo wa kufikiri upungue
 
Sijui kwann ukivaa nguo ya kijani lzm uwezo wa kufikiri upungue
ni Aibu kubwa kwa mwita waitara kudhani kpindi hiki anaweza kucheza na Akili za watanzania, hatambui kuwa watu wana Akili kuliko yeye na wanamchora jinsi anavyojikanyaga kaganya mpaka apate laana zaidi ndipo atakuja kuzinduka baadae.
 
\
Kwa hatua aliyofikia Waitara kwa sasa hata akiambiwa na pole pole nenda katangaze kuwa mama yako ni mchawi anawanga usiku hata bila ushahidi ataenda kusema...huyu jamaa hayuko vizuri kichwani sasa sijui ni hayo madaraka na vyeo alivyohaidiwa kama walivyokuwa wenzake wakina..Msando, Patrick...e.t.c au au katupiwa kitu...acheni kupoteza mda nae....
 
wakiruhusu FBI waje ni ndani ya siku 3 wanatoa jawabu na watasema ni nani alizichukua zile cct camera pia ni kwa nini walinzi hawakutoa upinzani kwa watu waliokuwa wakishambulia Lisu.
 
ni Aibu kubwa kwa mwita waitara kudhani kpindi hiki anaweza kucheza na Akili za watanzania, hatambui kuwa watu wana Akili kuliko yeye na wanamchora jinsi anavyojikanyaga kaganya mpaka apate laana zaidi ndipo atakuja kuzinduka baadae.
Haimjengi zaidi ya watu kumchora tu na kujua alimvo mweupe kichwani. Akipigwa kimya kutokusema vibaya kule alipolelewa anakosa nini,tunajua hana shukrani afadhiliki,alitakiwa ajiongeze asitumike kujidhalilisha kwa ajili ya tumbo tu.
 
mwita waitara kapagawa ni kama Mwehu mvuta Bangi sasa amekariri zidumu fikra za wale wanaomtuma kuropoka ni Aibu anazidi kudhalilika kadri anavyozidi kuongea ujinga ujinga wake.
 
R.I.p upinzani Tanzania hawana hoja dawa yao imepatikana na si nyingine bali Jiwe a.k.A sizonje
 
Write your reply...Nimeamini njaa ni hatari sana, huyu huyu Wait ara ndio anatamka haya. Waitara huyu huyu Yego Mkurya! Nisingeshangaa ange kuwa mzaramo.
Waitara, kweli umewadhalilisha Wakurya ninao wajue baada ya kukaa huku ukuryani kwa miaka kumi. Pole sana Mheshimiwa sana Waitara. Leo nimemsikia mkubwa mmoja wa huko ulikoenda akisema 2020 utoswe kwani huaminiki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…