Mwita Waitara unajidhalilisha

Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Mbona mling'oa ccctv sasa? Na kwanini hamtaki kuruhusu wachunguzi wa nje ambao wako tayari ni ruhusa tu,ina maana cdm wana nguvu kuliko dola?Na wanaolinda makazi ya viongozi dodoma ni cdm?Hii ishu ni mjukuu mnayo sana haipoi ,itawatafuna sana,kabla haijahamia kwa vizazi vyenu.
 


Serikali yetu haina huo muda, ina mengi ya kufanya!
 
Cdm walifanya makosa sana kumuamini huyo kada wa kijani ambae baada ya kutemwa kwenye kura za maoni Tarime akahamia chadema ambapo hakukaa akapewa nafasi ya kugombea ukonga na kuacha Vijana waliokijenga chama kwa kujitolea.Hili liwe funzo wasiokote oili chafu toka kijani na kuzipa nafasi chumbani.
 
Kwani unapotajiwa risasi 30 umeambiwa zote ziliingia mwilini? Hivi mnaposema maigizo hamuoni hata aibu?
Mna roho mbaya sana kama wanyama, na hili LA Waitara kutumiwa ndio limeharibu kabisa maana sijui hata mtafutaje
Akili zimewaruka sasa wanaongea kila kitu ilimradi wanachoona kitamlinda mfalme wao.
 
Na yooooote afanyayo Magufuli lkn kupingwa Risasi Tundu Lissu na kupotea kwa Ben Saanane asilani sitokuja kumsamehe.....Haiwezekani binadamu wenzio uwafanye zaidi ya kuku hata nyerere hakuwahi kuwa mnyama kiasi hiki na power yote alokuwa nayo....shame on him....
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Halafu CCTV camera zilizorekodi tukio zikiwa kwa mh waziri na naibu spika zikaondolewa na hao hao cdm, makubwa!
 
Bora Kahama kumbe uwezo wake wa Kufikiri ni Mdogo sana
''May be suffering From Brain Damage''
 
Kwa hiyo na polisi waliokuwa lindo Siku hiyo cdm ndiyo waliwaambia wasiwepo? Na CCTV je? Cdm ndiyo waliitoa?
 
Vyovyote iwavyo ukweli utabaki kuwa Lissu alipigwa risasi... Ni sawa na mtu aibiwe halafu halafu tuanze kubishana hao wezi ni warefu au wafupi... Vyovyote iwavyo haiwezi kubadili ukweli kuwa mtu kaibiwa.... Waitara atuambie ikiwa amepigwa kulia badala ya kushoto inabadili kitu gani kwenye uhalisia kuwaLissu alipigwa risasi? Ikiwa muhusika ni dereva au yeyote yule inabadili nini kwenye ukweli kuwa hadi leo jeshi la polisi limeshindwa kumpata huyo muhusika? Mwita ni vyema tu akafuata maadili kuwa watu huwa hawaongei wakati wa kula, yupo upande wa ulaji kelele za nini?
 
Magazini ya risasi 38 ni ipi hiyo?!..kuna maswali mengi kwenye shambulio hilo.
Je kama ilipoisha ya kwanza wakaweka ya pili? Au kama kulikuwa na bunduki mbili? Majibu yote haya polisi waliomakinika wangekuwa wameishayatoa
 
Kwa hiyo na polisi waliokuwa lindo Siku hiyo cdm ndiyo waliwaambia wasiwepo? Na CCTV je? Cdm ndiyo waliitoa?
tatizo la wana CCM wengi ni kuwadharau watanzania wakidhani ni wajinga kiasi kwamba Ushamba wa mwita waitara unaweza kuaminiwa kirahisi hivyo
 
Mwita waitara amekuwa Limbukeni na Mshamba na maneno yake anayoropoka dhidi ya Lisu yatamrejeshea Laana hawezi kupata hata ukatibu Tawala wa kijiji, amekuwa mjinga mjinga hajitambui tena kibaya zaidi anawaona wananchi ni wajinga kiasi cha kutaka kuwaaminisha upumbuvu wake, ni Aibu ktk karne hii ya kisayansi kuwa na Aina ya mwanasiasa mzushi mwenye Upeo Zero.0.0 kwani hataweza kuleta maendeleo zaidi ya kuongeza Majungu, fitna na mambo ya ajabu yasiyo na Tija kwa Taifa.
 

Yaani wauaji wenyewe wanashindwa kuamini walimkosaje, let God be called God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…