Mwita Waitara unajidhalilisha

Pamoja Na yote wanayopitia Chadema lakin ikifika 2020 Bado watachukua watu toka CCM Kuwa Wagombea
Yaliwakuta Kwa John Magale Shibuda wakaahidi hawatorudia Tena
Na hilo ndio kosa la kubwa ambalo litawagharimu Chadema kwa muda mrefu.
 
Tusiumizane sana kiakili japo wengine hatuko upande wwt kisiasa ila kuwa muongo au kujitoa ufahamu kisa unalipiza au unahitaji cheo ni kujitafutia laana mbele za Mungu,huyu soon atatoweka ina maana anajiunga na wale waliomtesa na kumjeruhi TL laana isiyo yake itamuunganisha na wale wote waliomtesa na kutaka kumuua TL kikubwa laana hii imuendee yeye na ishamie katika kizazi chake,kweli watz ni wanafiki sana,hivi usipokuwa mkuu wa wilaya au katibu tawala utapungukiwa nn,mbona matajiri wengi na wafanyabiashara wakubwa sio wanasiasa au hao wakuu wa wilaya,daaaah MWITA na wenzio mnajitafutia mikosi isiyostahili nawe Mr.Jiwe huu mfumo wa kufanya watu waishi kwa sifa na kujipendekeza sio mzuri utakuja kukuungamiza tu,maana ni laanna kwa MUNGU.
 
Wapinzani na dua zao za nuksi hiyo ajali wanachekea tumboni.
Mh! Ho ngumu kumeza. Mhe. Godbless Lema ndio alikuwa mtu wa kwanza kumtembelea Kigwangwala hospitalini muda mfupi baada ya ajali
 
Mh! Ho ngumu kumeza. Mhe. Godbless Lema ndio alikuwa mtu wa kwanza kumtembelea Kigwangwala hospitalini muda mfupi baada ya ajali
Alikuwa anaenda kusanifu tu..labda huo ni mtizamo wangu tu.
 
Kuhama kwao kunakuongezea nini katika maisha yako? Binafsi unanufaikaje na hamahama ya hao madiwani na wabunge?
Wewe roho inakuuma nini mpaka unaingiza data ili unijibu.
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Kama ingekuwa Mpango wa CDM tayari wahusika wangeishakamatwa, Serikali isingekubali kupakwa matope kiasi hicho.
 
Wewe roho inakuuma nini mpaka unaingiza data ili unijibu.
Hujajibu hoja na acha kuukwepa ukweli hapa! Unanufaikaje kama imhotep katika kadhia hii ya kuhama vyama? Au nchi na chama chako kinapata faida gani kubwa katika hili?
 
freedom of speech this is free country kila mtu anaruhusiwa kuongea chochote.
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Duh siasa ni hatari mpaka binadamu unajitoa fahamu kiasi hicho? Unalipwa ma bilioni mangapi mpaka unaujitoa fahamu. Kila ufanyalo na utendalo litakurudia, Amini na kuambia leo kwa posti hii unaweza kutukana matusi yote ya dunia lakini ulifanyalo la kumuumiza mtu ambaye leo aliacha majukumu yake kusema aliratibu mauaji yake seriously? Bora ungekaa kimya. Hili lazima likurudie halafu watu wakukejeli. Hizi siasa tumezikuta na tutaziacha kama huna cha kusema ni vizuri kupiga kimya. Inamaana hata Kigwangwala amejipindua kwenye3gari ili apate public sympathy? No ni ajali tu.
 
Nadhani ulichoandika hapa kilipaswa kuwa na kichwa cha habari kikubwa:
WAITARA AMPONZA MAGU
 
Hujajibu hoja na acha kuukwepa ukweli hapa! Unanufaikaje kama imhotep katika kadhia hii ya kuhama vyama? Au nchi na chama chako kinapata faida gani kubwa katika hili?
Faida kubwa ni kuwapata wanachama wapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…