Mwisho wa Waitara wafika rasmi , Kikosi cha maangamizi chatua Ukonga kuhitimisha Kampeni


RIZIKI ALLYS MUHUNZI

RIZIKI ALLYS MUHUNZI

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
467
Likes
375
Points
80
Age
31
RIZIKI ALLYS MUHUNZI

RIZIKI ALLYS MUHUNZI

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
467 375 80
Mkurya feki zake zimefika Bado yule kichaa


Swissme
ebana uyu si ndio yule kamanda wetu mlisifu kwa nyimbo na mapambio punguza unafiki utakua uendi mbinguni
 
Tony antony

Tony antony

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,952
Likes
2,632
Points
280
Tony antony

Tony antony

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,952 2,632 280
msiseme mmeibiwa Kura mnaanzaga kwa mbwembwe hivihivi kila Siku lakini mwisho wenu siku zote unajulikana
 
manizzle

manizzle

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2015
Messages
3,281
Likes
3,386
Points
280
manizzle

manizzle

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2015
3,281 3,386 280
Utakuja shangaa mkutano umepigwa marufuku na polisi kwa sababu za kiintelijensia
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,382
Likes
31,621
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,382 31,621 280
Usishangae kesho yakapigwa mbomu ya machozi
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
29,474
Likes
82,887
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
29,474 82,887 280
msiseme mmeibiwa Kura mnaanzaga kwa mbwembwe hivihivi kila Siku lakini mwisho wenu siku zote unajulikana
Jingalao na stroke wamepanda vyeo wanalala usiku nyinyi ndiyo new comers mnafanya night shift
 
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,708
Likes
2,418
Points
280
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,708 2,418 280
nasikia. ccm. wanambana. msimamizi. wa uchaguzi. ahamishe kituo. cha majumuisho ya kura. ili warahisishe uchakachuaji.ccm bila kubebwa na tume hali mbaya.
 
Tony antony

Tony antony

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,952
Likes
2,632
Points
280
Tony antony

Tony antony

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,952 2,632 280
Jingalao na stroke wamepanda vyeo wanalala usiku nyinyi ndiyo new comers mnafanya night shift
heheheh kama mimi ni new comer nahisi hata wewe pia ni new comer..... 5years at Jf unaniita new comer basi sawa...


but fact is mnadili na vitu ambavyo havina msingi, mnajua fika wakurugenzi wote ni CCM na ndio wanaosimamia hizi chaguzi lakini bado mnakomaa tuu kujinasibu mtashinda,sawa mtashinda ila asilimia ndogo sana na hiko ndicho kitakachotokea hadi 2020.....
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
14,070
Likes
13,768
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
14,070 13,768 280
Chadema wanatia huruma.Jimbo moja tu wanaenda viongozi wote wa juu wa chama.2020 MBONA mtakoma mtaenda wapi na kuacha wapi
 
kiumbe kipya

kiumbe kipya

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
2,701
Likes
1,168
Points
280
Age
38
kiumbe kipya

kiumbe kipya

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
2,701 1,168 280
Hakuna kitu hapo wanakula ruzuku bure tu! Watapata kipigo cha mbwa koko tu na Waitara
mkuu tiari mbona tofaut ya 76,000 na 3000 haha h
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
14,070
Likes
13,768
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
14,070 13,768 280
mleta mada naona umepotea hewani baada ya chadema kuambulia kura elfu tatu tu .Waitara kapata 76 elfu amekukimbiza kwenye jukwaa
 

Forum statistics

Threads 1,236,520
Members 475,174
Posts 29,260,558