Mwisho wa Waitara wafika rasmi , Kikosi cha maangamizi chatua Ukonga kuhitimisha Kampeni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,490
215,332
Hakuna haja ya porojo jionee mwenyewe

Instagram media - Bnt-hsHHsBt.jpg
Instagram media - Bnt-hsHHsBt.jpg
Instagram media - Bnt-hsHHsBt.jpg
Instagram media - Bnt-hsHHsBt.jpg
 
Utakuja shangaa mkutano umepigwa marufuku na polisi kwa sababu za kiintelijensia
 
Jingalao na stroke wamepanda vyeo wanalala usiku nyinyi ndiyo new comers mnafanya night shift
heheheh kama mimi ni new comer nahisi hata wewe pia ni new comer..... 5years at Jf unaniita new comer basi sawa...


but fact is mnadili na vitu ambavyo havina msingi, mnajua fika wakurugenzi wote ni CCM na ndio wanaosimamia hizi chaguzi lakini bado mnakomaa tuu kujinasibu mtashinda,sawa mtashinda ila asilimia ndogo sana na hiko ndicho kitakachotokea hadi 2020.....
 
Chadema wanatia huruma.Jimbo moja tu wanaenda viongozi wote wa juu wa chama.2020 MBONA mtakoma mtaenda wapi na kuacha wapi
 
mleta mada naona umepotea hewani baada ya chadema kuambulia kura elfu tatu tu .Waitara kapata 76 elfu amekukimbiza kwenye jukwaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom