kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 694
Natumai hamjambo.
Ikitokea umeachwa kwa wakati ambao hukuutarajia usijenge uadui au chuki na aliekuacha,kaamua kuchagua upande mwingine wa maisha. Kubali matokeo umeachwa kwa upendo kabisa.
Kuachana au kuachwa ni kutengana kimwili tu ila tayari mlishatengeneza bond pale mlipokutanisha sehemu zenu takatifu. Mnaendelea kubaki kwenye historia za maisha yenu siku zote.
Kwa hiyo ukiachwa,hata kama umeumia kiasi gani usitengeneze chuki kwa aliekuacha...mkikutana msalimiane. Kuna watu wengine wakiachwa wanawaombea mabaya wenzao,sio vizur,tuombeane mema. Maana hata ukimtakia mabaya kama hatakurudia,hatakurudia tu.
Ni hayo tu!