Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android.
π€ Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant utafunguliwa Gemini.
π₯ Gemini anakuja na uwezo mkubwa zaidi wa AI ikiwemo:
β
Kujibu maswali kwa akili zaidi.
β
Kusaidia kuandika, kutafsiri na kufanya utafiti.
β
Kufanya mazungumzo ya kawaida kama binadamu. β
Kuendelea kufanya kazi za kila siku kama kuweka alarm, timer na mengine mengi.
π
Mabadiliko haya yataanza kutolewa rasmi kuanzia Septemba 4, 2026 kwa simu zinazokidhi vigezo, na yatafika kwa watumiaji hatua kwa hatua.
π¬ Je, wewe ungemchagua nani? Google Assistant au Gemini? Tuambie maoni yako kwenye c
omments. π