tech innovation

The Tech Interactive (formerly The Tech Museum of Innovation, commonly known as The Tech) is a science and technology center that offers hands-on activities, labs, design challenges and other STEAM education resources. It is located in downtown San Jose, California, adjacent to the Plaza de César Chávez.

View More On Wikipedia.org
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗻𝗰𝗲 𝗶𝗺𝗲𝗱𝘂𝗸𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗗𝗼𝗹𝗮 𝗯𝗶𝗹𝗶𝗼𝗻𝗶 $𝟲.𝟯 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗶𝗯𝗶𝘄𝗮

    Watu wa Cryptocurrency wamekumbwa na tukio la Kushtukiza baada ya jukwaa la biashara ya sarafu za kidigitali Binance (cryptocurrency) kudukuliwa.😱💰 Taarifa zinazosambaa zinadai kuwa zaidi ya dola bilioni 6.3 ($6.3 BILLION) zimeibwa, zikiwemo Bitcoin (BTC), Ethereum, USDT, USDC na sarafu...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝗶𝘃𝗶 𝘂𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮 𝗧𝘃 𝗬𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝗸𝗶𝘁𝘂 𝗨𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼𝘁𝗮𝘇𝗮𝗺𝗮?😳🔍

    Watu wengi wanadhani Smart TV ni kifaa cha kuangalia filamu na vipindi tu, lakini kuna jambo ambalo huenda hulijui! 👀 Baadhi ya Smart TV zina teknolojia inayoitwa Automatic Content Recognition (ACR), inayoweza kutambua maudhui unayotazama na kukusanya taarifa hizo kwa ajili ya matangazo...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Trump kasema mwezi ni mali ya Marekani 🌘

    🌕🇺🇸 “THE MOON IS OURS.” marke Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. 😳🚀 Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? 🌕⚖️ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗡𝗲𝘁𝗳𝗹𝗶𝘅 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺 𝗿𝗲𝗲𝗹𝘀

    Netflix imezindua Netflix Clips 🎬🔥 Kipengele hiki kinakuwezesha kutazama vipande vifupi vya filamu na series, kugundua maudhui mapya kwa haraka, na kuhifadhi au kushiriki clip unazozipenda kabla ya kuanza kutazama filamu nzima. Je, unaonaje hii njia mpya ya kugundua burudani? 🍿📱
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kumbe Infinix ndio mwanzilishi wa app lock kwenye simu za Android ulimwenguni

    Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ?? Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗣𝗣𝗟𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗛𝗜𝗕𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗜𝗠𝗘𝗣𝗜𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗜𝗣𝗛𝗢𝗡𝗘 𝗔𝗨 𝗔𝗜 😀😀

    Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa “Apple Reference Image” ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. 🤯 Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google assistant inaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗖𝗛𝗔𝗧𝗚𝗣𝗧 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗳𝗲𝗮𝘁𝘂𝗿𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗦𝘁𝗶𝗰𝗸𝗲𝗿𝘀 𝘇𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 🔥🔥🔥

    Hatimaye ChatGPT inaleta feature ambayo inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyotengeneza stickers za WhatsApp!🤯🔥 Ebu Fikiria ukiwa ndani ya ChatGPT tu 😱👇 🖼️ Kuchagua picha au kueleza sticker unayotaka. ✂️ AI ikaondoa background na kuandaa picha kama sticker. 😂 Kutengeneza sticker mpya kabisa...
Back
Top Bottom