Mwisho wa Dunia: Azua taharuki baada ya kulazimisha kusafiri akiwa uchi

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Azua tafrani uwanja ndege baada ya kutaka kusafiri akiwa uchi
3-750x306.png

Mwanaume mmoja amezua taharuki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzi katika mji mkuu wa Malawi Lilongwe baada ya kufika uwanjani hapo akiwa amevalia nguo ya ndani (chupi pekee) akitaka kusafiri.

Picha mbalimbali zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha mwanaume huyo akiwa amesimama kwenye mstari kwa ajili ya ukaguzi na nyingine akihojiwa na maafisa wa usalama katika uwanja huo.

Watu wamedai kuwa ni raia kutoka nchini Afrika Kusini na alifika uwanjani hapo akitaa kurudi nchini Afrika Kusini.

Wengine walisema kuwa ni muogeleaji ambapo wakati mwingine hufanya hivyo (kutembea au kusafiri na nguo za kuogelea) ili kuchangisha fedha za kusaidia watu wenye matatizo hasa watoto.
South-African-man-22high-on-weed22-tries-to-fly-naked-at-Malawi-airport1.jpg
South-African-man-22high-on-weed22-tries-to-fly-naked-at-Malawi-airport.jpg
South-African-man-22high-on-weed22-tries-to-fly-naked-at-Malawi-airport2.jpg

Chanzo: South African Man “High on Weed” Tries to Fly Naked at Malawi Airport
 
Hakuna tatizo hapo as long hajavunja sheria ya nchi.
 
Ngozi nyeupe sasa wanaanza kuporomoka, maana 'bange' kwao ishakuwa muhimu kama mboga! Nina muda mrefu sana sijaona mzungu asiyevuta Ganja!
 
'High on weed'.Hahahaa,

Ganja ikikukataa bhana bora kuiacha mapema maana hapo anaamini waliomzuia ni 'wajinga' kabisa ila yeye 'mwelevu' kupindukia.
 
Uyu jamaa ni shidaa yeye hataki nguo lakini bado anajichosha na mabegi ya nguo khaaaaaaa
 
'High on weed'.Hahahaa,

Ganja ikikukataa bhana bora kuiacha mapema maana hapo anaamini waliomzuia ni 'wajinga' kabisa ila yeye 'mwelevu' kupindukia.
ni sawa na mr bin ali kata suluali ili apate pensi akati anayo pens nyingine

Back
Top Bottom