Mwisho wa Dunia: Azua taharuki baada ya kulazimisha kusafiri akiwa uchi

Sasa kama anataka kutembea ucho mabegi ya nn?
Inamaana babegi yote yale yanachupi tuu?? Anazingua huyoo [HASHTAG]#kick[/HASHTAG] za msimu
 
Bhaaaaange mbaya aisee.
Hapo ndio utaijua bangi ikikolea.

Na kwa uzoefu wangu mdogo wa kumtambua taahira kwa sura,basi jamaa sura imeisha elekea Mirembe,maana kama vile wale mataahira
 
mkuu huyo hayuko uchi kabisa,

hapo ye anawaza yupo kipindi cha summer time kwao hukoo
 
Back
Top Bottom